Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DC Masasi ahimiza ushiriki katika uchaguzi

MKUU wa Wilaya ya Masasi, Hajjat Farida Mgomi amewataka wananchi wilayani mwake kuhakikisha wanashiriki kikamilifu katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajia kufanyika Novemba mwaka huu.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

CHAVITA YASIKITISHWA NA USHIRIKI MDOGO WA VIZIWI KATIKA UCHAGUZI MKUU

Mkurugenzi Mtendaji wa Chama cha Viziwi Tanzania (CHAVITA), Bw. Dickson Mveyange (kulia) akiongea na Waandishi wa Habari (hawapo pichani) kuhusu tathmini ya ushiriki wa Viziwi kwenye Uchaguzi Mkuu wa Taifa Tanzania Bara uliofanyika 25 Oktoba, 2015. Mkutano uliofanyika katika Ukumbi wa Idara ya Habari(MAELEZO) Jijini Dar es Salaam 24 Novemba, 2015. Mshauri Mwelekezi Elimu ya Uraia kwa Watu wenye Viziwi, Bw. Novath Rukwago (Kushoto) akijibu baadhi ya maswali toka kwa Waandishi wa Habari...

 

11 years ago

Habarileo

JK ahimiza ushiriki sekta binafsi miradi ya reli, barabara

RAIS Jakaya Kikwete ametoa wito kwa nchi wanachama kukuza ushiriki na sekta binafsi katika kuwekeza kwenye mradi wa Maendeleo wa Ukanda wa Kati. Akizungumza leo jijini Dar es Salaam, kwenye mkutano wa kuzungumzia ukanda huo, alisema fedha za serikali pekee hazitoshelezi kufikia malengo ya kukamilisha miradi ya reli na barabara.

 

10 years ago

Habarileo

Mkurugenzi Masasi ahimiza ujenzi wa maabara

MKURUGENZI wa Halmashauri ya mji Masasi mkoani Mtwara, Fortunatus Kagoro amewataka wananchi mjini humo kuwa na moyo wa uzalendo.

 

5 years ago

Michuzi

SHERIA ZA UCHAGUZI ZINAZOJIKITA KWENYE MRENGO WA JINSI YA USHIRIKI WA WANAWAKE KATIKA UONGOZI,WENYE AZMA YA UPATIKANAJI WA HAKI ZA WANAWAKE.


Na.Vero Ignatus.
Mtandao wa wanawake,Katiba,Uongozi na Uchaguzi,kwa udhamini wa mfuko wa wanawake Tanzania(WFT)hivi karibuni uliendesha mada ya uchambuzi wa sheria tano za uchaguzi zilizojikita kwenye wa mrengo wa jinsi ya ushiriki wa wanawake katika uongozi unaolenga kwenye azma ya upatikanaji wa haki za wanawake na ujenzi wa nguvu za pamoja katika kuendeleza utetezi wa ukombozi wa kimapinduzi
Mkutano huo ulifanyika kwa njia ya mtandao wa zoom ulioendeshwa Mwenyekiti wa Bodi ya Mfuko...

 

9 years ago

Global Publishers

Majimbo ya Masasi Mjini na Ludewa kufanya uchaguzi kesho

PICHA 1Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji Mstaafu Damian Lubuva akitangaza taarifa ya Upigaji kura kwa Majimbo ya Masasi Mjini na Jimbo la Ludewa kesho Jumapili, Desemba 20, 2015 mara alipokutana na Waandishi wa Habari leo 19 Desemba, 2015 katika Ukumbi wa Tume uliopo Jijini Dar es Salaam.PICHA 3.Jaji  Lubuva (kushoto) akifafanua kuhusu taarifa aliyoitoa iliyohusu Upigaji kura kwa Majimbo ya Masasi Mjini na Jimbo la Ludewa, kulia ni Mkurugenzi wa Uhcgauzi wa Tume hiyo BwanaKailima Ramadhani.PICHA 4

 

10 years ago

Michuzi

TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI YATOA UFAFANUZI KUHUSU USHIRIKI WA WANAJESHI kWENYE ZOEZI HILO

Tume ya Taifa ya Uchaguzi imetoa ufafanuzi kuhusu ushiriki wa Wanajeshi katika  uboreshaji wa zoezi la uandikishaji wa daftari la kupiga kura.
Kwa mujibu wa taarifa kutoka Tume inasema kutakuwepo na wanajeshi 6 wa Jeshi la Wananchi katika kila kituo ambao kazi yao ni kusaidia shughuli za lojistiki kama vile kuhamisha vifaa kutoka kata moja kwenda nyingine.
Pia wanajeshi hao watasaidia katika shughuli za kufanya matengenezo madogo madogo ya vifaa yanayoweza kujitokeza wakati wa zoezi la...

 

9 years ago

CHADEMA Blog

MKUTANO WA MWISHO WA UKAWA WA KUFUNGA KAMPENI YA UCHAGUZI MDOGO WA MASASI

Selemani Bungala (Bwege) wa Kilwa Kusini kupitia Chama cha Wananchi (CUF) akihutubia maelfu na wakazi wa masasi jioni ya leo Idadi kubwa ya wakazi wa jimbo la Masasi na Viunga vyake wakiwa wamejitokeza kwa wingi katika uwanja wa mti wa mwiba jimboni hapo katika mkutano wa kufunga kampeni za uchaguzi mdogo wa ubunge ndani ya Jimbo hilo la Masasi Mbunge wa jimbo la Kinondoni Jijini Dar es

 

11 years ago

Michuzi

USHIRIKI WA TANZANIA KATIKA MIKUTANO INAYOENDELEA HAPA UMOJA WA MATAIFA

 Na Mwandishi Maalum   Wajumbe wanaoiwakilisha Tanzania katika Mkutano wa 45 wa Kamisheni ya Takwimu ya Umoja wa Mataifa na Mkutano wa wazi wa Tisa wa Kikosi Kazi kuhusu mapendekezo ya ajenda za malengo mpya ya maendeleo endelevu baada ya 2015 ( SDGs), wamendelea kutetea maslahi ya Tanzania kwa kushiriki na kuchangia majadiliano ya mada mbalimbali zinazohusiana na mikutano hiyo.   Akichangia katika mada iliyohusu Technolojia ya Habari na Mawasiliano (ICT) ambayo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani