Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


INJINIA MANYANYA: SITASITA KUWAONDOA WATUMISHI, WAKUU WA IDARA WANAOWACHONGANISHA MADIWANI NA MKURUGENZI WAO

Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Injinia Stella Manyanya akizungumza katika kikao cha baraza la madiwani la Halmashauri ya Wilaya ya Sumbawanga kilichofanyika jana tarehe 25 Januari 2014 katika ukumbi wa Halmashauri hiyo uliopo Sumbawanga Mjini.  Mkuu wa Wilaya ya Sumbawanga Methew Sedoyyeka akizungumza katika kikao…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

WAKUU WA IDARA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI WAMPA ZAWADI KATIBU MKUU WAO

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwamini Malemi (kulia) akimkabidhi zawadi ya Ngao ya Utumishi Mrefu na Maadili Mema, Katibu Mkuu wa wizara hiyo, Mbarak Abdulwakil, kwa niaba ya Wakuu wa Idara na Vitengo wizarani humo. Zawadi hiyo ya kushtukiza iliandaliwa na viongozi hao wa Idara baada ya hivi karibuni Rais Jakaya Kikwete kumvisha Nishani ya Utumishi Mrefu na Maadili Mema Daraja la (I), Katibu Mkuu wao katika tukio lililofanyika Ikulu, jijini Dar es Salaam. Kushoto ni...

 

10 years ago

Michuzi

UJENZI WA MAABARA: MAHIZA AWATAKA WAKUU WA IDARA WASIKAE OFISINI WAENDE KWENYE KATA,ATAKA MADIWANI WAAHIRISHE VIKAO VYAO HADI UJENZI UTAKAPOKAMILIKA

Na John Gagarini, Bagamoyo
SUALA la Maabara kwa shule za Sekondari za Kata limeingia kwenye hatua nzito baada ya mkuu wa Mkoa wa Pwani Mwantumu Mahiza kuiacha ofisi yake na kuhamia Wilaya ya Bagamoyo ili kuhakikisha agizo la Rais Dk Jakaya Kikwete la kila wilaya iwe imekamilisha ujenzi huo ifikapo Novemba 30 mwaka huu.
Sambamba na hilo mkuu huyo amewataka wakuu wa idara wa Wilaya hiyo kila mmoja kutokaa ofisini na kuchagua kata ya kwenda ili kusimamia ujenzi huo hadi ujenzi wa maabara...

 

10 years ago

Vijimambo

WAKUU WA IDARA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI WAMPA ZAWADI KATIBU MKUU WAO BAADA YA KUTUNIKIWA NISHANI YA UTUMISHI MREFU NA MAADILI MEMA DARAJA LA (I)

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwamini Malemi (kulia) akimkabidhi zawadi ya Ngao ya Utumishi Mrefu na Maadili Mema, Katibu Mkuu wa wizara hiyo, Mbarak Abdulwakil, kwa niaba ya Wakuu wa Idara na Vitengo wizarani humo. Zawadi hiyo ya kushtukiza iliandaliwa na viongozi hao wa Idara baada ya hivi karibuni Rais Jakaya Kikwete kumvisha Nishani ya Utumishi Mrefu na Maadili Mema Daraja la (I), Katibu Mkuu wao katika tukio lililofanyika Ikulu, jijini Dar es Salaam. Kushoto ni...

 

9 years ago

Michuzi

WAZIRI WA ARDHI, NYUMBA NA MAENDELEO YA MAKAZI AWAAGIZA WAKUU WA IDARA KUANDAA TAARIFA ZA IDARA ZAO.

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Willium Lukuvi akizungumza na wakuu Idara katika wizara ya Ardhi nyumba na maendeleo ya makazi alipokutana nao leo alipokaribishwa kwa mara ya kwanza katika wizara  hiyo, tangu achaguliwe na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli kuwa Waziri wa wizara, na kuwaagiza wakuu wa idara katika wizara hiyo kutoa taaarifa za idara zao ifikapo jumatatu ya wiki ijayo.Naibu Waziri wa Wizara Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi,...

 

5 years ago

Michuzi

BARAZA LA MADIWANI NYASA LAMPONGEZA NAIBU WAZIRI MANYANYA

Mbunge wa wa Jimbo la Nyasa Mhandisi Stela Manyanya Amabaye pia ni Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara akiwa katika Baraza la Madiwani lililofanyika katika Ukumbi wa Kepten John Komba Mbamba-bay Wilayani Nyasa.Pamoja na mambo mengine Baraza hilo limempongeza kwa kutekeleza miradi mingi ya Maendeo Wilayani hapa

*********************************

Baraza la Madiwani la Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa, limempongeza Mbunge wa jimbo la Nyasa ambaye pia ni Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhandisi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani