CCM YATOA PONGEZI KWA FRELIMO KWA USHINDI KATIKA UCHAGUZI MSUMBIJI
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo31 Oct
CCM YAPOKEA KWA FURAHA FRELIMO KUIBUKA ,MSHINDI KATIKA UCHAGUZI MKUU WA MSUMBUJI
NA BASHIR NKOROMO
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimepokea kwa furaha Chama cha Frelimo kuibuka na ushindi katika uchaguzi mkuu uliofanyika Oktoba 15, mwaka huu.
Katika uchaguzi huo, aliyekuwa mgombea kwa tiketi ya Frelimo, Filipe Nyusi ameibuka kidedea na sasa ndiye Rais Mteule wa Msumbiji ambaye baada ya kuapishwa atashika mikoba itaakayoachwa na Rais anayemaliza muda wake, Armando Gwebuza.
Akizungumza na waandishi wa habari leo, katika ukumbi wa Sekretarieti, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM,...
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimepokea kwa furaha Chama cha Frelimo kuibuka na ushindi katika uchaguzi mkuu uliofanyika Oktoba 15, mwaka huu.
Katika uchaguzi huo, aliyekuwa mgombea kwa tiketi ya Frelimo, Filipe Nyusi ameibuka kidedea na sasa ndiye Rais Mteule wa Msumbiji ambaye baada ya kuapishwa atashika mikoba itaakayoachwa na Rais anayemaliza muda wake, Armando Gwebuza.
Akizungumza na waandishi wa habari leo, katika ukumbi wa Sekretarieti, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM,...
10 years ago
Dewji Blog18 Oct
CCM yatoa pongezi kwa Bunge Maalum la Katiba
Mwenyekiti wa CCM Taifa Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongoza kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM ambacho kimemalizika jana mjini Dodoma na kutoka na mazimio ya kupitisha sera ya chama kujiendesha kiuchumi na kuondokana na utegemezi wa ruzuku ya serikali.
Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Ndugu Philip Mangula akiandika baadhi ya mambo muhimu ya kufafanua katika suala la maadili ndani ya Chama.
Dk.Asha-Rose Migiro akizungumzia mambo mbali mbali yanayohusiana na siasa na mahusiano ya...
10 years ago
VijimamboJUMUIYA YA WAZAZI YA CCM KATA YA SINZA YAWASHUKURU WANACHAMA WAKE KWA KUKIPA USHINDI KATIKA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Kinondoni, Salum Madenge akiwahutubia wanaccm wa Kata ya Sinza katika mkutano wa hadhara wa kuwashukuru kufuatia kukipa ushindi chama hicho kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa uliofanyika hivi karibuni. Katibu wa Jumuiya ya Wazazi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mkoa wa Dar es Salaam, Ally Cholaje akihutubia katika mkutano huo.
Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Yusuph Mwenda (kulia), akielezea mafanikio ya maendeleo ya wilaya hiyo pamoja na...
11 years ago
Michuzi11 Jul
MGOMBEA URAIS WA MSUMBIJI KWA TIKETI YA FRELIMO AKUTANA NA RAIS KIKWETE
Mgombea Urais wa Msumbiji kwa tiketi ya chama cha Ukombozi cha FRELIMO Filipe Nyusi akisalimiana na Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete, Ikulu Ndogo mjini Tanga, mgombea huyo alipokwenda kumsalimia na kuwa na mazungumzo na Rais leo.Rais Kikwete na Mkewe Mama Salma, wakiwa katika picha ya kumbukumbu na mgombea huyo kwa tiketi ya FRELIMO Filipe Nyusi, Ikulu Ndogo mjini Tanga. Kushoto ni Mwenyeji wa Mgomba huyo, Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana. Picha na Adam Mzee wa CCM Blog.
11 years ago
MichuziCCM YATOA SHUKRANI KWA WANANCHI KUIMWAGA CHADEMA KATIKA UCHAGUZI MDOGO WA UDIWANI ULIOFANYIKA JANA
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimewashukuru Watanzania kwa kukiamini na kukipatia ushindi wa kishindo katika uchaguzi mdogo wa udiwani uliofanyika jana katika kata 27 na CCM kushinda kata 23.
Akitoa shukrani hizo, Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye amesema leo kwamba siri ya CCM kuimwaga CHADEMA ni uadilifu katika kuwatumikia wananchi na kwamba, kushindwa kwa chama hicho ni ushahidi kwamba hakikubaliki na Watanzania wamewathibitishia kwamba hawajazoea vurugu. Nape alisema CCM...
Akitoa shukrani hizo, Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye amesema leo kwamba siri ya CCM kuimwaga CHADEMA ni uadilifu katika kuwatumikia wananchi na kwamba, kushindwa kwa chama hicho ni ushahidi kwamba hakikubaliki na Watanzania wamewathibitishia kwamba hawajazoea vurugu. Nape alisema CCM...
9 years ago
MichuziPONGEZI KWA DKT. JOHN POMBE MAGUFULI KUTOKA KWA WANACHAMA WA CCM,TAWI LA CCM CHINA
TAWI LA CCM CHINA TUNAKUPONGEZA DKT. JOHN POMBE MAGUFULI KWA KUCHAGULIWA KWA KURA NYINGI KUWA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WA AWAMU YA TANO.TUNAKUTAKIA AFYA NJEMA NA MAFANIKIO KATIKA KIPINDI CHA UONGOZI WA JUU WA NCHI YETU.
5 years ago
CCM BlogMTATURU ASEMA UCHAGUZI WA 2020 VUMBI LA USHINDI KWA CCM LITATIMKA.
MBUNGE wa Singida Mashariki Miraji Mtaturu (pichani) amesema katika uchaguzi mkuu wa Octoba mwaka huu vumbi la ushindi Kwa Chama Cha Mapinduzi(CCM) litatimka kutokana na utendaji mzuri wa Rais Dkt John Magufuli.Mtaturu amesema hayo Mei 15 bungeni jijini Dodoma wakati akichangia bajeti ya wizara ya Fedha na mipango.“Ukiangalia vyama vingine ni kama vikundi vya kutafuta maslahi yao binafsi,lakini CCM tangu Uhuru tumeendelea kuongoza nchi hii na kwa hakika tutaona vumbi litakavyotimka katika...
11 years ago
MichuziKAMPENI ZA UCHAGUZI JIMBO LA KALENGA,CCM YAJIDHATITI KWA USHINDI WA KISHINDO
Katibu wa Chama cha Mapinduzi (CCM),Wilayani Mufindi,Ndugu Miraji Mtaturu akimnadi Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kalenga kwa tiketi ya chama hicho,Ndugu Godfrey Mgimwa mapema leo jioni mbele ya wanakijji cha Mfukulembe,(hawapo pichani),kata ya Ifunda,Iringa vijijini mkoani humo.
Mgombea Ubunge Jimbo la Kaleta (CCM),Ndugu Godfrey Mgimwa akiwahutubia wakazi wa Kijiji cha Mabikimitali,kata ya Ifunda katika jimbo hilo,mkoani Iringa leo jioni.Godfrey amewaomba wananchi hao kumuamini na kumpa...
10 years ago
MichuziPONGEZI KWA DKT. ALI MOHAMED SHEIN KWA KUPEPERUSHA BENDERA YA CCM KWA NAFASI YA RAISI WA SERIKALI YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR
CCM TAWI LA CHINA TUNATOA PONGEZI KWA MWENYEKITI WA CCM TAIFA, WAJUMBE WA KAMATI YA MAADILI NA USALAMA, KAMATI KUU YA HALMASHAURI KUU YA TAIFA, HALMASHAURI KUU YA TAIFA NA MKUTANO MKUU WA TAIFA KWA KUTUPATIA MGOMBEA MWADILIFU, MAKINI, MZALENDO WA KWELI NA MPENDA MAENDELEO AMBAYE ATAPEPERUSHA BENDERA YA CHAMA CHETU KWA NAFASI YA URAISI WA SERIKALI YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR KATIKA UCHAGUZI MKUU WA OKTOBA 2015, TUNATARAJIA KUPATA USHINDI WA KISHINDO. HONGERA SANA DKT. ALI MOHAMED SHEIN.WEMBE...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania