Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MEYA WA ILALA JERRY SILAA AVAMIA KALENGA,AMPIGIA DEBE LA NGUVU MGOMBEA UBUNGE WA CCM

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Meya wa Ilala Jerry Silaa,Mwakalebela waishambulia vilivyo Kalenga,wampigia debe la nguvu mgombea ubunge jimbo la Kalenga Godfrey Mgimwa

Pichani shoto ni Meya wa Halmashauri ya Manispaa ya Ilala na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM,Ndugu,Jerry Silaa wakishangilia jambo kwa pamoja na Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kalenga kwa tiketi ya chama cha CCM,Ndugu Godfrey William Mgimwa,katika mkutano wa hadhara wa kampeni uliofanyika jana kwenye uwanja wa shule ya msingi Katenge katika kijiji cha Mgama,kata ya Mgama,Iringa Vijijini. Meya wa Halmashauri ya Manispaa ya Ilala na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM,Ndugu,Jerry Silaa pichani kulia...

 

10 years ago

Michuzi

MEYA JERRY SILAA WA ILALA ATANGAZA RASMI KUGOMBEA UBUNGE JIMBO LA UKONGA

Meya wa Ilala, Jerry Slaa akifuatilia kwa karibu burudani zilizokuwa zinatolewa na vikundi mbalimbali katika mkutano huo. Pamoja nae ni Mbunge wa Afrika Mashariki na Mjumbe wa NEC wa CCM, Diwani wa  kata ya  Gongo la Mboto na Meya wa Manispaa ya Ilala,Jerry Slaa akihutubia wananchi katika uwanja wa shule ya msingi kitunda mwishoni mwa wiki ambapo alieleza mafanikio yaliyopatikana wakati wa kipindi chake cha uongozi na kukamilisha ahadi mbalimbali alizokuwa amezitoa.Mmoja wa wawakilishi wa...

 

11 years ago

GPL

JERRY SILAA AMPIGIA DEBE GODFREY MGIMWA

  Meya wa Halmashauri ya Manispaa ya Ilala na mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Bw. Jerry Silaa akihutubia katika mkutano wa kampeni uliofanyika kwenye kijiji cha Ibumila kata ya Mgama, jana. Jerry…

 

11 years ago

Mwananchi

Silaa ampigia debe Mgimwa Kalenga

Mstahiki Meya wa Manispaa ya Ilala jijini Dar es Salaam, Jerry Silaa amewataka wananchi wa Jimbo la Kalenga kumchagua mgombea ubunge wa jimbo hilo kupitia CCM, Godfrey Mgimwa kwa kuwa serikali iliyopo madarakani imeundwa na CCM.

 

10 years ago

Dewji Blog

Meya Jerry Silaa asimamisha ujenzi wa majengo Ilala

Ziara ya majengo

Mstahiki Meya wa Meya wa manispaa ya Ilala, Jerry Silaa (mwenye miwani) akiambatana na viongozi wenzake wametembelea na kupima uzio wa mabati unaowekwa na wakandarasi wengi bila kulipiwa vibali,kulipiwa vibali kiwango kidogo kwa kuchakachua vipimo na kutovilipia kila mwaka.

Ziara ya majengo_6

Ziara ya majengo_8

Ziara ya majengo_1

Ziara ya majengo_2

 

Mkuu wa kitengo cha mazingira wa manispaa ya Ilala Themi Luther (katikati) akimpatia maelekezo .Meya wa Manispaa ya Ilala Jerry Silaa (kushoto) kuhusiana na usanifu wa jengo kwenye makutano ya mitaa ya Aggrey na...

 

11 years ago

GPL

MEYA WA MANISPAA YA ILALA JERRY SILAA ATEMBELEA OFISI ZA GLOBAL PUBLISHERS

Mstahiki Meya wa Manispaa ya Ilala, ambaye pia ni Diwani wa kata ya Gongo la Mboto Jerry Silaa akiwasili katika ofisi za Global Publishers. Anayempokea ni Mhariri Msaidizi wa Gazeti la Uwazi, Elvan Stambuli. Jerry Silaa akilakiwa na Mhariri Mtendaji wa Global Publishers, Richard Manyota (kushoto).…

 

10 years ago

Dewji Blog

Mstahiki Meya wa Ilala Jerry Silaa ashusha neema kwa shule ya msingi Kivule‏‎

Meza kuu ikiwa imepambwa na viongozi mbalimbali kwaajili ya kupokea msaada wa madawati.

Meya wa manispaa ya  Ilala Jerry silaa akabidhi msaada wa madawati mia moja katika shule ya msingi kivule iliyopo jijini dar es salaam ikiwa ni mpango aliouanzisha na kuanza kuutekeleza kupitia (Mayors Ball) katika mpango huo madawati hayo yamekabidhiwa kwa mwalimu mkuu wa shue hiyo pamoja na diwani wa kata ya kivule na afisa elimu wa manispaa ya ilala walikuwepo katika shuguli hiyo ya kupokea msaada...

 

11 years ago

Michuzi

news alert: hackers waiba akaunti ya facebook ya meya wa ilala Mstahiki Jerry Silaa leo

Napenda kuwajulisha marafiki zangu wote kwamba akaunti yangu ya facebook ime-hackiwa na kuanza kutuma ujumbe kwa marafiki zangu kuwataka waingie kwenye link kwani nina maongezi ya siri.
Tafadhali puuzia ujumbe huo kwani utasababisha akaunti yako nayo ku-hackiwa. Tafadhali sambaza ujumbe huu, wakati tunaendelea kujaribu kuiokoa. Nawaomba radhi wote walopatwa na usumbufu huu.
Asanteni sana - Jerry Silaa

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani