Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KAMATI YA MAWASILIANO NA UJENZI YA BARAZA LA WAWAKILISHI YATEMBELEA MIRADI YA MAENDELEO INAYOTEKELEZWA NA IDARA YA NJIA ZANZIBAR

 Wajumbe wa kamati ya Mawasiliano na Ujenzi ya Baraza la Wawakilishi wakitembelea miradi ya maendeleo inayotekelezwa  na Idara ya Ujenzi wa Barabara (UUB). Mwenyekiti wa Kamati hiyo wakwanza  (kushoto) Mahmoud Muhammed Mussa akiwa na wajumbe wenzake na watendaji wakuu wa UUB wakikagua barabara ya Chaani iliopo Wilaya ya Kaskazini ‘A’ Unguja. Mhandisi Mkuu  wa UUB  Eng. Cosmas Masolwa akitoa maelezo  kwa wajumbe wa Kamati ya Mawasiliano na Ujenzi  ya Baraza la Wawakilishi juu ya ukarabati...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Kamati ya mawasiliano na ujenzi ya Baraza la wawakilishi yatembelea miradi ya maendeleo

01

Wajumbe wa kamati ya Mawasiliano na Ujenzi ya Baraza la Wawakilishi wakitembelea miradi ya maendeleo inayotekelezwa  na Idara ya Ujenzi wa Barabara (UUB). Mwenyekiti wa Kamati hiyo wakwanza  (kushoto) Mahmoud Muhammed Mussa akiwa na wajumbe wenzake na watendaji wakuu wa UUB wakikagua barabara ya Chaani iliopo Wilaya ya Kaskazini ‘A’ Unguja. (Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar).

02

Mhandisi Mkuu  wa UUB  Eng. Cosmas Masolwa akitoa maelezo  kwa wajumbe wa Kamati ya Mawasiliano na Ujenzi ...

 

11 years ago

Dewji Blog

Kamati ya fedha, biashara na kilimo ya baraza la wawakilishi Zanzibar yatembelea kiwanda cha Sukari Mahonda

DSC_1105

Muonekano wa Kiwanda cha Sukari Mahonda kilivyo hivi sasa.

DSC_1109

Mshauri muelekezi wa Kiwanda cha Sukari Mahonda Dk. Hamza Hussein Sabri (alie simama) akitoa maelezo na changamoto wanazozipata Kiwandani hapo, kwa Kamati ya Fedha, Biashara na Kilimo ya Baraza la wawakilishi walipoenda kutembelea Kiwanda hapo.

DSC_1134

Makamo Mwenyekiti wa Kamati ya Fedha, Biashara na Kilimo ya Baraza la wawakilishi Hija Hassan Hija akizunguza na uongozi wa Kiwanda cha Sukari na viongozi wa Wizara ya Biashara, Viwanda na...

 

11 years ago

Michuzi

RIPOTI YA KAMATI YA BARAZA LA WAWAKILISHI KUHUSU MPANGO WA MAENDELEO NA BAJETI YA SERIKALI


SERIKALI ya Mapinduzi Zanzibar imetakiwa kutoa elimu kwa wananchi ili kujua umuhimu wa utalii nchini na kuhakikisha kuwa sekta hiyo inatoa  huduma iliyobora   na kuimarisha uchumi wa Taifa.
Akiwasilisha Ripoti ya Kamati ya Wenyeviti wa Baraza la Wawakilishi  Zanzibar kuhusu Hali ya Uchumi na Mpango wa Maendeleo kwa mwaka 2014/2015 Mwenyekiti wa Wenyeviti Hamza Hassan Juma amesema ni muhimu kwa Serikali kuimarisha ulinzi kwenye maeneo yote ya utalii na kuondosha vitendo vya uahalifu ili...

 

10 years ago

Michuzi

UFUNGUZI WA KIKAO KATI YA UONGOZI WA WIZARA YA MAMBO YA NJE NA KAMATI YA KUDUMU YA BARAZA LA WAWAKILISHI ZANZIBAR

Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Balozi Rajab Gamah akifungua kikao  kati ya Uongozi wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Kamati ya Kudumu ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar inayosimamia Ofisi za Viongozi za Kitaifa  kushoto ni Mwenyekiti wa Jimbo la Kwamtipura Mhe. Hamza Hassan Juma kulia ni Mwenyekiti wa Jimbo la Wawi, Mhe. Saleh Nassor Juma. 
Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Baraza la Wawakilishi inayosimamia Ofisi za Viongozi wa...

 

10 years ago

Habarileo

Kamati ya Bunge yatembelea miradi ya maji

WIZARA ya Maji imelazimika kuwapeleka wabunge wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Klimo, Mifugo na Maji katika miradi mbalimbali ya maji Tanzania bara, ili kujionea hali ya utekelezaji wa miradi hiyo.

 

10 years ago

Dewji Blog

Bodi ya NHC yatembelea na kukagua miradi ya ujenzi wa nyumba jijini Arusha

Ujumbe wa wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya NHC ukiwa eneo linalomilikiwa na  NHC ambalo ujenzi wa Mji wa kisasa umeanza wakionyeshwa na Meneja wa NHC Mkoa wa Arusha Bw. James Kisarika chemchemu za maji yanayotiririka walipotembelea eneo hilo lenye hali ya hewa ya aina yake Jijini Arusha jana.

Usa River ni Arusha Tanzania ambapo NHC Shirika lenye dhamana ya kujenga nyumba bora hapa nchini limeanza kupanga mji huo wenye mandhari na hali ya hewa ya kuvutia. Hapa wajumbe wa Bodi ya NHC na...

 

5 years ago

Michuzi

KAMATI ya Utendaji yaTFF imeunda Kamati ya Maendeleo ya Miradi

KAMATI  ya Utendaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) imeunda Kamati ya Maendeleo ya Miradi ili kusimamia utekelezaji wa miradi ya ujenzi wa vituo vya michezo vya Kigamboni, Dar es Salaam na Tanga.
Kabla ya kuunda Kamati hiyo, Kamati ya Utendaji ilipokea taarifa ya maandalizi ya utekelezaji wa miradi hiyo kwenye kikao chake kilichofanyika Februari 18, 2020 jijini Dar es Salaam.
Wajumbe wa Kamati hiyo ni QS Lucy Mzengi (Mwenyekiti), Mhandisi Hersi Said, Mhandisi Hamad Ramadhan, na...

 

11 years ago

Michuzi

KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA MIUNDOMBINU YATEMBELEA KAMPUNI YA SIMU TANZANIA (TTCL) NA OFISI ZA MKONGO WA TAIFA WA MAWASILIANO

Afisa Mtendaji Mkuu wa TTCL Dkt Kamugisha Kazaura(aliyesimama) akiwasilisha taarifa ya maendeleo ya Mkongo wa Taifa wa TEHEMA kwa wajumbe wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya Miundombinu. Kulia ni Kaimu Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) Mama Edwina Lupembe; kushoto ni katibu wa TTCL Bi. Lugano Rwetaka. Kamati ya Bunge ya Miundombinu ilipotembelea ofisi za mkongo wa Taifa wa Mawasiliano. Mhandisi Adam Mwaipungu akifafanua jambo kuhusu mtambo wa RCIP ambao...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani