Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NANI KUAGA SHINDANO LA TMT 2015 #MPAKAKIELEWEKE WIKI HII?‏

 Baadhi ya washiriki wakiwa kazini katika kutengeneza filamu mfupi.  Baadhi ya washiriki wakiwa makini huku sura zao zikiwa na majonzi na wasiwasi juu ya washiriki gani wanaooaga shindano kwa wiki hii.  Baadhi ya watazamaji waliojitokeza katika kushuhudia mtanange wa washiriki wanaaga mashindano katika wiki hii na kushuhudia wanaoingia katika jua la utosi.  Walimu wa Washiriki wa Shindano la TMT 2015...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

Nani kuaga Shindano la TMT 2015 #mpakakieleweke Wiki hii?

 Baadhi ya washiriki wakiwa kazini katika kutengeneza filamu mfupi Baadhi ya washiriki wakiwa makini huku sura zao zikiwa na majonzi na wasiwasi juu ya washiriki gani wanaooaga shindano kwa wiki hii. Baadhi ya watazamaji waliojitokeza katika kushuhudia mtanange wa washiriki wanaaga mashindano katika wiki hii na kushuhudia wanaoingia katika jua la utosi
 Walimu wa Washiriki wa Shindano la TMT 2015 #mpakakieleweke kutoka Kushoto Ni Mwl Issa na Dkt Mona Mwakalinga wakifuatilia kazi ya wanafunzi...

 

11 years ago

Michuzi

WIKI TATU KUELEKEA FAINALI YA SHINDANO LA TANZANIA MPVIE TALENTS (TMT), WASHIRIKI WENGINE WAWILI WAAGA SHINDANO WIKI HII

 Waendeshaji wa Show ya Shindano la Tanzania Movie Talents (TMT) Joti na Lulu wakiwa kwa steji, tayari kwa kuendelea na show hiyo iliyofanyika katika Ukumbi wa Mkaumbusho ya Taifa Jijini Dar Es Salaam. Mshiriki Ally Kiwendo ambae alikuwa ni mmoja kati ya washindi watatu kutoka kanda ya Kusini mkoani Mtwara akitoa maneno ya shukrani kwa Kampuni ya Proin Promoitons ambao ndio waandaaji na waendeshaji wa Shindano la TMT mara baada ya kutangazwa kuaga shindano hilo kutokana na Kura kuwa chache,...

 

10 years ago

Dewji Blog

Wakazi wa Jiji la Dar Wajitokeza kwa wingi kushiriki Shindano la TMT 2015 #mpakakieleweke

 

Baadhi ya wafanyakazi wa TMT wakiwahudumia watanzania waliojitokeza kwaajili ya kushiriki shindano la TMT 2015 kwa furaha.

Baadhi ya washiriki wakisubiria kuingia kwa majaji tayari kwa kuonyesha uwezo wao wa kuigiza.

_E9A5577

Baadhi ya vijana waliojitokeza kwaajili ya usajili wa kushiriki shindano la Tanzania Movie Talents (TMT) 2015 #mpakakieleweke wakisikiliza maelekezo kutoka kwa mmoja wa wafanyakazi wa kampuni ya Proin Promotions Ltd ambao ni waendeshaji wa shindano hilo katika viwanja...

 

11 years ago

GPL

WIKI 3 KUELEKEA FAINALI YA SHINDANO LA TMT, WASHIRIKI WENGINE 2VWAAGA SHINDANO‏

 Joyce Kalinga Mshiriki wa Shindano la TMT ambae apia alikua mshindi kutoka Kanda ya Kati Mkoani Dodoma akitoa maneno yake ya shukrani na pia kuwashukuru wadau, Kampuni ya Proin Promotions na watazamaji na waliompigia kura japokuwa bahati haikuwa yake kutokana na kutolewa kwenye kinyanganyiro hicho baada na uchache wa kura kutoka kwa watazamaji.  Lulu na Joti wakitoa maelekezo kwa washiriki wawili wa Shindano la TMT...

 

9 years ago

GPL

MSHINDI WA TMT 2015 MPAKAKIELEWEKE APOKELEWA KWA NDEREMO MJINI MOSHI‏

Baadhi ya ndugu, jamaa na marafiki wa Mshindi wa Shindano la TMT 2015 #mpakakieleweke Dennis Lwasai wakiwa na bango linalomwelezea mahindi huyo wakati walipojitokeza kumpokea wakati akirejea nyumbani kwao Mambogini Moshi   Mshindi wa TMT 2015 #mpakakieleweke Dennis Lwasai akiwasalimia wakazi wa mji wa Moshi waliokuwa wakimpongeza wakati akirejea kwao Mambo… ...

 

11 years ago

GPL

SIMANZI ZAENDELEA KUTAWALA NDANI YA NYUMBA YA TMT BAADA YA MSHIRIKI MWINGINE KUAGA SHINDANO‏

Majaji wa shindano la TMT wakimsikiliza kwa makini Mshiriki wa TMT, Mwanaafa Mwinzago (anayeonekana kwenye runinga mbele) wakati akijielezea kabla ya filamu fupi aliyoshiriki kuonyeshwa ili majaji waweze kutoa hukumu kwa washiriki wa kundi hilo.  Majaji wa Shindano la Tanzania Movie Talents (TMT) katikati wakiwasikiliza washiriki wa kundi la kwanza wanavyojielezea kabla ya filamu fupi waliyochezwa kuonyeshwa katika...

 

11 years ago

Dewji Blog

Tanzania Movie Talents (TMT): Nani kuchomwa na jua la utosi wiki hii?

ILI KUWANUSURU AU KUMNUSURU MSHIRIKI UMPENDAE AENDELEE KUWEPO NDANI YA NYUMBA YA TMT UNACHOTAKIWA KUFANYA NI KUMPIGIA KURA KWA WINGI SANA.

JINSI YA KUPIGA KURA NI ANDIKA NENO “TMT” ikifuatiwa na namba yake ya ushiriki halafu tuma kwenda 15678. Mfano TMT00 tuma kwenda 15678

pendo

ILI KUWANUSURU AU KUMNUSURU MSHIRIKI UMPENDAE AENDELEE KUWEPO NDANI YA NYUMBA YA TMT UNACHOTAKIWA KUFANYA NI KUMPIGIA KURA KWA WINGI SANA.

JINSI YA KUPIGA KURA NI ANDIKA NENO “TMT” ikifuatiwa na namba...

 

11 years ago

GPL

WASHIRIKI TMT KUANZA KUPIGIWA KURA WIKI HII‏

Washiriki wa Fainali ya Shindano la Tanzania Movie Talents (TMT) wakiwa jukwaani wakati wakiigiza moja ya igizo walilopewa na mwalimu wao Dk. Mona Mwakalinga katika Ukumbi wa Makumbusho ya Taifa Jumanne iliyopita. Igizo hilo ni la kwanza kwa ajili ya mchujo kwa washiriki.
Vijana wakiwajibika katika jukwaa kwa ajili ya kuwania tiketi ya kuzisaka milioni 50 za Kitanzania katika fainali itakayofanyika mwisho wa mwezi Agosti...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani