Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Diwani wa Chadema ampigia debe CCM na kuibuka mshindi

KATIKA hali isiyo ya kawaida Diwani wa Chadema katika kata ya Masoko wilayani Mbeya, juzi aliwashangaza watu baada ya kujikuta akimpigia kampeni diwani wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), katika uchaguzi wa kumpata Makamu Mwenyekiti wa Halmashauri.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

CCM YAPOKEA KWA FURAHA FRELIMO KUIBUKA ,MSHINDI KATIKA UCHAGUZI MKUU WA MSUMBUJI

NA BASHIR NKOROMO
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimepokea kwa furaha Chama cha Frelimo kuibuka na ushindi katika uchaguzi mkuu uliofanyika Oktoba 15, mwaka huu.

Katika uchaguzi huo, aliyekuwa mgombea kwa tiketi ya Frelimo, Filipe Nyusi ameibuka kidedea na sasa ndiye Rais Mteule wa Msumbiji ambaye baada ya kuapishwa atashika mikoba itaakayoachwa na Rais anayemaliza muda wake, Armando Gwebuza.

Akizungumza na waandishi wa habari leo, katika ukumbi wa Sekretarieti, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM,...

 

9 years ago

Mtanzania

Magufuli ampigia debe Mrema

MTZ IJUMAA new1.indd*Asema akishindwa atamtafutia kazi nyingine

 

NA BAKARI KIMWANGA, VUNJO

MGOMBEA urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli, amesema kama wananchi wa Jimbo la Vunjo mkoani Kilimanjaro hawataki kukichagua chama hicho katika nafasi ya ubunge, ni bora wamchague mgombea wa Chama cha Tanzania Labour (TLP), Augustine Mrema.

Dk. Magufuli, alitoa kauli hiyo jana, wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika mji mdogo wa Himo.

Alisema pamoja na kutaka Mrema achaguliwe, anahitaji zaidi...

 

10 years ago

Mwananchi

DC ampigia debe la urais Wasira

Mkuu wa Wilaya ya Mbeya, Nyerembe Sabi, amempigia debe Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Stephen Wasira, pale alipoeleza kuwa yeye siyo waziri na mbunge tu, bali ni mtarajiwa.

 

11 years ago

GPL

SNURA AMPIGIA DEBE DIAMIOND

Stori: Na Gladness Mallya MSANII wa muziki na filamu Bongo, Snura Mushi amefunguka kwamba tuzo saba za Kilimanjaro alizopata msanii mwenzake, Nasibu Abdul alistahili kuzipata kwani anajituma. Msanii wa muziki na filamu Bongo, Snura Mushi, 'Mama Majanga'. Akichonga na gazeti hili, Snura alisema Diamond ni mwanamuziki anayejituma sana pia ni mbunifu na juhudi zake ndizo zimemfanya ashinde tuzo zote hizo.… ...

 

11 years ago

Mwananchi

Silaa ampigia debe Mgimwa Kalenga

Mstahiki Meya wa Manispaa ya Ilala jijini Dar es Salaam, Jerry Silaa amewataka wananchi wa Jimbo la Kalenga kumchagua mgombea ubunge wa jimbo hilo kupitia CCM, Godfrey Mgimwa kwa kuwa serikali iliyopo madarakani imeundwa na CCM.

 

11 years ago

GPL

JERRY SILAA AMPIGIA DEBE GODFREY MGIMWA

  Meya wa Halmashauri ya Manispaa ya Ilala na mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Bw. Jerry Silaa akihutubia katika mkutano wa kampeni uliofanyika kwenye kijiji cha Ibumila kata ya Mgama, jana. Jerry…

 

10 years ago

Mwananchi

Ben Mkapa ampigia Pinda debe kiaina

Rais mstaafu, Benjamini Mkapa amempigia debe Waziri Mkuu, Mizengo Pinda kiana akisema ni kiongozi anayekubalika kwa wananchi, hivyo wananchi wamuunge mkono kwenye nafasi yake ya sasa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani