Pwani ujenzi wa maabara asilimia 80
WILAYA ya Kibaha mkoani Pwani imefikia asilimia 80 ya ujenzi wa maabara kwenye shule za sekondari na inatarajia kukamilisha ujenzi huo mwishoni mwa mwezi huu.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo10 Dec
Rukwa yafikia asilimia 61 ujenzi wa maabara
WAKATI hukumu ya watendaji walioshindwa kukamilisha ujenzi wa maabara tatu katika kila shule ya sekondari ya Kata nchini ikikaribia kutekelezwa na Rais Jakaya Kikwete baada ya muda uliotolewa kufikia tamati, Mkoa wa Rukwa umetekeleza agizo la Rais kwa asilimia 61.
5 years ago
CCM Blog![](https://1.bp.blogspot.com/-NofDT0p5cxE/XrF6X5-oCRI/AAAAAAAAnbQ/RQL8YqJnOCEp45MTa946rw1Tp794FQiHwCLcBGAsYHQ/s72-c/d1c789fe-573d-484c-af9c-720637eb3995.jpg)
UJENZI WA MAABARA YA KISASA YA UPASUAJI UBONGO WAKAMILIKA KWA ASILIMIA 70
![](https://1.bp.blogspot.com/-NofDT0p5cxE/XrF6X5-oCRI/AAAAAAAAnbQ/RQL8YqJnOCEp45MTa946rw1Tp794FQiHwCLcBGAsYHQ/s320/d1c789fe-573d-484c-af9c-720637eb3995.jpg)
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii Dkt Faustine Ndugulile akizungumza jambo wakati alipotembelea Taasisi ya Mifupa MOI nakuangalia chumba cha teleradiolojia kinachotarajiwa kufanyiwa majaribio siku ya ijumaa tarehe 08/05/2020
![](https://1.bp.blogspot.com/-m19bOCX9w3o/XrF6XHSthtI/AAAAAAAAnbI/L1VB48baMGgf1ySd29OsjMOGZOr-0HSsgCLcBGAsYHQ/s320/085cf922-7005-44e1-a2e2-e4bf59122201.jpg)
![](https://1.bp.blogspot.com/-IEHEw1CII9U/XrF6YaCEMZI/AAAAAAAAnbU/S793HWGynmch6Q77Pe2PsY7A2QbtxMHRgCLcBGAsYHQ/s320/e756932f-0b65-44a0-902d-4850a5b3fd01.jpg)
10 years ago
MichuziLAPF WASAIDIA UJENZI WA MAABARA KATIKA SHULE YA MIHANDE WILAYANI KIBAHA MKOA WA PWANI
10 years ago
MichuziMFUKO WA PENSHENI WA LAPF WASAIDIA UJENZI WA MAABARA KATIKA SHULE YA MIHANDE WILAYANI KIBAHA MKOA WA PWANI
10 years ago
GPLMFUKO WA PENSHENI WA LAPF WASAIDIA UJENZI WA MAABARA KATIKA SHULE YA MIHANDE WILAYANI KIBAHA MKOA WA PWANI
10 years ago
Habarileo09 Dec
Morogoro wafanikiwa kujenga maabara kwa asilimia 90
WAKATI hukumu ya watendaji walioshindwa kukamilisha ujenzi wa maabara tatu katika kila shule ya sekondari ya Kata nchini ikikaribia kutekelezwa na Rais Jakaya Kikwete baada ya muda uliotolewa kufikia tamati, mkoa wa Morogoro, umesimamia utekelezaji wake kwa kiwango cha asilimia 90.
10 years ago
MichuziUJENZI WA MAABARA: MAHIZA AWATAKA WAKUU WA IDARA WASIKAE OFISINI WAENDE KWENYE KATA,ATAKA MADIWANI WAAHIRISHE VIKAO VYAO HADI UJENZI UTAKAPOKAMILIKA
SUALA la Maabara kwa shule za Sekondari za Kata limeingia kwenye hatua nzito baada ya mkuu wa Mkoa wa Pwani Mwantumu Mahiza kuiacha ofisi yake na kuhamia Wilaya ya Bagamoyo ili kuhakikisha agizo la Rais Dk Jakaya Kikwete la kila wilaya iwe imekamilisha ujenzi huo ifikapo Novemba 30 mwaka huu.
Sambamba na hilo mkuu huyo amewataka wakuu wa idara wa Wilaya hiyo kila mmoja kutokaa ofisini na kuchagua kata ya kwenda ili kusimamia ujenzi huo hadi ujenzi wa maabara...
10 years ago
Habarileo08 Feb
Kipili yazawadiwa kwa kujenga maabara asilimia 100
SERIKALI wilayani Sikonge mkoa waTabora, imeizawadia kata ya Kipili iliyoko katika wilaya hiyo, cheti maalumu cha ushindi baada ya kuwa ya kwanza wilayani humo kujenga maabara kwa asilimia 100.
10 years ago
Mtanzania11 Jun
Pinda: Ujenzi wa maabara palepale
Na Mwandishi Wetu, Mwanza
WAZIRI MKUU, Mizengo Pinda amesema tarehe ya mwisho iliyotolewa na Serikali ya kusimamia ujenzi wa maabara kwa shule za sekondari iko palepale na amewataka watendaji wa halmashauri na mikoa kuhakikisha wanatimiza agizo hilo.
Alitoa agizo hilo Mwanza jana alipozungumza na watendaji wa Mamlaka za Serikali za Mitaa na Waratibu wa Elimu wa Wilaya na Mikoa waliohudhuria ufunguzi wa mashindano ya UMISSETA na UMITASHUMTA kwenye uwanja wa CCM Kirumba.
Waziri Mkuu ambaye...