Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mstahiki Meya wa Ilala Jerry Silaa ashusha neema kwa shule ya msingi Kivule‏‎

Meza kuu ikiwa imepambwa na viongozi mbalimbali kwaajili ya kupokea msaada wa madawati.

Meya wa manispaa ya  Ilala Jerry silaa akabidhi msaada wa madawati mia moja katika shule ya msingi kivule iliyopo jijini dar es salaam ikiwa ni mpango aliouanzisha na kuanza kuutekeleza kupitia (Mayors Ball) katika mpango huo madawati hayo yamekabidhiwa kwa mwalimu mkuu wa shue hiyo pamoja na diwani wa kata ya kivule na afisa elimu wa manispaa ya ilala walikuwepo katika shuguli hiyo ya kupokea msaada...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MSTAHIKI MEYA WA ILALA JERRY SILAA ASHUSHA NEEMA KWA SHULE YA MSINGI KIVULE‏‎

Mstahiki Jerry Silaa meya wa Ilala akimkabidhi msaada huo wa madawati mia moja (100) mwalimu mkuu wa shule ya msingi kivule Mstahiki Jerry Silaa meya wa Ilala akipeana mkono wa shukrani na mratibu Bw.Mkami Sudayi…

 

11 years ago

Michuzi

news alert: hackers waiba akaunti ya facebook ya meya wa ilala Mstahiki Jerry Silaa leo

Napenda kuwajulisha marafiki zangu wote kwamba akaunti yangu ya facebook ime-hackiwa na kuanza kutuma ujumbe kwa marafiki zangu kuwataka waingie kwenye link kwani nina maongezi ya siri.
Tafadhali puuzia ujumbe huo kwani utasababisha akaunti yako nayo ku-hackiwa. Tafadhali sambaza ujumbe huu, wakati tunaendelea kujaribu kuiokoa. Nawaomba radhi wote walopatwa na usumbufu huu.
Asanteni sana - Jerry Silaa

 

10 years ago

GPL

MSTAHIKI MEYA WA MANISPAA YA ILALA JERRY SILAA AWAAGA WATUMISHI SITA WA AFYA WA MANISPAA HIYO WANAOENDA KUONGEZA UJUZI KOREA KUSINI

Mstahiki Meya wa Manispaa ya Ilala Jerry Silaa akipeana mkono wa kuagana na Mganga Mfawidhi wa zahanati ya Chanika Dk Betha Sanga ambaye pamoja na watumishi wengine sita wa afya wa Manispaa hiyo wamepata udhamini wa Serikali ya Korea Kusini kupitia Shirika lake la Maendeleo KOICA kwenda kuongeza ujuzi nchini Korea Kusini kwa ajili ya kuboresha huduma katika hospitali itakayojengwa Chanika. Wengine ni Dk  Agatha Shinyala na Dk...

 

11 years ago

Michuzi

Mstahiki Meya wa Ilala Mhe Jerry Slaa aanda futari kwa wadau mbalimbali

 Waalikwa wakipakua futari iliyoandaliwa na Meya wa Ilala Mstahiki Jerry Silaa katika ukumbi wa Arnatouglou jijini Dar es salaam siku ya Jumanne Julai 22, 2014 ambapo wadau kutoka sehemu mbalimbali walihudhuria.  Kina mama walikuwepo pia Wadau mbalimbali walihudhuria Kaimu Shehe Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam akitoa neno la shukuraniMstahiki Meya wa Ilala alitoa zawadi kwa kila mgeni aliyealikwa. Kwa picha zaidi BOFYA HAPA

 

10 years ago

Dewji Blog

Meya Jerry Silaa asimamisha ujenzi wa majengo Ilala

Ziara ya majengo

Mstahiki Meya wa Meya wa manispaa ya Ilala, Jerry Silaa (mwenye miwani) akiambatana na viongozi wenzake wametembelea na kupima uzio wa mabati unaowekwa na wakandarasi wengi bila kulipiwa vibali,kulipiwa vibali kiwango kidogo kwa kuchakachua vipimo na kutovilipia kila mwaka.

Ziara ya majengo_6

Ziara ya majengo_8

Ziara ya majengo_1

Ziara ya majengo_2

 

Mkuu wa kitengo cha mazingira wa manispaa ya Ilala Themi Luther (katikati) akimpatia maelekezo .Meya wa Manispaa ya Ilala Jerry Silaa (kushoto) kuhusiana na usanifu wa jengo kwenye makutano ya mitaa ya Aggrey na...

 

11 years ago

Michuzi

JERRY SILAA AGAWA DAWATI 300 KWA SHULE ZA SEKONDARI MANISPAA YA ILALA

DSC_0638 Mwalimu Mkuu wa Shule ya Sekondari Ulongoni, Bi. Sikitiko Salehe,( wa pili kulia) akipokea moja ya madawati kati ya 93 kwa niaba ya shule yake kutoka kwa Mstahiki Meya Jerry Silaa ikiwa ni zao la matunda ya Mayor's Ball 2013 iliyoweka kipaumbele kwenye elimu kuhakikisha kila mwanafunzi anakaa kwenye dawati katika hafla fupi iliyofanyika kwenye shule ya sekondari Pugu jijini Dar. DSC_0645 Wanafunzi wa Shule ya sekondari Pugu wakionyesha nyuso za furaha isiyo na kifani walipokabidhiwa madawati 107...

 

11 years ago

GPL

JERRY SILAA AGAWA DAWATI 300 KWA SHULE ZA SEKONDARI MANISPAA YA ILALA‏

Mstahiki Meya wa Manispaa ya Ilala, ambaye pia ni Diwani wa kata ya Gongo la Mboto Jerry Silaa akiwasili kwenye shule ya sekondari Pugu kwa ajili ya kukabidhi madawati 300 kwa shule tatu zilizopo manispaa ya Ilala na kulakiwa na Mwalimu Mkuu wa Shule hiyo Jovinus Mutabuzi.(Picha zote na Zainul Mzige). Mstahiki Meya wa Manispaa ya Ilala Jerry Silaa, akisaini kitabu cha wageni katika shule ya sekondari Pugu mara baada ya...

 

11 years ago

GPL

MEYA WA MANISPAA YA ILALA JERRY SILAA ATEMBELEA OFISI ZA GLOBAL PUBLISHERS

Mstahiki Meya wa Manispaa ya Ilala, ambaye pia ni Diwani wa kata ya Gongo la Mboto Jerry Silaa akiwasili katika ofisi za Global Publishers. Anayempokea ni Mhariri Msaidizi wa Gazeti la Uwazi, Elvan Stambuli. Jerry Silaa akilakiwa na Mhariri Mtendaji wa Global Publishers, Richard Manyota (kushoto).…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani