Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TIMU YA UKAGUZI WA MIRADI YA MAENDELEO KUTOKA OFISI YA RAIS, TUME YA MIPANGO YATEMBELEA MELI YA KIHISTORIA YA MV LIEMBA

Stori: Mwandishi Wetu, MbeyaMAJANGA! Siku chache baada ya aliyekuwa Shehe Mkuu wa Wilaya ya Mbeya, Abubakar Mketo kufariki dunia akiwa kaburini akizika, kiongozi mwingine wa Kiislam, Katibu Mkuu wa Bakwata Mkoa wa Mbeya, Juma Killa naye amefariki dunia baada ya kuanguka chooni.Katibu Mkuu wa Bakwata Mkoa wa Mbeya, Juma Killa (wa pili kushoto) wakati wa uhai wake.
Marehemu Killa alianguka chooni nyumbani kwake, Mtaa wa Majengo jijini hapa Desemba 7, mwaka huu na kukimbizwa Hospitali ya Rufaa...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

wataalam wa ukaguzi wa miradi ya maendeleo kutoka Ofisi ya Rais (Tume ya Mipango) watembelea Mtambo wa Maji wa Ruvu Chini

Meneja wa Mtambo wa Ruvu Chini, Mhandisi Emmanuel Makusa (Kushoto) akiwaonesha Wataalamu wa Ukaguzi wa Miradi ya Maendeleo kutoka Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango mashine nne mpya zilifungwa na Serikali hivi karibuni walipofanya ziara ya ukaguzi katika Mtambo huo uliopo mkoa wa Pwani. Viongozi wa msafara wa wataalam wa ukaguzi wa miradi ya maendeleo kutoka Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango, Naibu Katibu Mtendaji (Huduma za Jamii na Masuala ya Idadi ya Watu), Bibi Florence Mwanri (Wapili...

 

10 years ago

Vijimambo

OFISI YA RAIS, TUME YA MIPANGO YAKAGUA MIRADI YA MAENDELEO

Mapema wiki iliyopita Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango ilitembelea miradi ya maendeleo katika maeneo mbalimbali nchini ili kukagua utekelezaji wake. Miradi hiyo ni pamoja na Kituo cha kuzalisha samaki Morogoro, Skimu ya Umwagiliaji Iringa vijijini, Maghala ya COWABAMA Iringa Vijijini, Ujenzi wa Barabara ya Iringa – Dodoma, Bwawa la Mtera, Ujenzi wa Barabara ya Manyoni – Itigi, utandikaji wa Reli eneo kati ya Kitaraka na Malongwe, Shamba la Kitengule, One Stop Border Post Mutukula, Mkongo wa...

 

10 years ago

Michuzi

TUME YA MIPANGO YATEMBELEA MIRADI WA UMEME WA UPEPO SINGIDA

 Meneja wa Mradi, Mhandisi. Pascal Malesa akiwaonesha timu ya ukaguzi eneo linalokusudiwa kwa ajili ya mradi wa umeme wa upepo nje kidogo ya mji wa Singida, mbele yake ni kiongozi wa timu hiyo Mhandisi. Happiness Mgalula, ambaye ni Naibu Katibu Mtendaji wa Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango. Meneja wa Mradi, Mha. Pascal Malesa akiwaonesha timu ya ukaguzi eneo linalokusudiwa kwa ajili ya mradi wa umeme wa upepo nje kidogo ya mji wa Singida.  Mhandisi Malesa akitoa maelezo juu ya utendaji kazi wa...

 

11 years ago

Michuzi

OFISI YA RAIS, TUME YA MIPANGO YAKAGUA MAENDELEO YA MRADI WA CHUMA LIGANGA MKOANI NJOMBE

 Katibu Mtendaji wa Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango, Dkt. Philip I. Mpango (wa tatu kushoto) akipata maelezo kuhusu Mradi wa Chuma Liganga kutoka kwa Nie Zhiyan (kulia), ambae ni Makamu Afisa Muendeshaji Mkuu wa Tanzania China International Mineral Resources Ltd (TCIMRL). Hili  ni eneo ambalo kiwanda cha chuma chenye uwezo wa kuzalisha tani milioni moja kwa mwaka kitajengwa. Kutoka kushoto, wengine ni Bw. Ramson Mwilangali, Kaimu Mkurugenzi wa Viwanda Mama - NDC , Bw. Erasmus Masumbuko,...

 

11 years ago

Michuzi

VIONGOZI NA WATAALAM WA OFISI YA RAIS, TUME YA MIPANGO WAKAGUA MAENDELEO MRADI WA MAKAA YA MAWE MCHUCHUMA

 Katibu Mtendaji wa Ofisi ya Rais Tume ya Mipango, Dkt. Philip Mpango (wa pili kulia), akipata maelezo juu ya Mradi wa Makaa ya Mawe Mchuchuma kutoka kwa Meneja Utawala Msaidizi wa kampuni ya Tanzania – China International Mineral Resources Limited (TCIMRL) Bw. Israel Mkojera. Pamoja nae ni Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa NDC Bw. Mlingi E. Mkucha (wa kwanza kulia), Kaimu Mkurugenzi wa Viwanda Mama wa NDC Bw. Ramson Mwilangali (wa kwanza kushoto), Naibu Katibu Mtendaji, Tume ya Mipango Bi....

 

9 years ago

Press

TUME YA MIPANGO OFISI YA RAIS YAKAGUA MIRADI YA VITUO VYA KUZALISHA UMEME VYA KIDATU NA KIHANSI

 

SONY DSC

Bibi. Florence Mwanri, Kaimu Katibu Mtendaji, Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango (aliyevaa nguo nyeusi) akiangalia na kupata maelezo kutoka kwa Injinia wa kituo Bw. Rajabu Kindunda (wa tatu kulia) kuhusu Bwawa la Kidatu ambalo maji hukusanywa kutoka mto Rufiji kabla ya kutumika kwa ajili ya kuzalisha umeme. Wengine pamoja nae ni wataalamu kutoka Tume ya Mipango na TANESCO.

SONY DSC

Bibi. Florence Mwanri, Kaimu Katibu Mtendaji, Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango (aliyevaa nguo nyeusi) akiangalia eneo la...

 

9 years ago

Michuzi

OFISI YA RAIS, TUME YA MIPANGO YAKAGUA MIRADI YA VITUO VYA KUZALISHA UMEME VYA KIDATU NA KIHANSI

SONY DSC Bibi. Florence Mwanri, Kaimu Katibu Mtendaji, Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango (aliyekaa) akipata maelezo kuhusu namna Kituo cha Kihansi kinavyofanyakazi kwa kutumia teknolojia ya kisasa ambayo imeboresha utendaji kazi kwa wafanyakazi na mitambo ambayo inatumika kuzalisha nishati ya umeme. 
SONY DSC Bibi. Florence Mwanri, Kaimu Katibu Mtendaji, Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango (aliyevaa nguo nyeusi) pamoja na maofisa kutoka Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango wakipata maelezo kutoka kwa Injinia...

 

10 years ago

Michuzi

TIMU YA UKAGUZI WA MIRADI YA MAENDELEO YAKAGUA MADARAJA LUHEKEI MKOANI RUVUMA

Meneja wa wakala wa barabara (TANROADS) mkoani Ruvuma, Mhandisi Abraham Kissimbo akizungumza na timu ya ukaguzi wa miradi ya maendeleo kutoka Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango ilipofika ofisini kwake. Meneja wa wakala wa barabara (TANROADS) mkoani Ruvuma, Mhandisi Abraham Kissimbo akitoa maelekezo kwa timu ya ukaguzi wa miradi ya maendeleo kutoka Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango ilipofika ofisini kwake. Timu ya ukaguzi wa miradi ya maendeleo kutoka Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango ikijionea...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani