Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Samaki afanyiwa upasuaji wa ubongo

Samaki aina ya Goldfish,anaendelea kupata nafuu baada ya kufanyiwa upasuaji kutolewa uvimbe kwenye ubongo wake.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Pele afanyiwa upasuaji

Aliyekuwa nyota wa timu ya taifa ya Brazil Pele amefanyiwa upasuaji wa kibofu cha mkojo katika hospitali moja mjini Sao Paulo.

 

9 years ago

Mtanzania

Dk. Kijo Bisimba afanyiwa upasuaji

Dr-Helen-Kijo-BisimbaVeronica Romwald na Nicodemas Kikwati (GHITBS), Dar es Salaam

MKURUGENZI wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Dk. Hellen Kijo Bisimba, amefanyiwa upasuaji wa mguu  wa kushoto.

Upasuaji huo umefanyika  katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Mishipa ya Fahamu (MOI).

Akizungumza na MTANZANIA jana hospitalini hapo, Dk. Bisimba alisema alifanyiwa upasuaji huo  juzi jioni na   anaendelea vizuri na matibabu.

“Namshukuru Mungu naendelea vizuri, nimefanyiwa upasuaji na madaktari wameniwekea...

 

10 years ago

Vijimambo

JK AFANYIWA UPASUAJI WA TEZI DUME

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mheshimiwa Dkt. JakayaMrisho Kikwete akizungumza na Dkt.Edward Shaeffer wa hospitali ya Johns Hopkins na Daktari wa Rais Profesa Mohamed Janabi(kulia) baada ya kuwasili katika Hospitali ya Johns Hopkins iliyopo Baltimore, Maryland, Marekani kwa upasuaji Jumamosi asubuhi. Upasuaji huo uliochukua muda wa saa moja na nusu ulifanyika salama.Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na daktari Bingwa Mpasuaji Edward Shaeffer muda mfupi kabla ya kuingia...

 

10 years ago

BBCSwahili

Pacquiao afanyiwa upasuaji wa bega

Pacquiao amefanyiwa upasuaji wa bega lake alilodai kuwa ndiyo iliyopelekea yeye kushindwa na Floyd Mayweather jumapili iliyopita.

 

10 years ago

Habarileo

Rais Kikwete afanyiwa upasuaji

Rais Jakaya Kikwete akizungumza na Daktari Bingwa Mpasuaji, Edward Shaeffer, muda mfupi kabla ya kuingia kwenye chumba cha upasuaji, uliofanyika katika Hospitali ya Johns Hopkins iliyopo Baltimore Maryland, Marekani Jumamosi asubuhi. Upasuaji huo uliochukua muda wa saa moja na nusu, ulifanyika salama. (Picha na Ikulu).RAIS Jakaya Kikwete amefanyiwa upasuaji wa tezi dume katika Hospitali ya Johns Hopkins iliyoko Baltimore, Jimbo la Maryland, Marekani.

 

11 years ago

BBCSwahili

Fellaini afanyiwa upasuaji wa mkono

Mchezaji wa Man United Marouane Fellaini kutocheza mechi yoyote kwa muda wa wiki sita zijazo baada ya kufanyiwa upasuaji

 

10 years ago

Mwananchi

Kikwete afanyiwa upasuaji Marekani

>Rais, Jakaya Kikwete amefanyiwa upasuaji wa tezi dume (prostate) katika Hospitali ya Johns Hopkins iliyoko Baltimore, Jimbo la Maryland, Marekani.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Rais Kikwete afanyiwa upasuaji tezidume

RAIS Jakaya Kikwete, alfajiri ya juzi alifanyiwa upasuaji wa tezidume (prostrate), katika Hospitali ya Johns Hopkins iliyoko Baltimore, Jimbo la Maryland, Marekani. Taarifa iliyotolewa na Ikulu kwa vyombo vya habari...

 

9 years ago

BBCSwahili

Trevor Noah afanyiwa upasuaji wa dharura

Mcheshi mashuhuri kutoka Afrika Kusini Trevor Noah amefanyiwa upasuaji wa dharura wa kuondoa kidole tumbo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani