Kamati ya mawasiliano na ujenzi ya Baraza la wawakilishi yatembelea miradi ya maendeleo
Wajumbe wa kamati ya Mawasiliano na Ujenzi ya Baraza la Wawakilishi wakitembelea miradi ya maendeleo inayotekelezwa na Idara ya Ujenzi wa Barabara (UUB). Mwenyekiti wa Kamati hiyo wakwanza (kushoto) Mahmoud Muhammed Mussa akiwa na wajumbe wenzake na watendaji wakuu wa UUB wakikagua barabara ya Chaani iliopo Wilaya ya Kaskazini ‘A’ Unguja. (Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar).
Mhandisi Mkuu wa UUB Eng. Cosmas Masolwa akitoa maelezo kwa wajumbe wa Kamati ya Mawasiliano na Ujenzi ...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziKAMATI YA MAWASILIANO NA UJENZI YA BARAZA LA WAWAKILISHI YATEMBELEA MIRADI YA MAENDELEO INAYOTEKELEZWA NA IDARA YA NJIA ZANZIBAR
11 years ago
Dewji Blog29 Apr
Kamati ya fedha, biashara na kilimo ya baraza la wawakilishi Zanzibar yatembelea kiwanda cha Sukari Mahonda
Muonekano wa Kiwanda cha Sukari Mahonda kilivyo hivi sasa.
Mshauri muelekezi wa Kiwanda cha Sukari Mahonda Dk. Hamza Hussein Sabri (alie simama) akitoa maelezo na changamoto wanazozipata Kiwandani hapo, kwa Kamati ya Fedha, Biashara na Kilimo ya Baraza la wawakilishi walipoenda kutembelea Kiwanda hapo.
Makamo Mwenyekiti wa Kamati ya Fedha, Biashara na Kilimo ya Baraza la wawakilishi Hija Hassan Hija akizunguza na uongozi wa Kiwanda cha Sukari na viongozi wa Wizara ya Biashara, Viwanda na...
11 years ago
MichuziRIPOTI YA KAMATI YA BARAZA LA WAWAKILISHI KUHUSU MPANGO WA MAENDELEO NA BAJETI YA SERIKALI
SERIKALI ya Mapinduzi Zanzibar imetakiwa kutoa elimu kwa wananchi ili kujua umuhimu wa utalii nchini na kuhakikisha kuwa sekta hiyo inatoa huduma iliyobora na kuimarisha uchumi wa Taifa.
Akiwasilisha Ripoti ya Kamati ya Wenyeviti wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar kuhusu Hali ya Uchumi na Mpango wa Maendeleo kwa mwaka 2014/2015 Mwenyekiti wa Wenyeviti Hamza Hassan Juma amesema ni muhimu kwa Serikali kuimarisha ulinzi kwenye maeneo yote ya utalii na kuondosha vitendo vya uahalifu ili...
10 years ago
Habarileo23 Jan
Kamati ya Bunge yatembelea miradi ya maji
WIZARA ya Maji imelazimika kuwapeleka wabunge wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Klimo, Mifugo na Maji katika miradi mbalimbali ya maji Tanzania bara, ili kujionea hali ya utekelezaji wa miradi hiyo.
10 years ago
Dewji Blog07 May
Bodi ya NHC yatembelea na kukagua miradi ya ujenzi wa nyumba jijini Arusha
Ujumbe wa wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya NHC ukiwa eneo linalomilikiwa na NHC ambalo ujenzi wa Mji wa kisasa umeanza wakionyeshwa na Meneja wa NHC Mkoa wa Arusha Bw. James Kisarika chemchemu za maji yanayotiririka walipotembelea eneo hilo lenye hali ya hewa ya aina yake Jijini Arusha jana.
Usa River ni Arusha Tanzania ambapo NHC Shirika lenye dhamana ya kujenga nyumba bora hapa nchini limeanza kupanga mji huo wenye mandhari na hali ya hewa ya kuvutia. Hapa wajumbe wa Bodi ya NHC na...
5 years ago
MichuziKAMATI ya Utendaji yaTFF imeunda Kamati ya Maendeleo ya Miradi
Kabla ya kuunda Kamati hiyo, Kamati ya Utendaji ilipokea taarifa ya maandalizi ya utekelezaji wa miradi hiyo kwenye kikao chake kilichofanyika Februari 18, 2020 jijini Dar es Salaam.
Wajumbe wa Kamati hiyo ni QS Lucy Mzengi (Mwenyekiti), Mhandisi Hersi Said, Mhandisi Hamad Ramadhan, na...
11 years ago
MichuziKAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA MIUNDOMBINU YATEMBELEA KAMPUNI YA SIMU TANZANIA (TTCL) NA OFISI ZA MKONGO WA TAIFA WA MAWASILIANO
10 years ago
Vijimambo12 Dec
TIMU YA UKAGUZI WA MIRADI YA MAENDELEO KUTOKA OFISI YA RAIS, TUME YA MIPANGO YATEMBELEA MELI YA KIHISTORIA YA MV LIEMBA
Marehemu Killa alianguka chooni nyumbani kwake, Mtaa wa Majengo jijini hapa Desemba 7, mwaka huu na kukimbizwa Hospitali ya Rufaa...