Nilikuwa na saratani ya tezi dume-JK
Rais Jakaya Kikwete amerejea nchini kutoka kwenye matibabu na kuwaeleza Watanzania kuwa alikuwa akiiumwa saratani ya tezi dume.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi01 Dec
Saratani ya tezi dume ni hatari
 Pamoja na maelezo ya Rais Jakaya Kikwete aliyotoa juzi juu ya ugonjwa wa saratani ya tezi dume mara baada ya kurejea nchini kutoka Marekani alikotibiwa, maswali kuhusu ugonjwa huo bado ni mengi na hivyo kuhitaji ufafanuzi.
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-niBE-jCKNig/VHKg1hK7ksI/AAAAAAAGzFg/PdMaSHkcDIA/s72-c/prostate-cancer-awareness-ribbon-nsn6142012.png)
mwandani wa saratani ya tezi dume
![](http://3.bp.blogspot.com/-niBE-jCKNig/VHKg1hK7ksI/AAAAAAAGzFg/PdMaSHkcDIA/s1600/prostate-cancer-awareness-ribbon-nsn6142012.png)
10 years ago
Mwananchi28 Nov
Saratani ya tezi dume ni muuaji wa kimyakimya
Watu wengi wamekuwa na shauku ya kutaka kujua ugonjwa wa saratani ya tezi dume, huku wakidhani ni mpya. Lakini ukweli ni kuwa umekuwapo miaka mingi na wengi wameugua.
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/wfufAsrgkK*WyMK4ZvF-wbTjoFKXERuiOoY*NpQghiIOYF3JwjCdHS3ZCipLgmHQYxS285XryzgYolLCFbfxgxF1cGNOIeWd/cancer20130718200128.jpg?width=650)
FAHAMU SARATANI YA TEZI DUME (PROSTATE CANCER)
Saratani ya tezi dume inashika nafasi ya tatu kwa kusababisha vifo vinavyotokana na kansa kwa wanaume duniani. Ugonjwa huu ni chanzo kikuu cha vifo vinavyosababishwa na saratani kwa wanaume wenye umri wa miaka 70 na kuendelea, hata hivyo, satarani ya tezi dume kwa sasa inawapata sana wanaume kuanzia miaka 25. Kwa ufahamisho tu ni kwamba neno saratani ni jina la ugonjwa ambalo hutokea wakati chembechembe za uhai au seli...
10 years ago
Habarileo12 Dec
Kikwete aagiza kuanzishwe kampeni saratani ya tezi dume
RAIS Jakaya Kikwete ameiagiza Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii kuanzisha kampeni ya saratani ya tezi dume.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/W8k9GghxLBsR7Wpn93FX*CvI2i6MDkh-RXSmIMQoxzVAwkI3dGOLX-rCi2jgsFD5GlI6sVIy36UeAMSXbVTpCtoNlksI*uhm/dudu.jpg?width=650)
FAHAMU UGONJWA WA SARATANI YA TEZI DUME (PROSTATE CANCER)-4
Baada ya vipimo hivyo kama vitaashiria saratani ya tezi dume basi daktari anaweza kuamuru vipimo vingine ili kuthibitisha uwepo wa ugonjwa huo kama vile Transrectal Ultrasound au Prostatic Needle Biopsy. Tukumbuke kuwa kuwahi kugundua saratani mapema kabla ya dalili, kuna faida kubwa kwa muathirika kwani saratani ikigundulika mapema ni rahisi kutibika. TIBA YAKE Â Kuna njia kadhaa za matibabu ya saratani ya tezi dume. Hata...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/R5SqbRTCmAGNk0DD5iwUK-TT-u9pgWEvCDGHTZMsUWDGIgd-DBrUnIXLZ6rRSYfoUtrQczx19fW80afM3MLkWXpa*j4*g1bo/SarataniYaTeziDume.jpg?width=650)
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/4t8Bu5s6lgQEsxCodzAO6SWrHL-EvZuR294j1siGYnPVZNBr7QhP2mdTs5fqlulEZTWIMqh6X3BjevBALD3bdGsaSMoNQiVX/prostatecancer.jpg?width=650)
FAHAMU UGONJWA WA SARATANI YA TEZI DUME (PROSTATE CANCER)-2
Wiki iliyopita nilianza kuelezea ugonjwa wa saratani ya tezi dume, leo nitafafanua dalili za ugonjwa huu kama ifuatavyo: Daktari mmoja ambaye ni miongoni mwa waathirika wa saratani hiyo na mwanzilishi wa kampeni ya kuangamiza saratani ya tezi dume nchini Tanzania ya ‘50 Plus Campaign’ anasema kuwa, ugonjwa huu ukitambuliwa mapema huweza kutibika kwa urahisi. Kuna vihatarishi vingi vinavyochangia mwanamume kupata...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/UeiAtiGk5flC6iIiwn-QZmoOa0Q1ub0fE4xbBn4iQ9aYHOvEBwCIJC5dMFn-tqmBgWvr-8YP27yJ3yibgLuLmTHzOLW0Xsn9/CDR442342571.jpg?width=650)
FAHAMU UGONJWA WA SARATANI YA TEZI DUME (PROSTATE CANCER)
Wiki hii wasomaji wengi wamependa nijadili kuhusu kansa ya tezi dume au Prostate Cancer kwa kitaalamu zaidi.Ugonjwa huu huweza kusababisha vifo. Ili kuujua vyema ugonjwa huo tafadhali fuatilia makala haya. Saratani ya tezi dume upo katika nafasi ya tatu kwa kusababisha vifo vinavyotokana na kansa kwa wanaume duniani. Pia ni chanzo kikuu cha vifo vinavyosababishwa na saratani kwa wanaume wenye umri wa miaka 50 na kuendelea....
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
12-February-2025 in Tanzania