CHAVITA YASIKITISHWA NA USHIRIKI MDOGO WA VIZIWI KATIKA UCHAGUZI MKUU
Mkurugenzi Mtendaji wa Chama cha Viziwi Tanzania (CHAVITA), Bw. Dickson Mveyange (kulia) akiongea na Waandishi wa Habari (hawapo pichani) kuhusu tathmini ya ushiriki wa Viziwi kwenye Uchaguzi Mkuu wa Taifa Tanzania Bara uliofanyika 25 Oktoba, 2015. Mkutano uliofanyika katika Ukumbi wa Idara ya Habari(MAELEZO) Jijini Dar es Salaam 24 Novemba, 2015.
Mshauri Mwelekezi Elimu ya Uraia kwa Watu wenye Viziwi, Bw. Novath Rukwago (Kushoto) akijibu baadhi ya maswali toka kwa Waandishi wa Habari...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
GPLCHAVITA KUADHIMISHA WIKI YA VIZIWI DUNIANI
11 years ago
Habarileo05 Jul
DC Masasi ahimiza ushiriki katika uchaguzi
MKUU wa Wilaya ya Masasi, Hajjat Farida Mgomi amewataka wananchi wilayani mwake kuhakikisha wanashiriki kikamilifu katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajia kufanyika Novemba mwaka huu.
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-Djne6x46ODY/Xu8jB7KTDJI/AAAAAAALuzA/alONzZnzPOkZrjfL3IqvZvmQvI0d92moACLcBGAsYHQ/s72-c/National_Electoral_Commission_%2528Tanzania%2529_Logo.png)
SHERIA ZA UCHAGUZI ZINAZOJIKITA KWENYE MRENGO WA JINSI YA USHIRIKI WA WANAWAKE KATIKA UONGOZI,WENYE AZMA YA UPATIKANAJI WA HAKI ZA WANAWAKE.
![](https://1.bp.blogspot.com/-Djne6x46ODY/Xu8jB7KTDJI/AAAAAAALuzA/alONzZnzPOkZrjfL3IqvZvmQvI0d92moACLcBGAsYHQ/s200/National_Electoral_Commission_%2528Tanzania%2529_Logo.png)
Mtandao wa wanawake,Katiba,Uongozi na Uchaguzi,kwa udhamini wa mfuko wa wanawake Tanzania(WFT)hivi karibuni uliendesha mada ya uchambuzi wa sheria tano za uchaguzi zilizojikita kwenye wa mrengo wa jinsi ya ushiriki wa wanawake katika uongozi unaolenga kwenye azma ya upatikanaji wa haki za wanawake na ujenzi wa nguvu za pamoja katika kuendeleza utetezi wa ukombozi wa kimapinduzi
Mkutano huo ulifanyika kwa njia ya mtandao wa zoom ulioendeshwa Mwenyekiti wa Bodi ya Mfuko...
10 years ago
Tanzania Daima20 Nov
CUF yasikitishwa kuvurugwa uchaguzi
CHAMA cha Wananchi (CUF) kimesikitishwa na kitendo cha Serikali ya Chama cha Mapinduzi (CCM) kuvuruga uchaguzi wa Serikali za Mitaa kwa makusudi na kuandaa machafuko kwa kutunga kanuni zisizotekelezeka. Pia...
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-X8BfdyW4gIM/UzcQ22GmcxI/AAAAAAAFXWA/MD8lv8Qptho/s72-c/40.jpg)
CCM YAENDELEA NA MBIO ZAKE KATIKA KAMPENI ZA UCHAGUZI MDOGO JIMBO LA CHALINZE
![](http://1.bp.blogspot.com/-X8BfdyW4gIM/UzcQ22GmcxI/AAAAAAAFXWA/MD8lv8Qptho/s1600/40.jpg)
Mgombea Ubunge katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze kwa tiketi CCM,Ridhiwani Jakaya Kikwete akiwahutubia wananchi wa Kijiji cha Hondogo,Kata ya Mandera wakati wa muendelezo wa Mikutano yake ya Kampeni za kuomba ridhaa ya kuwa Mbunge wa Jimbo hilo,leo Machi 29,2014.
![](http://3.bp.blogspot.com/-gEIx4ac8W9M/UzcSkgK5OtI/AAAAAAAFXXQ/Q6YHvn6b-zQ/s1600/49.jpg)
Mbunge wa Jimbo la Kisarawe,Suleiman Jaffo akiwahutubia wananchi wa Kijiji cha Mandera Kibaoni wakati akimuombea Kura Mgombea Ubunge katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze kwa tiketi CCM,Ridhiwani Jakaya Kikwete kwenye...
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-_rdFNI6Nvh8/Uwx-dk6-ykI/AAAAAAACbFs/7VIME4f1y-4/s72-c/MMG24848.jpg)
WANANCHI MSIWE NA HOFU,HAKUTAKUWA NA VURUGU UCHAGUZI MDOGO WA JIMBO LA KALENGA-MKUU WA MKOA IRINGA
![](http://4.bp.blogspot.com/-_rdFNI6Nvh8/Uwx-dk6-ykI/AAAAAAACbFs/7VIME4f1y-4/s1600/MMG24848.jpg)
Akizungumza leo kwenye moja ya kituo cha redio mjini humo,Nuru FM ,kupitia kipindi cha sunrisepower, amesema kuwa tayari ameshakaa na kamati yake ya Ulinzi na Usalama akiwemo Kamanda wa Jeshi la Polisi,aidha ameongeza kuwa wamejiandaa kikamilifu katika ulinzi, hivyo wananchi wanapaswa kutokuwa na hofu.
Amesema kuwa...
9 years ago
Mwananchi28 Oct
Marekani yasikitishwa na tamko la ZEC kufuta uchaguzi Z’bar
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-BAkA4-b7wlI/Uvk12TCc6aI/AAAAAAAFMQI/tCI7yBZPbXo/s72-c/Nape-Nnauye.jpg)
CCM YATOA SHUKRANI KWA WANANCHI KUIMWAGA CHADEMA KATIKA UCHAGUZI MDOGO WA UDIWANI ULIOFANYIKA JANA
![](http://1.bp.blogspot.com/-BAkA4-b7wlI/Uvk12TCc6aI/AAAAAAAFMQI/tCI7yBZPbXo/s1600/Nape-Nnauye.jpg)
Akitoa shukrani hizo, Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye amesema leo kwamba siri ya CCM kuimwaga CHADEMA ni uadilifu katika kuwatumikia wananchi na kwamba, kushindwa kwa chama hicho ni ushahidi kwamba hakikubaliki na Watanzania wamewathibitishia kwamba hawajazoea vurugu. Nape alisema CCM...