Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ujenzi wa maabara ya kisasa ya upasuaji ubongo wakamilika kwa asimia 70

Bw. Abraham Okero kutoka kampuni ya Pyramid akitoa maelezo kwa Naibu Waziri wa Afya Dkt Faustine Ndugulile ya namna mitambo ya maabara ya kisasa ya upasuaji wa ubongo itakavyafanya kazi.
Mkurugenzi Mtendaji wa MOI Dkt Respicious Boniface akitoa taarifa kuhusiana na hatua ya ujenzi wa mradi wa maabara ya kisasa ya upasuaji wa Ubongo (Angio suite) ambao umekamilika kwa asilimia 70%

Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii Dkt Faustine Ndugulile akitoa maelekezo katika chumba cha teleradiolojia...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

CCM Blog

UJENZI WA MAABARA YA KISASA YA UPASUAJI UBONGO WAKAMILIKA KWA ASILIMIA 70

 
   Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii Dkt Faustine Ndugulile akizungumza jambo wakati alipotembelea Taasisi ya Mifupa MOI nakuangalia chumba cha teleradiolojia kinachotarajiwa kufanyiwa majaribio siku ya ijumaa tarehe 08/05/2020
 Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii Dkt Faustine Ndugulile akitoa maelekezo katika chumba cha teleradiolojia kinachotarajiwa kufanyiwa majaribio siku ya ijumaa tarehe 08/05/2020
 Mmoja wa Wasimamizi kutoka kampuni ya Pyramid, Abraham Okero (wa pili...

 

10 years ago

Vijimambo

MPANGO WA UJENZI WA DARAJA JIPYA LA KISASA LA SALENDER WAKAMILIKA

Muonekano wa Daraja jipya la Salenda litaakalopita baharini kuanzia Coco Beachi (Oysterbay) kwenda Hospitali ya Aga Khan (Maeneo ya Ocean Road/ Baraka Obama Road). Daraja hilo pamoja na barabara zake, litakuwa na urefu wa kilomita 7.2 na uwezo wa kupitisha magari zaidi ya 61,000 kwa siku huku likiwa na njia nne za magari pamoja service road njia za waenda kwa miguu kila upandeWaziri wa Ujenzi Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli kulia akizungumza na Balozi wa Jamhuri ya Korea nchini, Chung Il...

 

10 years ago

BBCSwahili

Samaki afanyiwa upasuaji wa ubongo

Samaki aina ya Goldfish,anaendelea kupata nafuu baada ya kufanyiwa upasuaji kutolewa uvimbe kwenye ubongo wake.

 

11 years ago

Habarileo

Upasuaji bure ubongo, mishipa ya fahamu Muhimbili

MADAKTARI bingwa wa upasuaji wa ubongo na mishipa ya fahamu, masikio na viungo kutoka nchini Misri wako nchini. Wamekuja kufanya kampeni maalumu ya afya, upasuaji na huduma mbalimbali kwa wagonjwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili na Kitengo cha Mifupa Muhimbili (MOI).

 

10 years ago

Habarileo

RC ampongeza diwani wa Chadema kwa ujenzi wa maabara

Mkuu Mkoa wa Singida, Dk Parseko KoneMKUU wa mkoa wa Singida, Dk Parseko Kone amemmwagia sifa tele diwani wa kata ya Mwangeza, katika halmashauri ya Mkalama mkoani Singida, Petro Mliga (CHADEMA) kwa kuwezesha kata yake kuibuka ya kwanza kukamilisha ujenzi wa maabara.

 

10 years ago

Dewji Blog

Milioni 40 zachangwa kwa ujenzi wa maabara ya sekondari

PIX 1 (2)

Mwenyekiti wa klabu ya Gymkhana Dioniz Malinzi akipiga mpira wakati wa ufunguzi wa mchezo wa gofu kwa ajili ya kuchangia ujenzi wa maktaba na vifaa vya kompyuta vya Shule ya Sekondari ya Mtakuja.

Na Beatrice Lyimo- Maelezo

Bahari Rotary Klabu  ikishirikiana na HANSA GROUP wamefanya harambee ya tano kwa ajili ya kuchangia Shule ya Sekondari Mtakuja iliyopo Kunduchi jijini Dar es Salaam.

Harambee hiyo iliyofanyika katika Viwanja vya Gymkhana kwa kuwa shindanisha washiriki kucheza mchezo wa...

 

10 years ago

Michuzi

MILIONI 40 ZACHANGISHWA KWA UJENZI WA MAABARA YA SHULE YA SEKONDARI

Mwenyekiti wa klabu ya Gymkhana Dioniz Malinzi akipiga mpira wakati wa ufunguzi wa mchezo wa gofu kwa ajili ya kuchangia ujenzi wa maktaba na vifaa vya kompyuta vya Shule ya Sekondari ya Mtakuja.
Na Beatrice Lyimo- Maelezo
Bahari Rotary Klabu ikishirikiana na HANSA GROUP wamefanya harambee ya tano kwa ajili ya kuchangia Shule ya Sekondari Mtakuja iliyopo Kunduchi jijini Dar es Salaam.
Harambee hiyo iliyofanyika katika Viwanja vya Gymkhana kwa kuwa shindanisha washiriki kucheza...

 

10 years ago

Habarileo

Afukuzwa kazi kwa kushindwa kusimamia ujenzi wa maabara

MTENDAJI wa Kata ya Kinungu katika Wilaya ya Igunga mkoani Tabora, Velilian Mapalala amefukuzwa kazi kwa tuhuma za kutokaa katika kituo chake cha kazi na kushindwa kusimamia ujenzi wa vyumba vya maabara katika kata hiyo.

 

5 years ago

BBCSwahili

Bwana Budha: Mwanamume anayepiga ngoma huku akifanyiwa upasuaji wa ubongo

Tazama mwanamuziki huyu kwa jina bwana Budha akipiga ngoma…huku aifanyiwa upasuaji wa ubongo mjini Nepal

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani