JK AFANYIWA UPASUAJI WA TEZI DUME
![](http://3.bp.blogspot.com/-fXK1UDcaVLk/VF9srnPE1JI/AAAAAAADMo8/50mNpQ6Uen8/s72-c/D92A2468.jpg)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mheshimiwa Dkt. JakayaMrisho Kikwete akizungumza na Dkt.Edward Shaeffer wa hospitali ya Johns Hopkins na Daktari wa Rais Profesa Mohamed Janabi(kulia) baada ya kuwasili katika Hospitali ya Johns Hopkins iliyopo Baltimore, Maryland, Marekani kwa upasuaji Jumamosi asubuhi. Upasuaji huo uliochukua muda wa saa moja na nusu ulifanyika salama.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na daktari Bingwa Mpasuaji Edward Shaeffer muda mfupi kabla ya kuingia...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili09 Nov
Kikwete afanyiwa upasuaji wa tezi dume
10 years ago
Dewji Blog10 Nov
Rais Kikwete afanyiwa upasuaji wa tezi dume
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete alfajiri ya Jumamosi, Novemba 8, 2014, alifanyiwa upasuaji wa tezi dume (prostrate) katika Hospitali ya Johns Hopkins iliyoko Baltimore, Jimbo la Maryland, Marekani.
Rais Kikwete amefanyiwa upasuaji huo baada ya madaktari waliomfanyia uchunguzi wa afya yake kujiridhisha kuwa Rais alikuwa anahitaji matibabu ya aina hiyo.
Upasuaji huo uliofanyika...
10 years ago
GPL![](http://2.bp.blogspot.com/-ft02UTdaDBc/VF9lnHsZrXI/AAAAAAAGwLs/dbY1C0LbhGg/s1600/D92A2468.jpg?width=650)
RAIS KIKWETE AFANYIWA UPASUAJI WA TEZI DUME MAREKANI, HALI YAKE INAENDELEA VYEMA
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-ft02UTdaDBc/VF9lnHsZrXI/AAAAAAAGwLs/dbY1C0LbhGg/s72-c/D92A2468.jpg)
NEWS ALERT: Rais Kikwete afanyiwa upasuaji wa tezi dume Marekani, hali yake inaendelea vyema
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/tZHhhMhD8MD5miWszXmUUV5-haG6xFM7unaEqQjRT7tdNq-NxnDpP8Vf4OAmZURgfiFqmLJMpO*lNzld8Rnw4e7qJ6OxdnvO/figo.jpg?width=650)
HALI YA PELE YAZIDI KUIMARIKA BAADA YA UPASUAJI WA TEZI DUME
10 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-8BnIcL1wh9Y/VHnLNEEs4VI/AAAAAAAG0Hc/uJbPVPD3ZXQ/s72-c/IMG-20141129-WA0008.jpg)
RAIS KIKWETE AONGEA NA WAANDISHI WA HABARI MARA TU BAADA YA KUTUA TOKA MAREKANI, ASEMA ALIFANYIWA UPASUAJI WA SARATANI YA TEZI DUME
![](http://1.bp.blogspot.com/-8BnIcL1wh9Y/VHnLNEEs4VI/AAAAAAAG0Hc/uJbPVPD3ZXQ/s640/IMG-20141129-WA0008.jpg)
Rais Jakaya Kikwete akiongea na Waandishi wa habari uwanja wa ndege leo Jumamosi Novemba 29, 2014 mara tu baada ya kutua toka Marekani alipokuwa amekwenda kwa ajili ya upasuaji wa saratani ya tezi dume. (picha kwa hisani ya Michuzi)
Rais Jakaya Kikwete akiongea na Wanahabari na kuwataarifu kwamba alichofanyia ni upasuaji wa saratani ya tezi dume na hili alilijua mapema kabla ya kuja nchini Marekani na lilikua si jambo rahisi kulielezea lakini nilikua sina budi kumweleza mke wangu wananagu...
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-niBE-jCKNig/VHKg1hK7ksI/AAAAAAAGzFg/PdMaSHkcDIA/s72-c/prostate-cancer-awareness-ribbon-nsn6142012.png)
mwandani wa saratani ya tezi dume
![](http://3.bp.blogspot.com/-niBE-jCKNig/VHKg1hK7ksI/AAAAAAAGzFg/PdMaSHkcDIA/s1600/prostate-cancer-awareness-ribbon-nsn6142012.png)
10 years ago
Mwananchi30 Nov
Nilikuwa na saratani ya tezi dume-JK
10 years ago
Mwananchi01 Dec
Saratani ya tezi dume ni hatari