Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Baraza la Ujenzi lafanikiwa kutatua migogoro ya ujenzi 41 mwaka 2015, lawataka wananchi kuwa makini kabla ya kufanya ujenzi

PIX 1 (1)

Mtendaji Mkuu wa Baraza la Taifa la Ujenzi Mhandisi Dkt. Leonard Chamuriho  akizungumza na waandishi wa habari leo Jijini Dar es salaam kuhusu Baraza hilo lilivyofanikiwa kutatua migogoro kwa kushirikiana na wadau wa sekta ya Ujenzi nchini.

PIX 3 (1)

Baadhi ya waandishi wa habari wakimsikiliza Mtendaji Mkuu wa Baraza la Taifa la Ujenzi Mhandisi Dkt. Leonard Chamuriho  leo Jijini Dar es salaam kuhusu Baraza hilo lilivyofanikiwa kutatua migogoro kwa kushirikiana na wadau wa sekta ya Ujenzi...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

Baraza la Taifa la Ujenzi lapokea migogoro 41 na kufanikiwa kuitafutia ufumbuzi katika kipindi cha mwaka 2015

Frank Mvungi- Maelezo
Baraza la Taifa la Ujenzi limepokea migogoro 41 na kufanikiwa kuitafutia ufumbuzi katika kipindi cha mwaka 2015 kwa kushirikiana na wadau wa sekta ya Ujenzi nchini.
Hayo yamesemwa na Mtendaji Mkuu wa Baraza la Taifa la Ujenzi Mhandisi Dkt. Leonard Chamuriho wakati wa mkutano na waandishi wa habari leo Jijini Dar es salaam.
Akizungumzia majukumu ya Baraza hilo katika kutatua Migogoro inayojitokeza katika Sekta hiyo, Mhandisi Chamuriho amebainisha kuwa migogogoro...

 

10 years ago

Michuzi

BARAZA LA TAIFA LA UJENZI LATATUA ZAIDI YA MIGOGORO KATIKA KIPINDI CHA MIAKA 10

 Kutoka kushoto ni Kaimu Mkuu wa Idara ya kumbukumbu na Habari John Haule, Afisa habari Mwandamizi wa baraza la Taifa la Ujenzi, Robertha Makinda, Afisa Mtendaji wa Baraza la Taifa la Ujenzi, Dr. Leonard Chamuliho akizungumza na waandishi wa habari kuhusiana na majukumu na mafanikio ya araza la Taifa la Ujenzi. kutoka kulia ni Afisa habari wa Baraza la Taifa la Ujenzi, Shukuru Sekondo na Mkuu wa Idara ya Majengo, Julius Mamiro.Afisa Mtendaji wa Baraza la Taifa la Ujenzi, Dr. Leonard...

 

5 years ago

Michuzi

Nyasa kuanza ujenzi wa Kituo cha afya Kata ya Kingerikiti kutatua kero ya wananchi

Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa, inatarajia kuanza ujenzi wa Kituo cha afya katika Kata ya Kingerikiti, tarafa ya Mpepo, na kutatua kero ya wananchi wa kata hiyo waliokuwa wakisafiri umbali wa takriban Kilometa 40 kufuata huduma za matibabu katika Wilaya ya Mbinga.

Hayo yamesemwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Wilaya ya Nyasa Bw. Jimson Mhagama, wakati akiongea na wananchi wa Kata ya Kingerikiti kwa lengo la kutambulisha mradi na kuwashirikisha Wananchi ili waweze kushirikiana na Serikali kwa...

 

10 years ago

Habarileo

Mkutano wa NHC, Baraza la Ujenzi kuwa Arusha Feb. 19

BARAZA la Ujenzi Endelevu na Utunzaji wa Mazingira Tanzania kwa kushirikiana na Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), wameandaa mkutano wa kwanza utakaoshirikisha nchi Jumuiya wanachama wa Afrika Mashariki, kwa ajili ya kujadili masuala ya ujenzi unaozingatia mazingira.

 

11 years ago

Michuzi

WAZIRI WA UJENZI DK. MAGUFULI AIFAGILIA NSSF UJENZI WA DARAJA LA KIGAMBONI

WAZIRI wa Ujenzi, Dk. John Magufuli, ameusifu Mfuko wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) kwa kuhakikisha wanasimamia ujenzi wa daraja la Kigamboni.
Ujenzi wa daraja hilo umekamilika kwa asilimia 60 ambapo mpaka sasa NSSF imetoa sh. bilioni 117 kati ya Bilioni 214 zitakazokamilisha ujenzi wa daraja hilo.
Akizungumza leo jijini Dar es salaam, alipotembelea daraja kuona namna ujenzi unavyoendelea, Dk. Magufuli alisema kuwa ujenzi wa daraja hilo umekutana na changamoto nyingi ikiwemo kina kilichokuwa...

 

10 years ago

Vijimambo

MEYA WA MANISPAA YA ILALA JERRY SLAA ASIMAMISHA UJENZI WA MAJENGO KWA KUKIUKA MICHORO YA UJENZI

Meya wa Manispaa ya Ilala Jerry Slaa(kushoto) na Mkuu wa kitengo cha mazingira wa manispaa hiyo Themi Luther(kulia) wakipitia michoro ya usanifu ya majengo kwenye makutano ya mitaa ya Aggrey na Indragadhi ambapo ujenzi huo haujafuata michoro, Alipotembelea na kupima uzio wa mabati unaowekwa na wakandarasi wengi bila kulipiwa vibali, Katika ukaguzi huo majengo mengi yamekiuka michoro ya ujenzi na amesimamisha ujenzi huo mara moja hapo jana.Mkuu wa kitengo cha mazingira wa manispaa ya Ilala...

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI WA UJENZI AKAGUA UJENZI WA BARABARA YA TENGERU-SAKINA (KM 14.1) ITAKAYOJENGWA KWA NJIA NNE MKOANI ARUSHA

 Waziri wa Ujenzi Dkt. John Pombe Magufuli (Mb) akisalimiana na baadhi ya wakazi wa Patandi wakati akiwasili kwenye hafla hiyo ya kukagua ujenzi wa barabara ya lami ya Sakina-Tengeru yenye urefu wa km 14.1 itakayojengwa kwa njia nne pamoja na madaraja makubwa mawili. Waziri wa Ujenzi Dkt. John Pombe Magufuli (Mb) akizungumza na wakaazi wa Patandi, Sangis na Tengeru kuhusu ujenzi wa barabara ya lami ya Sakina-Tengeru yenye urefu wa km 14.1 itakayojengwa kwa njia nne pamoja na madaraja makubwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani