Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UJENZI WA MAABARA YA KISASA YA UPASUAJI UBONGO WAKAMILIKA KWA ASILIMIA 70

 
   Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii Dkt Faustine Ndugulile akizungumza jambo wakati alipotembelea Taasisi ya Mifupa MOI nakuangalia chumba cha teleradiolojia kinachotarajiwa kufanyiwa majaribio siku ya ijumaa tarehe 08/05/2020
 Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii Dkt Faustine Ndugulile akitoa maelekezo katika chumba cha teleradiolojia kinachotarajiwa kufanyiwa majaribio siku ya ijumaa tarehe 08/05/2020
 Mmoja wa Wasimamizi kutoka kampuni ya Pyramid, Abraham Okero (wa pili...

CCM Blog

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

Ujenzi wa maabara ya kisasa ya upasuaji ubongo wakamilika kwa asimia 70

Bw. Abraham Okero kutoka kampuni ya Pyramid akitoa maelezo kwa Naibu Waziri wa Afya Dkt Faustine Ndugulile ya namna mitambo ya maabara ya kisasa ya upasuaji wa ubongo itakavyafanya kazi.
Mkurugenzi Mtendaji wa MOI Dkt Respicious Boniface akitoa taarifa kuhusiana na hatua ya ujenzi wa mradi wa maabara ya kisasa ya upasuaji wa Ubongo (Angio suite) ambao umekamilika kwa asilimia 70%

Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii Dkt Faustine Ndugulile akitoa maelekezo katika chumba cha teleradiolojia...

 

10 years ago

Vijimambo

MPANGO WA UJENZI WA DARAJA JIPYA LA KISASA LA SALENDER WAKAMILIKA

Muonekano wa Daraja jipya la Salenda litaakalopita baharini kuanzia Coco Beachi (Oysterbay) kwenda Hospitali ya Aga Khan (Maeneo ya Ocean Road/ Baraka Obama Road). Daraja hilo pamoja na barabara zake, litakuwa na urefu wa kilomita 7.2 na uwezo wa kupitisha magari zaidi ya 61,000 kwa siku huku likiwa na njia nne za magari pamoja service road njia za waenda kwa miguu kila upandeWaziri wa Ujenzi Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli kulia akizungumza na Balozi wa Jamhuri ya Korea nchini, Chung Il...

 

10 years ago

Habarileo

Pwani ujenzi wa maabara asilimia 80

WILAYA ya Kibaha mkoani Pwani imefikia asilimia 80 ya ujenzi wa maabara kwenye shule za sekondari na inatarajia kukamilisha ujenzi huo mwishoni mwa mwezi huu.

 

10 years ago

Habarileo

Rukwa yafikia asilimia 61 ujenzi wa maabara

WAKATI hukumu ya watendaji walioshindwa kukamilisha ujenzi wa maabara tatu katika kila shule ya sekondari ya Kata nchini ikikaribia kutekelezwa na Rais Jakaya Kikwete baada ya muda uliotolewa kufikia tamati, Mkoa wa Rukwa umetekeleza agizo la Rais kwa asilimia 61.

 

10 years ago

Habarileo

Morogoro wafanikiwa kujenga maabara kwa asilimia 90

WAKATI hukumu ya watendaji walioshindwa kukamilisha ujenzi wa maabara tatu katika kila shule ya sekondari ya Kata nchini ikikaribia kutekelezwa na Rais Jakaya Kikwete baada ya muda uliotolewa kufikia tamati, mkoa wa Morogoro, umesimamia utekelezaji wake kwa kiwango cha asilimia 90.

 

10 years ago

Habarileo

Kipili yazawadiwa kwa kujenga maabara asilimia 100

Mkuu wa Wilaya ya Sikonge, Hanifa Selengu.SERIKALI wilayani Sikonge mkoa waTabora, imeizawadia kata ya Kipili iliyoko katika wilaya hiyo, cheti maalumu cha ushindi baada ya kuwa ya kwanza wilayani humo kujenga maabara kwa asilimia 100.

 

10 years ago

Habarileo

Upelekaji umeme Magu wakamilika asilimia 53

Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Charles MwijageUTEKELEZAJI wa upelekaji wa umeme katika vijiji kadhaa wilayani Magu umekamilika kwa asilimia 53, Bunge lilielezwa jana.

 

10 years ago

BBCSwahili

Samaki afanyiwa upasuaji wa ubongo

Samaki aina ya Goldfish,anaendelea kupata nafuu baada ya kufanyiwa upasuaji kutolewa uvimbe kwenye ubongo wake.

 

11 years ago

Habarileo

Upasuaji bure ubongo, mishipa ya fahamu Muhimbili

MADAKTARI bingwa wa upasuaji wa ubongo na mishipa ya fahamu, masikio na viungo kutoka nchini Misri wako nchini. Wamekuja kufanya kampeni maalumu ya afya, upasuaji na huduma mbalimbali kwa wagonjwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili na Kitengo cha Mifupa Muhimbili (MOI).

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani