UJENZI WA MAABARA: MAHIZA AWATAKA WAKUU WA IDARA WASIKAE OFISINI WAENDE KWENYE KATA,ATAKA MADIWANI WAAHIRISHE VIKAO VYAO HADI UJENZI UTAKAPOKAMILIKA
Na John Gagarini, Bagamoyo
SUALA la Maabara kwa shule za Sekondari za Kata limeingia kwenye hatua nzito baada ya mkuu wa Mkoa wa Pwani Mwantumu Mahiza kuiacha ofisi yake na kuhamia Wilaya ya Bagamoyo ili kuhakikisha agizo la Rais Dk Jakaya Kikwete la kila wilaya iwe imekamilisha ujenzi huo ifikapo Novemba 30 mwaka huu.
Sambamba na hilo mkuu huyo amewataka wakuu wa idara wa Wilaya hiyo kila mmoja kutokaa ofisini na kuchagua kata ya kwenda ili kusimamia ujenzi huo hadi ujenzi wa maabara...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo04 May
Madiwani waagiza idara ya ujenzi kutoka ofisini
KUTOKANA na uharibifu mkubwa wa miundombinu, hasa barabara uliosababishwa na mvua za masika zilizonyesha kati ya Januari na Aprili, mwaka huu madiwani wilayani hapa wamewataka watendaji wa Idara ya Ujenzi waache kujifungia ofisini na badala yake watoke nje ili kujionea hali halisi na kuitafutia ufumbuzi.
9 years ago
Habarileo04 Sep
Wakuu idara za ujenzi watakiwa kusajiliwa
KATIBU Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue ameziagiza Halmashauri zote nchini kuhakikisha kwamba wakuu wote wa Idara za Ujenzi wamesajiliwa kama wahandisi wataalamu ifikapo Juni 30, mwakani.
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-yQKc-iaIG9k/U-tAenNRMLI/AAAAAAACnSI/5vF7j2bXWO4/s72-c/1.jpg)
KIKAO CHA MKAKATI WA UJENZI WA MAABARA ZA SHULE ZA SEKONDARI ZA KUDUMU KATA CHAFANYIKA DAR ES SALAAM
![](http://1.bp.blogspot.com/-yQKc-iaIG9k/U-tAenNRMLI/AAAAAAACnSI/5vF7j2bXWO4/s1600/1.jpg)
11 years ago
Mwananchi21 Mar
Mabwepande kukabidhiwa vifaa vyao vya ujenzi
9 years ago
Dewji Blog30 Dec
Baraza la Ujenzi lafanikiwa kutatua migogoro ya ujenzi 41 mwaka 2015, lawataka wananchi kuwa makini kabla ya kufanya ujenzi
Mtendaji Mkuu wa Baraza la Taifa la Ujenzi Mhandisi Dkt. Leonard Chamuriho akizungumza na waandishi wa habari leo Jijini Dar es salaam kuhusu Baraza hilo lilivyofanikiwa kutatua migogoro kwa kushirikiana na wadau wa sekta ya Ujenzi nchini.
Baadhi ya waandishi wa habari wakimsikiliza Mtendaji Mkuu wa Baraza la Taifa la Ujenzi Mhandisi Dkt. Leonard Chamuriho leo Jijini Dar es salaam kuhusu Baraza hilo lilivyofanikiwa kutatua migogoro kwa kushirikiana na wadau wa sekta ya Ujenzi...
11 years ago
GPL![](http://4.bp.blogspot.com/-EpRtAyObzKo/UuNs--7ZDFI/AAAAAAAAE_8/EUONrsqMub8/s1600/IMG_9935.jpg)
INJINIA MANYANYA: SITASITA KUWAONDOA WATUMISHI, WAKUU WA IDARA WANAOWACHONGANISHA MADIWANI NA MKURUGENZI WAO
10 years ago
Habarileo30 May
DC Mpwapwa apania ujenzi wa maabara
MKUU mpya wa Wilaya ya Mpwapwa mkoani Dodoma, Antony Mavunde ameapishwa jana mjini hapa na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma huku akisema kipaumbele chake cha kwanza ni kuhakikisha ujenzi wa maabara unakamilika kwa wakati.
10 years ago
Mtanzania11 Jun
Pinda: Ujenzi wa maabara palepale
Na Mwandishi Wetu, Mwanza
WAZIRI MKUU, Mizengo Pinda amesema tarehe ya mwisho iliyotolewa na Serikali ya kusimamia ujenzi wa maabara kwa shule za sekondari iko palepale na amewataka watendaji wa halmashauri na mikoa kuhakikisha wanatimiza agizo hilo.
Alitoa agizo hilo Mwanza jana alipozungumza na watendaji wa Mamlaka za Serikali za Mitaa na Waratibu wa Elimu wa Wilaya na Mikoa waliohudhuria ufunguzi wa mashindano ya UMISSETA na UMITASHUMTA kwenye uwanja wa CCM Kirumba.
Waziri Mkuu ambaye...