Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mrema ampigia debe Dkt John Pombe Magufuli

Mwenyekiti wa Taifa wa chama cha TLP Mhe. Augustino Lyatonga Mrema leo amesimamisha msafara wa mgombea Urais kwa tiketi ya CCM Dkt. John Pombe Magufuli alipokutana nao maeneo ya Himo njia panda mkoani Kilimanjaro, na alipokaribishwa alimuombea kura za Urais Dkt. Magufuli huku yeye mwenyewe akijiombea kura kwa jimbo la Vunjo.

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mtanzania

Magufuli ampigia debe Mrema

MTZ IJUMAA new1.indd*Asema akishindwa atamtafutia kazi nyingine

 

NA BAKARI KIMWANGA, VUNJO

MGOMBEA urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli, amesema kama wananchi wa Jimbo la Vunjo mkoani Kilimanjaro hawataki kukichagua chama hicho katika nafasi ya ubunge, ni bora wamchague mgombea wa Chama cha Tanzania Labour (TLP), Augustine Mrema.

Dk. Magufuli, alitoa kauli hiyo jana, wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika mji mdogo wa Himo.

Alisema pamoja na kutaka Mrema achaguliwe, anahitaji zaidi...

 

9 years ago

Michuzi

DKT JAKAYA KIKWETE NA DKT JOHN POMBE MAGUFULI WAWASILI JIJINI MWANZA MCHANA HUU KUHITIMISHA SHUGHULI ZA KAMPENI

 Mwenyekiti wa CCM,Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Jakaya Kikwete akisalimiana na Mgombea Urais wa chama hicho Dkt John Pombe Magufuli,mara baada ya kuwasili katika uwanja wa CCM Kirumba kuhitimisha shughuli za kampeni nchini kote,ambapo hapo kesho wananchi wanatarajia kupiga kura ya kuwachagua viongozi wawatakao. Mwenyekiti wa CCM Dkt Jakaya Kikwete na Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli wakielekea jukwaani kwa pamoja mara baada ya kupokelewa katika uwanja wa...

 

9 years ago

Dewji Blog

Rais ni Dkt. John Pombe Magufuli

1x-1

Ni muda mfupi uliopita baada ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kumtangaza rasmi Mgombea Urais wa chama cha Mapinduzi (CCM), Dkt.John Pombe Magufuli aliyepata 58.46% dhidi ya Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa 39.97%.

Modewji blog inatoa pongezi kwa Mgombea mweza Mama Samia Suluhu Hassan kwa ushindi huo.

Happy Birthday to you…. Mheshimiwa Rais uwe na siku njema ikiwa leo pia unasheherekea siku...

 

9 years ago

GPL

HAPPY BIRTHDAY DKT. JOHN POMBE MAGUFULI

Mgombea wa urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. John Pombe Magufuli. LEO  ni siku ya kuzaliwa ya mgombea wa urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. John Pombe Magufuli. Tunakutakia maisha marefu na yenye mafanikio kwa Watanzania wote. Dkt John Pombe Joseph Magufuli alizaliwa siku ya Alhamis, Oktoba 29, 1959. Tunakutakia maisha marefu na yenye mafanikio kwa Watanzania wote. ...

 

10 years ago

Michuzi

NEWS UPDATES KUTOKA DODOMA JIONI HII;NI DKT ASHA ROSE MIGIRO,BALOZI AMINA SALUM ALI NA DKT JOHN POMBE MAGUFULI

 Balozi Amina Salum Ali Dkt John Pombe MagufuliDkt Asha Rose Migiro.
Pichani ni majina matatu ya wagombea kiti cha Urais kwa chama cha CCM,yaliyopitishwa jioni ya leo na Mkutano wa Halmashauri Kuu ya CCM,ambapo kati ya hayo majina matatu kupitia Mkutano Mkuu wa CCM unaotarajiwa kufanyika usiku huu utaibua jina la mtu mmoja tu ambaye  atatambulika kuwa ndiye mgombea kiti cha Urais kupitia chama hicho cha CCM

 

9 years ago

Michuzi

DKT. JOHN POMBE MAGUFULI APASUA ANGA SUMBAWANGA LEO

Nyomi iliyojitokeza kumsikiliza mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM Dkt. John Pombe Magufuli katika uwanja wa michezo wa mji wa Sumbawanga Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM Dkt. John Pombe Magufuli akiwasili katika uwanja wa michezo wa mji wa Sumbawanga 
Nyomi iliyojitokeza kumsikiliza mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM Dkt. John Pombe Magufuli katika uwanja wa michezo wa mji wa Sumbawanga 

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani