Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Fainali za Safari Nationa Pool kuendelea wiki hii

FAINALI za mashindano ya mchezo wa Pool ngazi ya Mikoa zinazodhaminiwa na Kampuni ya Bia nchini(TBL) kupitia Bia yake ya Safari Lager zijulikanazo kwa “ Safari National Pool Competition 2014” zinatarajiwa kuendelea tena wikii hii baada ya kusimama kupisha mfungo wa Ramadhani.
Akizungumza na waandishi wa habari Katibu Mkuu wa Chama cha Pool Taifa, Amos Kafwinga alisema mikoa inayotarajiwa kuendelea wiki hii ni pamoja na Mkoa wa kimichezo wa Kinondoni,Tanga na Manyala ambayo...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

SAFARI LAGER YAKABIDHI VIFAA VYA MICHEZO KWA VYUO VINAVYOSHIRIKI FAINALI ZA HIGHER LEARNING POOL COMPETITION 2014 JIJINI DAR

Mbunge wa Jimbo la Temeke, Abbas Mtemvu(wa pili kulia) akimkabidhi t-shirt mwakilishi wa chuo cha Open University, Henry Mboga wakati wa hafla fupi ya kukabidhi vifaa vya michezo kwa vyuo vya Dar es Salaam vinavyoshiriki fainali za mkoa za Safari Higher Learning Pool Competition 2014.Makabidhiano hayo yalifanyika Coco Beach Dar es Salaam.Kulia ni Meneja wa Bia ya Safari Lager Oscar Shelukindo na Katibu wa chama cha Pool Taifa, Amos Kafwinga. Meneja wa Bia ya Safari Lager, Oscar...

 

11 years ago

Michuzi

WIKI TATU KUELEKEA FAINALI YA SHINDANO LA TANZANIA MPVIE TALENTS (TMT), WASHIRIKI WENGINE WAWILI WAAGA SHINDANO WIKI HII

 Waendeshaji wa Show ya Shindano la Tanzania Movie Talents (TMT) Joti na Lulu wakiwa kwa steji, tayari kwa kuendelea na show hiyo iliyofanyika katika Ukumbi wa Mkaumbusho ya Taifa Jijini Dar Es Salaam. Mshiriki Ally Kiwendo ambae alikuwa ni mmoja kati ya washindi watatu kutoka kanda ya Kusini mkoani Mtwara akitoa maneno ya shukrani kwa Kampuni ya Proin Promoitons ambao ndio waandaaji na waendeshaji wa Shindano la TMT mara baada ya kutangazwa kuaga shindano hilo kutokana na Kura kuwa chache,...

 

9 years ago

Michuzi

LIGI KUU YA VODACOM KUENDELEA WIKI HII

Ligi kuu ya Vodacom Tanzania (VPL) inatarajiwa kuendelea kesho Jumatano kwa michezo minne kuchezwa katika viwanja tofauti nchini, huku timu 8 zikisaka kupata pointi tatu muhimu.Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam Young Africans watawakaribisha Toto Africans, mchezo utakaonza majira ya saa 10:30 jioni, mjini Shinyanga Stand United watakua wenyeji wa Majimaji katika uwanja wa Kambarage mjini humo.Tanzania Prisons watawakaribisha Simba SC katika uwanja wa Sokoine jijini Mbeya, huku Wagosi wa...

 

11 years ago

Michuzi

NANI KUIBUKA MSHINDI WA SAFARI YA BRAZILI WIKI HII?

Tiketi ya kwanza ya kwenda Brazili na Serengeti kutolewa wiki hii:
Machi 4, 2014; Kampuni ya Bia ya Serengeti inatarajia kuchezesha droo ya nne ya promosheni ya Winda Safari ya Brazili na Serengeti ambapo mshindi wa kwanza wa kwenda Brazili atapatikana. Licha ya zawadi kibao kutoka kampuni hiyo kama ving’amuzi, ipad, bia za bure, na fedha taslimu kufaidisha wateja wengi wa bia ya Serengeti kwa wiki tatu za mwanzo na zinazoendelea, wiki hii kutakua na zawadi kubwa zaidi ya promosheni hiyo ya...

 

11 years ago

Michuzi

WAWILI WATANGAZWA WASHINDI WA PROMOSHENI YA WINDA SAFARI YA BRAZIL WIKI HII

 Meneja Masoko wa Kampuni ya Bia ya Serengeti Allan Chonjo akitangaza majina ya washindi wa droo ya tatu ya Winda Safari ya Brazil na Serengeti mbele ya wana habari(hawapo pichani)mara baada ya kuchezesha droo mapema leo jijini Dar es Salaam, anayemshuhudia ni Mkaguzi kutoka Bodi ya Michezo ya kubahatisha Bw. Mrisho Milao.  Meneja Masoko wa Kampuni ya Bia ya Serengeti Allan Chonjo akizungumza kwa njia ya simu na mmoja wa washindi wa droo ya tatu ya Winda Safari ya Brazil na Serengeti...

 

10 years ago

Mwananchi

Fainali za Pool Moro zaisha kwa vurugu

Morogoro. Mashindano ya mchezo wa pool Mkoa wa Morogoro msimu wa 2014 yamemalizika mwishoni mwa wiki kwa kupata bingwa mpya na kukabidhiwa zawadi ya Sh800,000, huku yakitawaliwa na vurugu zilizojitokeza katika hatua za nusu fainali na fainali.

 

10 years ago

Michuzi

SAFARI LAGER YATANGAZA BAR 5 ZILIZOINGIA FAINALI SAFARI NYAMA CHOMA 2015 “DAR ONE"

Meneja Mauzo Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) kwa ukanda wa Temeke, Patrick Swai akizungumza na waandishi wa habari (hawapi pichani)wakati akizitangaza bar tano zilizofanikiwa kuingia fainali kwenye kinyang’anyiro cha shindano la uchomaji nyama “Safari Lager Nyama Choma Competition 2015”,kwa mkoa wa Dar es salaam.

 

10 years ago

GPL

TEMEKE, DODOMA ZAPATA MABINGWA WA SAFARI POOL

Meneja wa bia ya Safari Lager, Oscar Shelukindo (wa pili kulia), akimkabidhi kombe la ubingwa nahodha wa Mpo Afrika, Charles Venance. Kulia ni Katibu wa Chama cha Pool Taifa, Amos Kafwinga, na kocha wa timu ya Taifa, Denis Rungu. Baadhi ya wachezaji wa Mpo Afrika na mashabiki  wakishangilia na kombe waliloshinda. KATIKA mchakato wa fainali… ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani