SIMANZI ZAENDELEA KUTAWALA NDANI YA NYUMBA YA TMT BAADA YA MSHIRIKI MWINGINE KUAGA SHINDANO
Majaji wa shindano la TMT wakimsikiliza kwa makini Mshiriki wa TMT, Mwanaafa Mwinzago (anayeonekana kwenye runinga mbele) wakati akijielezea kabla ya filamu fupi aliyoshiriki kuonyeshwa ili majaji waweze kutoa hukumu kwa washiriki wa kundi hilo. Â Majaji wa Shindano la Tanzania Movie Talents (TMT) katikati wakiwasikiliza washiriki wa kundi la kwanza wanavyojielezea kabla ya filamu fupi waliyochezwa kuonyeshwa katika...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Dewji Blog28 Jul
Simanzi zaendelea kutawala ndani ya nyumba ya Tanzania Movie Talents (TMT) mara baada ya mshiriki mwingine kuaga Shindano
Majaji wa shindano la TMT wakimsikiliza kwa makini Mshiriki wa TMT, Mwanaafa Mwinzago (anayeonekana kwenye runinga mbele) wakati akijielezea kabla ya filamu fupi aliyoshiriki kuonyeshwa ili majaji waweze kutoa hukumu kwa washiriki wa kundi hilo
![IMG_3774](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/07/IMG_3774.jpg)
Majaji wa Shindano la Tanzania Movie Talents (TMT) katikati wakiwasikiliza washiriki wa kundi la kwanza wanavyojielezea kabla ya filamu fupi waliyochezwa kuonyeshwa katika ukumbi wa Makumbusho ya Taifa wiki iliyopita
Majaji wa Shindano la...
10 years ago
GPLNANI KUAGA SHINDANO LA TMT 2015 #MPAKAKIELEWEKE WIKI HII?
11 years ago
GPLWIKI 3 KUELEKEA FAINALI YA SHINDANO LA TMT, WASHIRIKI WENGINE 2VWAAGA SHINDANO
10 years ago
VijimamboNani kuaga Shindano la TMT 2015 #mpakakieleweke Wiki hii?
11 years ago
GPLWASHIRIKI 20 WA SHINDANO LA TMT WAINGIA RASMI KAMBINI JANA USIKU, TAYARI KWA SAFARI YA KUWANIA MILIONI 50
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/DBD4PE5EidWC6PKH7wWHYT*xKStlUuBabVARl0Bg9qTwlVi1jQvLPPiAByxGNvGQnoUsI2Jftfz*9sDnqQnRH*WFrtcXhdMy/Mpigiekura.jpg?width=750)
11 years ago
MichuziMARA BAADA YA SHINDANO LA TANZANIA MOVIE TALENTS (TMT) KUMALIZIKA KANDA YA PWANI, WATANZANIA SASA KUANZA KUWAPIGIA KURA WASHINDI
9 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/08/Vote4Aisha1.jpg1.jpg)
10 years ago
Bongo Movies17 Mar
Mama G Apagawisha Shindano la Miss Kenya Germany 2015, Lucy Komba Ndani ya Nyumba
Mwigizaji na Mchekeshaji anaeishi nchini Ugerumani, maarufu kama Mama G for Germany aka Ronet ametoa burudani ya kufa mtu kwenye shindano la Miss Kenya Germany 2015 lililofanyika usiku wa kuamkia jana huko nchini Ujerumani.
Mama G aliwavunja mbavu watu kwa vicheko mfululizo wakati alipokuwa akifanya yake ukumbini humo na kulifanya shindano hilo kunoga zaidi.
Staa wa Bongo Movies ambae kwa sasa anaishi ughaibuni, Lucy Komba pamoja na Rehema Amiry Nkalami wa swahili radio Denmark walikuwa...