OFISI YA RAIS, TUME YA MIPANGO YAKAGUA MAENDELEO YA MRADI WA CHUMA LIGANGA MKOANI NJOMBE
.jpg)
Katibu Mtendaji wa Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango, Dkt. Philip I. Mpango (wa tatu kushoto) akipata maelezo kuhusu Mradi wa Chuma Liganga kutoka kwa Nie Zhiyan (kulia), ambae ni Makamu Afisa Muendeshaji Mkuu wa Tanzania China International Mineral Resources Ltd (TCIMRL). Hili ni eneo ambalo kiwanda cha chuma chenye uwezo wa kuzalisha tani milioni moja kwa mwaka kitajengwa. Kutoka kushoto, wengine ni Bw. Ramson Mwilangali, Kaimu Mkurugenzi wa Viwanda Mama - NDC , Bw. Erasmus Masumbuko,...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboOFISI YA RAIS, TUME YA MIPANGO YAKAGUA MIRADI YA MAENDELEO
11 years ago
MichuziOFISI YA RAIS, TUME YA MIPANGO YAKAGUA MRADI WA MAKAA YA MAWE NGAKA
11 years ago
Michuzi.jpg)
VIONGOZI NA WATAALAM WA OFISI YA RAIS, TUME YA MIPANGO WAKAGUA MAENDELEO MRADI WA MAKAA YA MAWE MCHUCHUMA
.jpg)
9 years ago
Press20 Dec
TUME YA MIPANGO OFISI YA RAIS YAKAGUA MIRADI YA VITUO VYA KUZALISHA UMEME VYA KIDATU NA KIHANSI
Bibi. Florence Mwanri, Kaimu Katibu Mtendaji, Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango (aliyevaa nguo nyeusi) akiangalia na kupata maelezo kutoka kwa Injinia wa kituo Bw. Rajabu Kindunda (wa tatu kulia) kuhusu Bwawa la Kidatu ambalo maji hukusanywa kutoka mto Rufiji kabla ya kutumika kwa ajili ya kuzalisha umeme. Wengine pamoja nae ni wataalamu kutoka Tume ya Mipango na TANESCO.
Bibi. Florence Mwanri, Kaimu Katibu Mtendaji, Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango (aliyevaa nguo nyeusi) akiangalia eneo la...
9 years ago
Michuzi20 Dec
OFISI YA RAIS, TUME YA MIPANGO YAKAGUA MIRADI YA VITUO VYA KUZALISHA UMEME VYA KIDATU NA KIHANSI


10 years ago
Vijimambo12 Dec
TIMU YA UKAGUZI WA MIRADI YA MAENDELEO KUTOKA OFISI YA RAIS, TUME YA MIPANGO YATEMBELEA MELI YA KIHISTORIA YA MV LIEMBA


Marehemu Killa alianguka chooni nyumbani kwake, Mtaa wa Majengo jijini hapa Desemba 7, mwaka huu na kukimbizwa Hospitali ya Rufaa...
11 years ago
Michuziwataalam wa ukaguzi wa miradi ya maendeleo kutoka Ofisi ya Rais (Tume ya Mipango) watembelea Mtambo wa Maji wa Ruvu Chini
10 years ago
VijimamboWAZIRI NAGU ATEMBELEA OFISI YA RAIS, TUME YA MIPANGO
Waziri wa nchi (Ofisi ya Rais) Mahusiano na Uratibu, Mhe. Dkt. Mary Nagu amefanya ziara ya kujitambulisha kwa Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango ambayo ni moja taasisi anazoziratibu.
Akizungumza wakati wa ziara hiyo Dkt. Nagu alitoa wito kwa Tume ya Mipango ijielekeze katika kujibu changamoto kuu za kiuchumi zinazowakabili watanzania kwa sasa ikiwemo umaskini miongoni kwa Watanzania walioko vijijini, ukosefu wa wa viwanda vya kuongeza thamani mazao hasa kipindi hiki Tanzania...
10 years ago
Vijimambo
(UNFPA) TANZANIA NA OFISI YA RAIS, TUME YA MIPANGO WAENDESHA WARSHA


Shirika la Umoja wa...