Riyama na Shamsa Vs Joti na Kitale, Upi Utakuwa Mzigo Mkali?
Haya tena wadau wa sinema za kibongo, wakali hawa wakiamua kutengeneza kazi ambayo moja iwe ya Riyama pamoja na Shamsa Ford “Chausiku” na nyingine iwe ya Joti Mdebwedo akiwa na Kitale aka Mkudesimba.
Mimi naamini kazi zote hizo mbili zitakuwa hatareee, kwa mtazamo wako ipi kati ya hizi mbili (Riyama na Shamsa VS (Joti na Kitale) unadhani itakuwa kali zaidi.
Bongo Movies
Habari Zinazoendana
11 years ago
Bongo Movies20 Jul
Kitale (Mkude Simba) amwagia sifa kedekede Riyama Ally.
Kupitia ukurasa wa mtandao mmoja maarufu wa kijamii nchini, mwigizaji wa vichekesho na filamu nchini, Kitale almaarufu kama Mkude Simba amemwamgia sifa kedekede mwigizaji mwigine anayefanya vizuri kwenye upande wa filamu nchini Riyama Ali kama ishara ya kuonesha upendo wake kwa mwanadada huyo.
Huku akiwa ameweka picha ya mwanadada Riyama, Kitale aliandika
"Huyu mdada mm napenda kumuita kambi popote kwa maana ya kwamba achagui scene yy ukimpa scene yoyote ile kwake twende anacheza, ongera...
10 years ago
Bongo Movies04 Jan
Damwani: Mzigo Mpya Kutoka Kwa Riyama
Tukiwa ndio tuanaunza mwaka huu wa 2015, tegemea kazi mpya kutoka kwa mwigizaji mahili kabisa wa filamu hapa nchini, Riyama Ally ambae kwa sasa yupo katika hatua za mwisho kuikamilisha kazi hiyo.
Filamu itakwenda kwa jina la DAMWANI ambayo itakua inahusu maswala ambayo yapo kwenye jamii yetu kwenye maisha yetu ya kila siku, filamu hii imejumuisha waigizaji wakongwe na wachanga na wageni kwenye tasnia hii ya filamu hapo bongo.
Akionekana mbele ya kamera,Riyama akiwa na mwigizaji mwenzie...
10 years ago
Bongo Movies09 Jan
Riyama Ampongeza Shamsa Kuibuka Mshindi kwa Mwaka 2014
“Hongera sana mdogo wangu kwa ushindi mwaka 2014 #chausiku Nakuombea Kila la kheri katika mwaka huu wa 2015 uzidi kufanya vizuri zaidi inshallah amin Nakupenda sanaaaaaaaaaa na kukabidhi rasmi mikoba mamie".
Riyama aliyaema hayo baada ya kubandika picha hiyo wakiwa ndani ya studio za redio Clouds FM mara baada ya filamu ya Chausiku iliyochezwa na mwanadada Shamsa Ford iliyotoka miezi ya mwishoni mwa mwaka jana, kutangazwa ndio iliyoshika namba moja huku filamu ya Kigodoro ikishika namba...
10 years ago
Bongo Movies10 Apr
Penzi la Nay na Shamsa la Sababisha Vilio kwa Siwema na Mume wa Shamsa
Penzi la staa wa Bongo Movies, Shamsa Ford na Staa wa Bongo Fleva Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ limeibua tafrani kubwa huku waliokuwa wapenzi wa mastaa hao wakijikuta wakiangua vilio kweupe.
Kwa mujibu wa gazeti la Ijumaa, Mara baada ya wawili hao kutangazwa rasmi kuwa sasa ni mahaba niue huku picha za ushahidi zikimwagwa, aliyekuwa mwandani wa Nay, Siwema a.k.a Wemalicious na aliyekuwa mume wa Shamsa, Dickson ‘Dick’ wanadaiwa kujikuta kwenye hali mbaya kiasi cha kumwaga...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/dMNnaPiQ3VhvVq8FWRvQvkm8yteaMqCsQcVPGBaznIAly7u77pSRlQUnCxyQg7lOCQRkiwgo9xFRUEPDvCBoJ8X5xqp3zTgP/FRONTIJUMAA.gif?width=650)
PENZI LA NAY, SHAMSA SIWEMA, MUME WA SHAMSA VILIO
9 years ago
Vijimambo25 Aug
Mfumo wa Chadema ni upi?!
Aliyeanzisha chama ni Edwin Mtei na ndiyo mwasisi wa Chadema na ndio Mwenyekiti wa kwanza wa Chama hicho,
Mwenyekiti aliyefuata ni marehemu Bob Makani ambae alimuoa dada wa Mtei, na Mwenyekiti wa sasa Kamuoa mtoto wa Mtei ambae ni mwasisi na mwenyekiti wa kwanza wa chadema, sababu ya Zitto Zubeir Kabwe kutoka Chadema si aliutaka uenyekiti...
10 years ago
Tanzania Daima16 Oct
Msimamo wa JK upi katika hili?
MOJA ya habari kubwa kwenye Gazeti hili jana, ilihusu kauli ya Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe kwamba Rais Jakaya Kikwete ni kigeugeu. Mbowe ambaye alikuwa...
10 years ago
BBCSwahili27 Apr
Msimamo wa Rais wa Burundi ni upi?
9 years ago
Bongo529 Oct
Suma Mnazareti adai kujua mashabiki wanataka muziki upi ndio mtihani mkubwa