Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Rais Kikwete afanyiwa upasuaji

Rais Jakaya Kikwete akizungumza na Daktari Bingwa Mpasuaji, Edward Shaeffer, muda mfupi kabla ya kuingia kwenye chumba cha upasuaji, uliofanyika katika Hospitali ya Johns Hopkins iliyopo Baltimore Maryland, Marekani Jumamosi asubuhi. Upasuaji huo uliochukua muda wa saa moja na nusu, ulifanyika salama. (Picha na Ikulu).RAIS Jakaya Kikwete amefanyiwa upasuaji wa tezi dume katika Hospitali ya Johns Hopkins iliyoko Baltimore, Jimbo la Maryland, Marekani.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Tanzania Daima

Rais Kikwete afanyiwa upasuaji tezidume

RAIS Jakaya Kikwete, alfajiri ya juzi alifanyiwa upasuaji wa tezidume (prostrate), katika Hospitali ya Johns Hopkins iliyoko Baltimore, Jimbo la Maryland, Marekani. Taarifa iliyotolewa na Ikulu kwa vyombo vya habari...

 

10 years ago

Dewji Blog

Rais Kikwete afanyiwa upasuaji wa tezi dume

Jakaya-Kikwete

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete alfajiri ya Jumamosi, Novemba 8, 2014, alifanyiwa upasuaji wa tezi dume (prostrate) katika Hospitali ya Johns Hopkins iliyoko Baltimore, Jimbo la Maryland, Marekani.

Rais Kikwete amefanyiwa upasuaji huo baada ya madaktari waliomfanyia uchunguzi wa afya yake kujiridhisha kuwa Rais alikuwa anahitaji matibabu ya aina hiyo.

Upasuaji huo uliofanyika...

 

10 years ago

GPL

RAIS KIKWETE AFANYIWA UPASUAJI WA TEZI DUME MAREKANI, HALI YAKE INAENDELEA VYEMA

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na  Dkt.Edward Shaeffer wa  hospitali ya Johns Hopkins (kushoto) na Daktari wa Rais Profesa Mohamed Janabi  (kulia) muda mfupi baada ya kuwasili ili kufanyiwa upasuaji katika Hospitali ya Johns Hopkins iliyopo  Baltimore Maryland Marekani Jumamosi asubuhi.Upasuaji huo uliochukua muda wa saa moja na nusu  ulifanyika salama....

 

10 years ago

Michuzi

NEWS ALERT: Rais Kikwete afanyiwa upasuaji wa tezi dume Marekani, hali yake inaendelea vyema

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete alfajiri ya jana, Jumamosi, Novemba 8, 2014, alifanyiwa upasuaji wa tezi dume (prostrate) katika Hospitali ya Johns Hopkins iliyoko Baltimore, Jimbo la Maryland, Marekani.  Rais Kikwete amefanyiwa upasuaji huo baada ya madaktari waliomfanyia uchunguzi wa afya yake kujiridhisha kuwa Rais alikuwa anahitaji matibabu ya aina hiyo.  Upasuaji huo uliofanyika alfajiri na kuchukua kiasi cha saa moja unusu, umefanyika salama na...

 

10 years ago

Mwananchi

Kikwete afanyiwa upasuaji Marekani

>Rais, Jakaya Kikwete amefanyiwa upasuaji wa tezi dume (prostate) katika Hospitali ya Johns Hopkins iliyoko Baltimore, Jimbo la Maryland, Marekani.

 

10 years ago

BBCSwahili

Kikwete afanyiwa upasuaji wa tezi dume

Rais wa Tanzania Jakaya Kikwete amefanyiwa upasuaji wa tezi dume (prostrate) katika Hospitali ya Johns Hopkins iliyoko Marekani.

 

10 years ago

BBCSwahili

Pele afanyiwa upasuaji

Aliyekuwa nyota wa timu ya taifa ya Brazil Pele amefanyiwa upasuaji wa kibofu cha mkojo katika hospitali moja mjini Sao Paulo.

 

10 years ago

BBCSwahili

Samaki afanyiwa upasuaji wa ubongo

Samaki aina ya Goldfish,anaendelea kupata nafuu baada ya kufanyiwa upasuaji kutolewa uvimbe kwenye ubongo wake.

 

9 years ago

Mtanzania

Dk. Kijo Bisimba afanyiwa upasuaji

Dr-Helen-Kijo-BisimbaVeronica Romwald na Nicodemas Kikwati (GHITBS), Dar es Salaam

MKURUGENZI wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Dk. Hellen Kijo Bisimba, amefanyiwa upasuaji wa mguu  wa kushoto.

Upasuaji huo umefanyika  katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Mishipa ya Fahamu (MOI).

Akizungumza na MTANZANIA jana hospitalini hapo, Dk. Bisimba alisema alifanyiwa upasuaji huo  juzi jioni na   anaendelea vizuri na matibabu.

“Namshukuru Mungu naendelea vizuri, nimefanyiwa upasuaji na madaktari wameniwekea...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani