SNURA AMPIGIA DEBE DIAMIOND
![](http://api.ning.com:80/files/OsG-NixX39fbvdtLSMPtMQAXEf7QkwVjK2pahH5g1WH-fkEBX51kjylC60IwLRIMPVPzAbRwMkk6LUSHRvHYYSV1akDhOpij/snura.jpg?width=650)
Stori: Na Gladness Mallya MSANII wa muziki na filamu Bongo, Snura Mushi amefunguka kwamba tuzo saba za Kilimanjaro alizopata msanii mwenzake, Nasibu Abdul alistahili kuzipata kwani anajituma. Msanii wa muziki na filamu Bongo, Snura Mushi, 'Mama Majanga'. Akichonga na gazeti hili, Snura alisema Diamond ni mwanamuziki anayejituma sana pia ni mbunifu na juhudi zake ndizo zimemfanya ashinde tuzo zote hizo.… ...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mtanzania09 Oct
Magufuli ampigia debe Mrema
*Asema akishindwa atamtafutia kazi nyingine
NA BAKARI KIMWANGA, VUNJO
MGOMBEA urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli, amesema kama wananchi wa Jimbo la Vunjo mkoani Kilimanjaro hawataki kukichagua chama hicho katika nafasi ya ubunge, ni bora wamchague mgombea wa Chama cha Tanzania Labour (TLP), Augustine Mrema.
Dk. Magufuli, alitoa kauli hiyo jana, wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika mji mdogo wa Himo.
Alisema pamoja na kutaka Mrema achaguliwe, anahitaji zaidi...
10 years ago
Mwananchi07 Apr
DC ampigia debe la urais Wasira
11 years ago
Mwananchi11 Mar
Silaa ampigia debe Mgimwa Kalenga
11 years ago
GPL![](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2014/03/211.jpg)
JERRY SILAA AMPIGIA DEBE GODFREY MGIMWA
10 years ago
Mwananchi25 Aug
Ben Mkapa ampigia Pinda debe kiaina
9 years ago
Mwananchi21 Sep
Warioba ampigia debe mwanaye ubunge Kawe
10 years ago
Habarileo05 Jan
DC ampigia debe Msola awamu nyingine ya ubunge
MKUU wa wilaya ya Kilolo mkoani Iringa, Gerald Guninita amempigia chapuo mbunge wa sasa wa jimbo la Kilolo, Profesa Peter Msolla akisema; “kwa kazi kubwa anazofanya,” kuwa anastahili kuchaguliwa kwa mara nyingine tena kuwa mbunge wa jimbo hilo, katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu.
9 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-ro7JjvJdCdM/VhZiH18bfHI/AAAAAAAH9y8/_NaO5xxm09g/s72-c/unnamed%2B%25282%2529.jpg)
Mrema ampigia debe Dkt John Pombe Magufuli
![](http://2.bp.blogspot.com/-ro7JjvJdCdM/VhZiH18bfHI/AAAAAAAH9y8/_NaO5xxm09g/s640/unnamed%2B%25282%2529.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-3HvQBSZT9fk/VhZiLw9DunI/AAAAAAAH9zE/TB-r8DlbUIA/s640/unnamed.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-4NIYUHog_-4/VhZiPP-y1fI/AAAAAAAH9zM/O7ipgvPRGkU/s640/unnamed%2B%25281%2529.jpg)
11 years ago
Habarileo27 Jul
Diwani wa Chadema ampigia debe CCM na kuibuka mshindi
KATIKA hali isiyo ya kawaida Diwani wa Chadema katika kata ya Masoko wilayani Mbeya, juzi aliwashangaza watu baada ya kujikuta akimpigia kampeni diwani wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), katika uchaguzi wa kumpata Makamu Mwenyekiti wa Halmashauri.