Mkurugenzi Masasi ahimiza ujenzi wa maabara
MKURUGENZI wa Halmashauri ya mji Masasi mkoani Mtwara, Fortunatus Kagoro amewataka wananchi mjini humo kuwa na moyo wa uzalendo.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo05 Jul
DC Masasi ahimiza ushiriki katika uchaguzi
MKUU wa Wilaya ya Masasi, Hajjat Farida Mgomi amewataka wananchi wilayani mwake kuhakikisha wanashiriki kikamilifu katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajia kufanyika Novemba mwaka huu.
10 years ago
Habarileo21 Aug
Dk Shein ahimiza uimarishaji wa maabara za magonjwa
RAIS wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein ametoa mwito kwa Serikali za nchi za Mashariki, Kati na Kusini mwa Bara la Afrika kuimarisha huduma za maabara na utoaji wa elimu inayohusu uchunguzi wa maradhi.
10 years ago
MichuziUJENZI WA MAABARA: MAHIZA AWATAKA WAKUU WA IDARA WASIKAE OFISINI WAENDE KWENYE KATA,ATAKA MADIWANI WAAHIRISHE VIKAO VYAO HADI UJENZI UTAKAPOKAMILIKA
SUALA la Maabara kwa shule za Sekondari za Kata limeingia kwenye hatua nzito baada ya mkuu wa Mkoa wa Pwani Mwantumu Mahiza kuiacha ofisi yake na kuhamia Wilaya ya Bagamoyo ili kuhakikisha agizo la Rais Dk Jakaya Kikwete la kila wilaya iwe imekamilisha ujenzi huo ifikapo Novemba 30 mwaka huu.
Sambamba na hilo mkuu huyo amewataka wakuu wa idara wa Wilaya hiyo kila mmoja kutokaa ofisini na kuchagua kata ya kwenda ili kusimamia ujenzi huo hadi ujenzi wa maabara...
11 years ago
Michuzi28 Jul
MHE. OMAR MJENGA AFANYA KIKAO NA MKURUGENZI MKUU NHC BWN. NEHEMIAH MCHECHU NA MKURUGENZI MTENDAJI WA KAMPUNI YA UJENZI YA DAMAC, BWN.SONIL VOHOR
![](https://1.bp.blogspot.com/-OCYa-tI_spU/U9VQVqSeuPI/AAAAAAACzwg/E2bIXHalb1Q/s1600/20140727_190328.jpg)
10 years ago
Mtanzania11 Jun
Pinda: Ujenzi wa maabara palepale
Na Mwandishi Wetu, Mwanza
WAZIRI MKUU, Mizengo Pinda amesema tarehe ya mwisho iliyotolewa na Serikali ya kusimamia ujenzi wa maabara kwa shule za sekondari iko palepale na amewataka watendaji wa halmashauri na mikoa kuhakikisha wanatimiza agizo hilo.
Alitoa agizo hilo Mwanza jana alipozungumza na watendaji wa Mamlaka za Serikali za Mitaa na Waratibu wa Elimu wa Wilaya na Mikoa waliohudhuria ufunguzi wa mashindano ya UMISSETA na UMITASHUMTA kwenye uwanja wa CCM Kirumba.
Waziri Mkuu ambaye...
10 years ago
Habarileo30 May
DC Mpwapwa apania ujenzi wa maabara
MKUU mpya wa Wilaya ya Mpwapwa mkoani Dodoma, Antony Mavunde ameapishwa jana mjini hapa na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma huku akisema kipaumbele chake cha kwanza ni kuhakikisha ujenzi wa maabara unakamilika kwa wakati.
10 years ago
Habarileo18 Dec
Pwani ujenzi wa maabara asilimia 80
WILAYA ya Kibaha mkoani Pwani imefikia asilimia 80 ya ujenzi wa maabara kwenye shule za sekondari na inatarajia kukamilisha ujenzi huo mwishoni mwa mwezi huu.
10 years ago
Habarileo27 Feb
RC: Hakuna visingizio ujenzi wa maabara
MKUU wa mkoa wa Pwani, Evarist Ndikilo amewataka wakuu wa wilaya mkoani humo kuhakikisha wanakamilisha ujenzi wa maabara za sayansi kwenye kata ifikapo Machi mwaka huu.
10 years ago
Habarileo08 Feb
Mikoa 6 taabani ujenzi wa maabara
MIKOA sita ‘imevurunda’ katika ujenzi wa maabara katika shule za sekondari baada ya kushindwa kufikia malengo. Ni mikoa mitatu pekee ndiyo imefanya vizuri kwa kuvuka nusu ya malengo.