Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Riyama Ampongeza Shamsa Kuibuka Mshindi kwa Mwaka 2014

“Hongera sana mdogo wangu kwa ushindi mwaka 2014 #chausiku Nakuombea Kila la kheri katika mwaka huu wa 2015 uzidi kufanya vizuri zaidi inshallah amin Nakupenda sanaaaaaaaaaa na kukabidhi rasmi mikoba mamie".

Riyama aliyaema hayo baada ya kubandika picha hiyo  wakiwa ndani ya studio za redio Clouds FM mara baada ya filamu ya Chausiku iliyochezwa na mwanadada Shamsa Ford iliyotoka miezi ya mwishoni  mwa mwaka jana, kutangazwa ndio iliyoshika namba moja huku filamu ya Kigodoro ikishika namba...

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MSHINDI WA TMT 2014 MWANAAFA MWINZAGU AFAULU MITIHANI YAKE YA KUMALIZA ELIMU YA MSINGI MWAKA 2014

Pichani (Katikati) ni Mwanaafa Mwinzagu ambae ni Mshindi wa Shindano la Tanzania Movie Talents (TMT) 2014 akiwa katika Picha ya Pamoja na Baadhi ya wafanyakazi na Wadau wa Kampuni ya Proin Promotions ambao ndio waandaaji na waendeshaji wa Shindano la TMT mara baada ya kutangazwa mshindi wa Kitita cha Milioni 50 za Kitanzania katika fainali ya shindano la TMT lililomalizika Mnamo tarehe 30 Aug 2014 katika Ukumbi wa Mlimani City...

 

10 years ago

Vijimambo

CCM YAPOKEA KWA FURAHA FRELIMO KUIBUKA ,MSHINDI KATIKA UCHAGUZI MKUU WA MSUMBUJI

NA BASHIR NKOROMO
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimepokea kwa furaha Chama cha Frelimo kuibuka na ushindi katika uchaguzi mkuu uliofanyika Oktoba 15, mwaka huu.

Katika uchaguzi huo, aliyekuwa mgombea kwa tiketi ya Frelimo, Filipe Nyusi ameibuka kidedea na sasa ndiye Rais Mteule wa Msumbiji ambaye baada ya kuapishwa atashika mikoba itaakayoachwa na Rais anayemaliza muda wake, Armando Gwebuza.

Akizungumza na waandishi wa habari leo, katika ukumbi wa Sekretarieti, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM,...

 

11 years ago

Habarileo

Diwani wa Chadema ampigia debe CCM na kuibuka mshindi

KATIKA hali isiyo ya kawaida Diwani wa Chadema katika kata ya Masoko wilayani Mbeya, juzi aliwashangaza watu baada ya kujikuta akimpigia kampeni diwani wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), katika uchaguzi wa kumpata Makamu Mwenyekiti wa Halmashauri.

 

11 years ago

Michuzi

NANI KUIBUKA MSHINDI WA SAFARI YA BRAZILI WIKI HII?

Tiketi ya kwanza ya kwenda Brazili na Serengeti kutolewa wiki hii:
Machi 4, 2014; Kampuni ya Bia ya Serengeti inatarajia kuchezesha droo ya nne ya promosheni ya Winda Safari ya Brazili na Serengeti ambapo mshindi wa kwanza wa kwenda Brazili atapatikana. Licha ya zawadi kibao kutoka kampuni hiyo kama ving’amuzi, ipad, bia za bure, na fedha taslimu kufaidisha wateja wengi wa bia ya Serengeti kwa wiki tatu za mwanzo na zinazoendelea, wiki hii kutakua na zawadi kubwa zaidi ya promosheni hiyo ya...

 

10 years ago

Bongo Movies

Riyama na Shamsa Vs Joti na Kitale, Upi Utakuwa Mzigo Mkali?

Haya tena wadau wa sinema za kibongo, wakali hawa wakiamua kutengeneza kazi ambayo moja iwe ya Riyama pamoja na Shamsa Ford “Chausiku” na nyingine iwe ya Joti Mdebwedo akiwa na Kitale aka Mkudesimba.

Mimi naamini kazi zote hizo mbili zitakuwa hatareee, kwa mtazamo wako ipi kati ya hizi mbili (Riyama na Shamsa VS (Joti na Kitale) unadhani itakuwa kali zaidi.

 

10 years ago

Bongo Movies

Shamsa Ford Awashukuru Wadau Kwakuibuka Mshindi

"Kwa nafasi ya kipekee ningependa kutumia nafasi hii kuwashukuru watanzania wote walioiwezesha CHAUSIKU kuwa movie bora ya 2014 kupitia movie leo ya CLOUDS FM.

To be honest mmenipa nguvu sana ya kuongeza bidii katika kazi zangu.Thank u sana Jerusalem Film na Irene Makeula  kwa nafasi mliyonipa kwenye company yenu na kunifikisha hapa nilipo.

THANK U sana my director  Rashid Mrutu kwa kuiwezesha CHAUSIKU kufanya vizuri.sijui nisemeje but i belive ni hatua moja ya mafanikio..

AM VERY VERY...

 

10 years ago

Dewji Blog

Nani na nani kuibuka mshindi wa tuzo za Watu usiku huu leo Mei 22!!

TUZO-ZA-WATU-Logo-black-background

Baada ya wiki kadhaa za mpambano mkali wa kura za tuzo za watu, leo ndio fainali.

Majina matatu yanashindania tuzo kwenye vipengele 13 vya mwaka huu. Majina hayo yameingia baada ya kuvuka michujo miwili migumu. Ni kura za mashabiki peke yake ndio ziliwaingiza kwenye fainali hiyo na mshindi atapatikana kwa kura za wananchi, hakuna kingine.

Washereheshaji kwenye fainali hizo ni Vj Penny na mchekeshaji Dogo Pepe huku muimbaji wa kike anayechipukia kwa kasi Ruby akitarajiwa kutumbuiza.

“Watu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani