Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


CCM YATOA SHUKRANI KWA WANANCHI KUIMWAGA CHADEMA KATIKA UCHAGUZI MDOGO WA UDIWANI ULIOFANYIKA JANA

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimewashukuru Watanzania kwa kukiamini na kukipatia ushindi wa kishindo katika uchaguzi mdogo wa udiwani uliofanyika jana katika kata 27 na CCM kushinda kata 23. 
Akitoa shukrani hizo, Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye amesema leo kwamba siri ya CCM kuimwaga CHADEMA ni uadilifu katika kuwatumikia wananchi na kwamba, kushindwa kwa chama hicho ni ushahidi kwamba hakikubaliki na Watanzania wamewathibitishia kwamba hawajazoea vurugu. Nape alisema CCM...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MKUTANO WA CHADEMA ULIOFANYIKA TANGANYIKA PACKERS KAWE JANA JIJINI DAR

 Mwenyekiti wa Chama cha CHADEMA Mh.Freeman Mbowe akihutubia maelfu ya wananchi kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye viwanja vya Tanganyika Parkers Jana, ambapo pia alizindua kitabu cha Mbunge wa jimbo la Kawe Mh. Halima Mdee.  Mh Freeman Mbowe, Halima Mdee na John Mnyika wakizindua kitabu cha Mbunge wa Kawe Mh Halima Mdee  Gwajima akiwa na baadhi ya viongozi wa CHADEMA… ...

 

11 years ago

Michuzi

UCHAGUZI MDOGO JIMBO LA KALENGA,MGOMBEA UBUNGE WA CCM AKIJINADI KWA WANANCHI LEO KIJIJI CHA SADAN-IRINGA VIJIJINI


Msikilize Mgombea Ubunge jimbo la Kalenga kwa tiketi ya chama cha CCM,Godfrey Mgimwa akijinadi jioni ya leo kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika katika kijiji cha Sadani kata ya Mseke,Iringa Vijijini.

 

11 years ago

Michuzi

KAMPENI UCHAGUZI MDOGO JIMBO LA KALENGA,CCM YAZIDI KUIVURUGA CHADEMA,YAMNG`OA MWENYEKITI WAKE.

 Wananchi wa Kijiji cha Kikombwe wakiwa wamekusanyika kwenye mkutano wa kampeni ya uchaguzi mdogo wa CCM,jimbo la Kalenga ,wakimsikiliza mgombea Ubunge wa jimbo hilo kupitia chama cha CCM,Ndugu Godfrey Mgimwa akijinadi na kuwaomba kura kwa ridhaa yao awaongoze kama Mbunge MWENYEKITI wa Kitongoji cha Lupembelwasenga, Jimbo la Kalenga, Iringa Vijijini, kwa tiketi ya Chadema, Ezekiel Kibiki akikabidhi kadi ya chama hicho kwa Mwenyekiti wa CCM Iringa Vijijini Delfina Mtavilalo, baada ya...

 

11 years ago

Michuzi

Membe afunga kampeni za Uchaguzi Mdogo wa Udiwani kata ya kiwalala

Na Abdulaziz Video,lindi  Kampeni za Uchaguzi mdogo wa udiwani kata ya Kiwalala umefungwa na Mgeni Rasmi Mbunge wa Jimbo la Mtama, Mhe. Bernard Membe kwa kuwataka wananchi wa kata hiyo kutofanya makosa kwa kumchagua ndg Zahoro Shineni  Mkutano huo ambao ulihudhuriwa na Viongozi mbalimbali wa Chama mkoa wa Lindi akiwemo katibu mkuu wa Umoja wa Vijana Taifa pamoja na Viongozi wa CCM wa mkoa wa Mtwara waliokuwa wakielekea katika kufunga kampeni za Uchaguzi Mdogo Huko Mkwiti Mkoani Mtwara

 

11 years ago

Michuzi

CCM YAENDELEA NA MBIO ZAKE KATIKA KAMPENI ZA UCHAGUZI MDOGO JIMBO LA CHALINZE


Mgombea Ubunge katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze kwa tiketi CCM,Ridhiwani Jakaya Kikwete akiwahutubia wananchi wa Kijiji cha Hondogo,Kata ya Mandera wakati wa muendelezo wa Mikutano yake ya Kampeni za kuomba ridhaa ya kuwa Mbunge wa Jimbo hilo,leo Machi 29,2014.
Mbunge wa Jimbo la Kisarawe,Suleiman Jaffo akiwahutubia wananchi wa Kijiji cha Mandera Kibaoni wakati akimuombea Kura Mgombea Ubunge katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze kwa tiketi CCM,Ridhiwani Jakaya Kikwete kwenye...

 

11 years ago

GPL

UCHAGUZI MDOGO KALENGA: KAMATI KUU YA CHADEMA KUKUTANA KWA DHARURA FEB 14, 2014

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KAMATI KUU YA CHADEMA KUKUTANA KWA DHARURA KAMATI Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) itakutana kwa ajili ya kikao cha dharura, Februari 14, mwaka huu, jijini Dar es Salaam. Katika kikao hicho, Kamati Kuu itajadili na kufanya uteuzi wa mwisho wa jina la mgombea ubunge wa CHADEMA katika uchaguzi mdogo wa Jimbo la Kalenga, mkoani Iringa, unaotarajiwa kufanyika Machi 16, mwaka huu....

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani