Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


FAHAMU UGONJWA WA SARATANI YA TEZI DUME (PROSTATE CANCER)

Wiki hii wasomaji wengi wamependa nijadili kuhusu kansa ya tezi dume au Prostate Cancer kwa kitaalamu zaidi.Ugonjwa huu huweza kusababisha vifo. Ili kuujua vyema ugonjwa huo tafadhali fuatilia makala haya. Saratani ya tezi dume  upo katika nafasi ya tatu kwa kusababisha vifo vinavyotokana na kansa kwa wanaume duniani. Pia ni chanzo kikuu cha vifo vinavyosababishwa na saratani kwa wanaume wenye umri wa miaka 50 na kuendelea....

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

FAHAMU UGONJWA WA SARATANI YA TEZI DUME (PROSTATE CANCER)-4

Baada ya vipimo hivyo kama vitaashiria saratani ya tezi dume basi daktari anaweza kuamuru vipimo vingine ili kuthibitisha uwepo wa ugonjwa huo kama vile Transrectal Ultrasound au Prostatic Needle Biopsy. Tukumbuke kuwa kuwahi kugundua saratani mapema kabla ya dalili, kuna faida kubwa kwa muathirika kwani saratani ikigundulika mapema ni rahisi kutibika. TIBA YAKE  Kuna njia kadhaa za matibabu ya saratani ya tezi dume. Hata...

 

10 years ago

GPL

FAHAMU UGONJWA WA SARATANI YA TEZI DUME (PROSTATE CANCER)-2

Wiki  iliyopita nilianza kuelezea ugonjwa wa saratani ya tezi dume, leo nitafafanua dalili za ugonjwa huu kama ifuatavyo: Daktari mmoja ambaye ni miongoni mwa waathirika wa saratani hiyo na mwanzilishi wa kampeni ya kuangamiza saratani ya tezi dume nchini Tanzania ya ‘50 Plus Campaign’ anasema kuwa, ugonjwa huu ukitambuliwa mapema huweza kutibika kwa urahisi. Kuna vihatarishi vingi vinavyochangia mwanamume kupata...

 

11 years ago

GPL

FAHAMU SARATANI YA TEZI DUME (PROSTATE CANCER)

Saratani ya tezi dume inashika nafasi ya tatu kwa kusababisha vifo vinavyotokana na kansa kwa wanaume duniani. Ugonjwa huu ni chanzo kikuu cha vifo vinavyosababishwa na saratani kwa wanaume wenye umri wa miaka 70 na kuendelea, hata hivyo, satarani ya tezi dume kwa sasa inawapata sana wanaume kuanzia miaka 25. Kwa ufahamisho tu ni kwamba  neno saratani ni jina la ugonjwa ambalo hutokea wakati chembechembe za uhai au seli...

 

10 years ago

Michuzi

mwandani wa saratani ya tezi dume

Saratani ya tezi dume inashika nafasi ya tatu kwa kusababisha vifo vinavyotokana na kansa kwa wanaume duniani. Pia ni chanzo kikuu cha vifo vinavyosababishwa na saratani kwa wanaume wenye umri wa miaka 70 na kuendelea. Hata hivyo, satarani ya tezi dume kwa sasa inawapata sana wanaume kuanzia miaka 25. Lakini kabla ya kuendelea mbele hebu kwanza tujue tezi dume ni zipi.

SARATANI NI NINI?Saratani ni jina la gonjwa ambao hutokea wakati chembe chembe za uhai au seli katika sehemu fulani ya mwili...

 

10 years ago

Mwananchi

Nilikuwa na saratani ya tezi dume-JK

Rais Jakaya Kikwete amerejea nchini kutoka kwenye matibabu na kuwaeleza Watanzania kuwa alikuwa akiiumwa saratani ya tezi dume.

 

10 years ago

Mwananchi

Saratani ya tezi dume ni hatari

 Pamoja na maelezo ya Rais Jakaya Kikwete aliyotoa juzi juu ya ugonjwa wa saratani ya tezi dume mara baada ya kurejea nchini kutoka Marekani alikotibiwa, maswali kuhusu ugonjwa huo bado ni mengi na hivyo kuhitaji ufafanuzi.

 

10 years ago

Mwananchi

Saratani ya tezi dume ni muuaji wa kimyakimya

Watu wengi wamekuwa na shauku ya kutaka kujua ugonjwa wa saratani ya tezi dume, huku wakidhani ni mpya. Lakini ukweli ni kuwa umekuwapo miaka mingi na wengi wameugua.

 

10 years ago

Habarileo

Kikwete aagiza kuanzishwe kampeni saratani ya tezi dume

Rais Jakaya KikweteRAIS Jakaya Kikwete ameiagiza Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii kuanzisha kampeni ya saratani ya tezi dume.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani