Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Madiwani waagiza idara ya ujenzi kutoka ofisini

KUTOKANA na uharibifu mkubwa wa miundombinu, hasa barabara uliosababishwa na mvua za masika zilizonyesha kati ya Januari na Aprili, mwaka huu madiwani wilayani hapa wamewataka watendaji wa Idara ya Ujenzi waache kujifungia ofisini na badala yake watoke nje ili kujionea hali halisi na kuitafutia ufumbuzi.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

UJENZI WA MAABARA: MAHIZA AWATAKA WAKUU WA IDARA WASIKAE OFISINI WAENDE KWENYE KATA,ATAKA MADIWANI WAAHIRISHE VIKAO VYAO HADI UJENZI UTAKAPOKAMILIKA

Na John Gagarini, Bagamoyo
SUALA la Maabara kwa shule za Sekondari za Kata limeingia kwenye hatua nzito baada ya mkuu wa Mkoa wa Pwani Mwantumu Mahiza kuiacha ofisi yake na kuhamia Wilaya ya Bagamoyo ili kuhakikisha agizo la Rais Dk Jakaya Kikwete la kila wilaya iwe imekamilisha ujenzi huo ifikapo Novemba 30 mwaka huu.
Sambamba na hilo mkuu huyo amewataka wakuu wa idara wa Wilaya hiyo kila mmoja kutokaa ofisini na kuchagua kata ya kwenda ili kusimamia ujenzi huo hadi ujenzi wa maabara...

 

11 years ago

GPL

INJINIA MANYANYA: SITASITA KUWAONDOA WATUMISHI, WAKUU WA IDARA WANAOWACHONGANISHA MADIWANI NA MKURUGENZI WAO

Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Injinia Stella Manyanya akizungumza katika kikao cha baraza la madiwani la Halmashauri ya Wilaya ya Sumbawanga kilichofanyika jana tarehe 25 Januari 2014 katika ukumbi wa Halmashauri hiyo uliopo Sumbawanga Mjini.  Mkuu wa Wilaya ya Sumbawanga Methew Sedoyyeka akizungumza katika kikao…

 

9 years ago

Habarileo

Wakuu idara za ujenzi watakiwa kusajiliwa

KATIBU Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue ameziagiza Halmashauri zote nchini kuhakikisha kwamba wakuu wote wa Idara za Ujenzi wamesajiliwa kama wahandisi wataalamu ifikapo Juni 30, mwakani.

 

10 years ago

GPL

BALOZI WA JAMHURI YA KOREA AMTEMBELEA WAZIRI WA UJENZI OFISINI KWAKE JIJINI DAR

Waziri wa Ujenzi Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli kulia akizungumza na Balozi wa Jamhuri ya Korea, Chung Il kuhusiana na mambo mbalimbali kuhusu sekta ya Ujenzi pamoja na mchakato wa Ujenzi wa Daraja jipya litakalopita baharini pembezoni mwa darajala Selander.Daraja hilo litakuwa na urefu wa kilomita 7.2 na uwezo wa kupitisha magari zaidi ya 61,000 kwa siku.
Waziri wa Ujenzi Dkt. John Pombe Magufuli akijadiliana jambo na...

 

10 years ago

Michuzi

BALOZI WA JAMHURI YA KOREA AMTEMBELEA WAZIRI WA UJENZI OFISINI KWAKE JIJINI DAR

Waziri wa Ujenzi Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli kulia akizungumza na Balozi wa Jamhuri ya Korea, Chung Il kuhusiana na mambo mbalimbali kuhusu sekta ya Ujenzi pamoja na mchakato wa Ujenzi wa Daraja jipya litakalopita baharini pembezoni mwa daraja la Selander.Daraja hilo litakuwa na urefu wa kilomita 7.2 na uwezo wa kupitisha magari zaidi ya 61,000 kwa siku. Ujenzi wa Daraja hilo utaanza muda wowote kuanzia sasa. Daraja hilo litakuwa na njia nne za magari pamoja service road...

 

11 years ago

Michuzi

10 years ago

Michuzi

KAMATI YA MAWASILIANO NA UJENZI YA BARAZA LA WAWAKILISHI YATEMBELEA MIRADI YA MAENDELEO INAYOTEKELEZWA NA IDARA YA NJIA ZANZIBAR

 Wajumbe wa kamati ya Mawasiliano na Ujenzi ya Baraza la Wawakilishi wakitembelea miradi ya maendeleo inayotekelezwa  na Idara ya Ujenzi wa Barabara (UUB). Mwenyekiti wa Kamati hiyo wakwanza  (kushoto) Mahmoud Muhammed Mussa akiwa na wajumbe wenzake na watendaji wakuu wa UUB wakikagua barabara ya Chaani iliopo Wilaya ya Kaskazini ‘A’ Unguja. Mhandisi Mkuu  wa UUB  Eng. Cosmas Masolwa akitoa maelezo  kwa wajumbe wa Kamati ya Mawasiliano na Ujenzi  ya Baraza la Wawakilishi juu ya ukarabati...

 

11 years ago

GPL

IDARA YA UHAMIAJI MBEYA INAWASHIKILIA WAHAMIAJI HARAMU 62 KUTOKA ETHIOPIA

Ofisa Uhamiaji Mkoa wa Mbeya, William Bambanganya akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) ofisini kwake jana. Wanahabari wakimsikiliza William Bambanganya. IDARA ya Uhamiaji Mkoa wa Mbeya inawashikilia wahamiaji Haramu 62 ambao ni Wahabeshi raia wa Ethiopia pamoja na Watanzania wawili wakituhumiwa kuingia nchini kinyume na utaratibu. Akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake… ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani