Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NANI KUIBUKA MSHINDI WA SAFARI YA BRAZILI WIKI HII?

Tiketi ya kwanza ya kwenda Brazili na Serengeti kutolewa wiki hii:
Machi 4, 2014; Kampuni ya Bia ya Serengeti inatarajia kuchezesha droo ya nne ya promosheni ya Winda Safari ya Brazili na Serengeti ambapo mshindi wa kwanza wa kwenda Brazili atapatikana. Licha ya zawadi kibao kutoka kampuni hiyo kama ving’amuzi, ipad, bia za bure, na fedha taslimu kufaidisha wateja wengi wa bia ya Serengeti kwa wiki tatu za mwanzo na zinazoendelea, wiki hii kutakua na zawadi kubwa zaidi ya promosheni hiyo ya...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Nani na nani kuibuka mshindi wa tuzo za Watu usiku huu leo Mei 22!!

TUZO-ZA-WATU-Logo-black-background

Baada ya wiki kadhaa za mpambano mkali wa kura za tuzo za watu, leo ndio fainali.

Majina matatu yanashindania tuzo kwenye vipengele 13 vya mwaka huu. Majina hayo yameingia baada ya kuvuka michujo miwili migumu. Ni kura za mashabiki peke yake ndio ziliwaingiza kwenye fainali hiyo na mshindi atapatikana kwa kura za wananchi, hakuna kingine.

Washereheshaji kwenye fainali hizo ni Vj Penny na mchekeshaji Dogo Pepe huku muimbaji wa kike anayechipukia kwa kasi Ruby akitarajiwa kutumbuiza.

“Watu...

 

11 years ago

Michuzi

SBL YAKABIDHI ZAWADI KWA WASHINDI WA WIKI WA PROMOSHENI YA WINDA SAFARI YA BRAZILI NA SERENGETI

 Mmoja wa washindi wa promosheni ya Winda Safari ya Brazili Omari Mikidadi (47) kutoka Mbagala jijini Dar es Salaam akipokea zawadi ya simu ya kisasa aina ya Samsung Gallaxy tablet kutoka kwa mwakilishi wa Kampuni ya Bia ya Serengeti Erick Tafisa(kulia), wakati wa hafla fupi ya makabidhiano iliyofanyika wiki hii jijini Dar es Salaam.   Meneja Promosheni wa Kampuni ya Bia ya Serengeti Davis Kambi (kushoto) akimkabidhi mmoja wa washindi wa promosheni ya Winda Safari ya Brazili Alex...

 

10 years ago

Vijimambo

Nani kuaga Shindano la TMT 2015 #mpakakieleweke Wiki hii?

 Baadhi ya washiriki wakiwa kazini katika kutengeneza filamu mfupi Baadhi ya washiriki wakiwa makini huku sura zao zikiwa na majonzi na wasiwasi juu ya washiriki gani wanaooaga shindano kwa wiki hii. Baadhi ya watazamaji waliojitokeza katika kushuhudia mtanange wa washiriki wanaaga mashindano katika wiki hii na kushuhudia wanaoingia katika jua la utosi
 Walimu wa Washiriki wa Shindano la TMT 2015 #mpakakieleweke kutoka Kushoto Ni Mwl Issa na Dkt Mona Mwakalinga wakifuatilia kazi ya wanafunzi...

 

10 years ago

GPL

NANI KUAGA SHINDANO LA TMT 2015 #MPAKAKIELEWEKE WIKI HII?‏

 Baadhi ya washiriki wakiwa kazini katika kutengeneza filamu mfupi.  Baadhi ya washiriki wakiwa makini huku sura zao zikiwa na majonzi na wasiwasi juu ya washiriki gani wanaooaga shindano kwa wiki hii.  Baadhi ya watazamaji waliojitokeza katika kushuhudia mtanange wa washiriki wanaaga mashindano katika wiki hii na kushuhudia wanaoingia katika jua la utosi.  Walimu wa Washiriki wa Shindano la TMT 2015...

 

11 years ago

Michuzi

Fainali za Safari Nationa Pool kuendelea wiki hii

FAINALI za mashindano ya mchezo wa Pool ngazi ya Mikoa zinazodhaminiwa na Kampuni ya Bia nchini(TBL) kupitia Bia yake ya Safari Lager zijulikanazo kwa “ Safari National Pool Competition 2014” zinatarajiwa kuendelea tena wikii hii baada ya kusimama kupisha mfungo wa Ramadhani.
Akizungumza na waandishi wa habari Katibu Mkuu wa Chama cha Pool Taifa, Amos Kafwinga alisema mikoa inayotarajiwa kuendelea wiki hii ni pamoja na Mkoa wa kimichezo wa Kinondoni,Tanga na Manyala ambayo...

 

11 years ago

Dewji Blog

Tanzania Movie Talents (TMT): Nani kuchomwa na jua la utosi wiki hii?

ILI KUWANUSURU AU KUMNUSURU MSHIRIKI UMPENDAE AENDELEE KUWEPO NDANI YA NYUMBA YA TMT UNACHOTAKIWA KUFANYA NI KUMPIGIA KURA KWA WINGI SANA.

JINSI YA KUPIGA KURA NI ANDIKA NENO “TMT” ikifuatiwa na namba yake ya ushiriki halafu tuma kwenda 15678. Mfano TMT00 tuma kwenda 15678

pendo

ILI KUWANUSURU AU KUMNUSURU MSHIRIKI UMPENDAE AENDELEE KUWEPO NDANI YA NYUMBA YA TMT UNACHOTAKIWA KUFANYA NI KUMPIGIA KURA KWA WINGI SANA.

JINSI YA KUPIGA KURA NI ANDIKA NENO “TMT” ikifuatiwa na namba...

 

11 years ago

Michuzi

WAWILI WATANGAZWA WASHINDI WA PROMOSHENI YA WINDA SAFARI YA BRAZIL WIKI HII

 Meneja Masoko wa Kampuni ya Bia ya Serengeti Allan Chonjo akitangaza majina ya washindi wa droo ya tatu ya Winda Safari ya Brazil na Serengeti mbele ya wana habari(hawapo pichani)mara baada ya kuchezesha droo mapema leo jijini Dar es Salaam, anayemshuhudia ni Mkaguzi kutoka Bodi ya Michezo ya kubahatisha Bw. Mrisho Milao.  Meneja Masoko wa Kampuni ya Bia ya Serengeti Allan Chonjo akizungumza kwa njia ya simu na mmoja wa washindi wa droo ya tatu ya Winda Safari ya Brazil na Serengeti...

 

10 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE ATUA DODOMA, KUTEGUA KITENDAWILI CHA NANI MTEULE WA CCM KUWANIA URAIS WA TANZANIA WIKI HII

 MWENYEKITI wa CCM, Rais Jakaya Kikwete, akiongozana na Katibu Mkuu wa chama hicho, Abdulrahman Kinana, (kulia), akiwapungia wana CCM waliofika kumlaki kwenye uwanja wa ndege wa Dodoma Julai 8, 2015. 
Mwenyekiti huyo wa CCM amewasili na kuanza kazi mara moja ya kuongoza kikao cha kamati ya maadili ili kupokea taarifa za watia nia wa CCM, kabla ya kuanza kuwajadili na kupunguza majina kutoka 39 hadi matano, kazi itakayofanywa na Kamati Kuu ya chama hicho inayotarajiwa kukutana Alhamisi Julai...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani