Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


CCM YAPOKEA KWA FURAHA FRELIMO KUIBUKA ,MSHINDI KATIKA UCHAGUZI MKUU WA MSUMBUJI

NA BASHIR NKOROMO
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimepokea kwa furaha Chama cha Frelimo kuibuka na ushindi katika uchaguzi mkuu uliofanyika Oktoba 15, mwaka huu.

Katika uchaguzi huo, aliyekuwa mgombea kwa tiketi ya Frelimo, Filipe Nyusi ameibuka kidedea na sasa ndiye Rais Mteule wa Msumbiji ambaye baada ya kuapishwa atashika mikoba itaakayoachwa na Rais anayemaliza muda wake, Armando Gwebuza.

Akizungumza na waandishi wa habari leo, katika ukumbi wa Sekretarieti, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM,...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

CCM Blog

DK. MAGUFULI NA RAIS KIKWETE IKULU BAADA YA KUIBUKA KIDEDEA URAIS KATIKA MATOKEO YA UCHAGUZI MKUU LEO

ma1Rais Kikwete akimpongeza kwa furaha mshindi wa kinyang’anyiro cha Urais kwa tiketi ya CCM na Rais Mteule Dkt John Pombe Joseph Magufuli mara baada ya Mwenyekiti wa  Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Damian Lubuva  kutangaza kutangaza rasmi matokeo ya uchaguzi mkuu Ikulu jijini Dar es salaam ambako walifuatilia kwa pamoja matangazo hayo ya moja kwa moja kupitia vituo vya televisheni jioni hii mag2Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimsomea sms za pongezi kutoka kila pembe ya dunia  mshindi wa ...

 

11 years ago

Habarileo

Diwani wa Chadema ampigia debe CCM na kuibuka mshindi

KATIKA hali isiyo ya kawaida Diwani wa Chadema katika kata ya Masoko wilayani Mbeya, juzi aliwashangaza watu baada ya kujikuta akimpigia kampeni diwani wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), katika uchaguzi wa kumpata Makamu Mwenyekiti wa Halmashauri.

 

10 years ago

Bongo Movies

Riyama Ampongeza Shamsa Kuibuka Mshindi kwa Mwaka 2014

“Hongera sana mdogo wangu kwa ushindi mwaka 2014 #chausiku Nakuombea Kila la kheri katika mwaka huu wa 2015 uzidi kufanya vizuri zaidi inshallah amin Nakupenda sanaaaaaaaaaa na kukabidhi rasmi mikoba mamie".

Riyama aliyaema hayo baada ya kubandika picha hiyo  wakiwa ndani ya studio za redio Clouds FM mara baada ya filamu ya Chausiku iliyochezwa na mwanadada Shamsa Ford iliyotoka miezi ya mwishoni  mwa mwaka jana, kutangazwa ndio iliyoshika namba moja huku filamu ya Kigodoro ikishika namba...

 

9 years ago

Michuzi

Sababu Tisa kwanini CCM itashinda katika Uchaguzi Mkuu Jumapili hii, Oktoba 25

Na January MakambaTarehe 25 mwezi huu Oktoba, Watanzania watapiga kura kumchagua rais wao wa tano, wabunge na madiwani. Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu umekuwa na msisimko mkubwa zaidi tangu kuanzishwa kwa mfumo wa siasa za vyama vingi mwaka 1995. Mengi yamendikwa kuhusu uchaguzi huu, hususan kutokana na hisia kwamba safari hii Upinzani una nafasi ya kukiondoa madarakani moja ya vyama vikubwa na vyenye muundo bora barani Afrika, chama tawala, Chama Cha Mapinduzi (CCM). Matukio mbalimbali kuelekea...

 

9 years ago

Michuzi

MAMIA WAJITOKEZA KATIKA UFUNGUZI WA KAMPENI ZA UCHAGUZI MKUU ZA CHAMA CHA CCM LEO

Mzee akiwa amevaa Picha ya Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,John Magufuli leo katika viwanja vya Jangwani jijini Dar es Salaam.



Wiliam ngereja ajitokeza katika kumunga mkono Magufuli katika ufunguzi wa Kampeni leo jijini Dar es Salaam.Vijana wakiwa wamebebana ili waweze kuona mbele katika ufunguzi wa kampeni za chama cha mapinduzi leo katika viwanja vya Jangwani  jijini Dar es Salaam. Furaha imetawala kwenye mioyo ya wanaCCM kama inavyoonekana kwenye taswira yetu hapo...

 

10 years ago

Dewji Blog

Kamati maalum ya CCM Zanzibar yapitisha jina la Dkt. Shein kugombea urais kwa tiketi ya CCM Uchaguzi mkuu wa oktoba 2015

1

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal, ambaye pia ni  Mjumbe wa Kamati Maalum ya CCM Zanzibar, akisalimiana na Rais wa Zanzibar, ambaye pia ni Makamu  Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Dkt. Mohamed Ali Shein, wakati walipowasili kwenye Ukumbi wa Ofisi za CCM Kisiwandui mjini Zanzibar kwa ajili ya kuhudhuria katika kikao cha Kamati Maalum ya CCM Zanzibar, ambacho leo kilipitisha jina la Dkt. Shein kuwania nafasi ya Urais kwa tiketi ya CCM. (Picha na OMR).

2

 

11 years ago

Michuzi

NANI KUIBUKA MSHINDI WA SAFARI YA BRAZILI WIKI HII?

Tiketi ya kwanza ya kwenda Brazili na Serengeti kutolewa wiki hii:
Machi 4, 2014; Kampuni ya Bia ya Serengeti inatarajia kuchezesha droo ya nne ya promosheni ya Winda Safari ya Brazili na Serengeti ambapo mshindi wa kwanza wa kwenda Brazili atapatikana. Licha ya zawadi kibao kutoka kampuni hiyo kama ving’amuzi, ipad, bia za bure, na fedha taslimu kufaidisha wateja wengi wa bia ya Serengeti kwa wiki tatu za mwanzo na zinazoendelea, wiki hii kutakua na zawadi kubwa zaidi ya promosheni hiyo ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani