MSTAHIKI MEYA WA ILALA JERRY SILAA ASHUSHA NEEMA KWA SHULE YA MSINGI KIVULE
Mstahiki Jerry Silaa meya wa Ilala akimkabidhi msaada huo wa madawati mia moja (100) mwalimu mkuu wa shule ya msingi kivule Mstahiki Jerry Silaa meya wa Ilala akipeana mkono wa shukrani na mratibu Bw.Mkami Sudayi…
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog18 Sep
Mstahiki Meya wa Ilala Jerry Silaa ashusha neema kwa shule ya msingi Kivuleâ€â€Ž
Meza kuu ikiwa imepambwa na viongozi mbalimbali kwaajili ya kupokea msaada wa madawati.
Meya wa manispaa ya Ilala Jerry silaa akabidhi msaada wa madawati mia moja katika shule ya msingi kivule iliyopo jijini dar es salaam ikiwa ni mpango aliouanzisha na kuanza kuutekeleza kupitia (Mayors Ball) katika mpango huo madawati hayo yamekabidhiwa kwa mwalimu mkuu wa shue hiyo pamoja na diwani wa kata ya kivule na afisa elimu wa manispaa ya ilala walikuwepo katika shuguli hiyo ya kupokea msaada...
11 years ago
Michuzinews alert: hackers waiba akaunti ya facebook ya meya wa ilala Mstahiki Jerry Silaa leo
Tafadhali puuzia ujumbe huo kwani utasababisha akaunti yako nayo ku-hackiwa. Tafadhali sambaza ujumbe huu, wakati tunaendelea kujaribu kuiokoa. Nawaomba radhi wote walopatwa na usumbufu huu.
Asanteni sana - Jerry Silaa
10 years ago
GPLMSTAHIKI MEYA WA MANISPAA YA ILALA JERRY SILAA AWAAGA WATUMISHI SITA WA AFYA WA MANISPAA HIYO WANAOENDA KUONGEZA UJUZI KOREA KUSINI
11 years ago
GPLJERRY SILAA AGAWA DAWATI 300 KWA SHULE ZA SEKONDARI MANISPAA YA ILALA
11 years ago
MichuziMstahiki Meya wa Ilala Mhe Jerry Slaa aanda futari kwa wadau mbalimbali
11 years ago
GPLMEYA WA ILALA JERRY SILAA AKAGUA MAENDELEO YA UJENZI WA BARABARA YA UKONGA KUELEKEA MAZIZINI MPAKA MOSHI BAR
10 years ago
Dewji Blog22 Feb
Meya Jerry Silaa asimamisha ujenzi wa majengo Ilala
Mstahiki Meya wa Meya wa manispaa ya Ilala, Jerry Silaa (mwenye miwani) akiambatana na viongozi wenzake wametembelea na kupima uzio wa mabati unaowekwa na wakandarasi wengi bila kulipiwa vibali,kulipiwa vibali kiwango kidogo kwa kuchakachua vipimo na kutovilipia kila mwaka.
Mkuu wa kitengo cha mazingira wa manispaa ya Ilala Themi Luther (katikati) akimpatia maelekezo .Meya wa Manispaa ya Ilala Jerry Silaa (kushoto) kuhusiana na usanifu wa jengo kwenye makutano ya mitaa ya Aggrey na...
11 years ago
Michuzi03 Apr
JERRY SILAA AGAWA DAWATI 300 KWA SHULE ZA SEKONDARI MANISPAA YA ILALA