Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Damwani: Mzigo Mpya Kutoka Kwa Riyama

Tukiwa ndio tuanaunza mwaka huu wa 2015, tegemea kazi mpya kutoka kwa mwigizaji mahili kabisa wa filamu hapa nchini,  Riyama Ally ambae kwa sasa yupo katika hatua za mwisho kuikamilisha kazi hiyo.

Filamu itakwenda kwa jina la DAMWANI ambayo itakua inahusu maswala ambayo yapo kwenye jamii yetu kwenye maisha yetu ya kila siku, filamu hii imejumuisha waigizaji wakongwe na wachanga na wageni kwenye tasnia hii ya filamu hapo bongo.

Akionekana mbele ya kamera,Riyama akiwa na mwigizaji mwenzie...

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo Movies

Mpya Kutoka Kwa Riyama

Staa mwenye kiwango cha juu kabisa kutoka Bongo Movies, Riyama Ally anakuja na kazi hii ya mikono yake.

"WAKALA WA MAUTI " Ni kazi ya mikono yangu namuomba Mungu anijalie iwe miongoni mwa kazi bora inshallah amin iko ktk maandalizi ya mwishoni support yenu muhimu sana waungwana wa mimi damwani  nimeicheza morogoro humo ndani utakutana na Keisha , Hemedy Phd na mimi mwenyewe RIYAMAALLY...... Na wengine Kibao Kaeni mkao wakula wadau wetu!!!”- Riyama alimaliza mara baada ya kubandika picha...

 

10 years ago

Bongo Movies

Riyama na Shamsa Vs Joti na Kitale, Upi Utakuwa Mzigo Mkali?

Haya tena wadau wa sinema za kibongo, wakali hawa wakiamua kutengeneza kazi ambayo moja iwe ya Riyama pamoja na Shamsa Ford “Chausiku” na nyingine iwe ya Joti Mdebwedo akiwa na Kitale aka Mkudesimba.

Mimi naamini kazi zote hizo mbili zitakuwa hatareee, kwa mtazamo wako ipi kati ya hizi mbili (Riyama na Shamsa VS (Joti na Kitale) unadhani itakuwa kali zaidi.

 

10 years ago

Bongo Movies

Kajala,Wolper na Hemmedy Kambini Tegeta Kwa Mzigo Mpya

Mwako 2014 ukiwa unaendea ukingoni kumalizika, waigizaji Jackline Wolper na Kajala Masanja pamoja nawaigizaji wengine akiwemo Hemmedy Selemani " Hemmedy PHD" wameonekana wapo mzigoni kutengeneza filamu mpya.

Akiweka picha hii mtandaoni leo asubuhi, Wolper alii-caption;

“Watu wengne tumenuna kuamshwa mapema wengne wanatabasam..jamani haya bana ..new movie location day2 Mungu tusimamie”

Akionyesha kuwa wapo kambini, na badae Kajala kuongeza kwa maneno  “@tegeta location moja....."...

 

9 years ago

MillardAyo

Mzigo wa ‘Shem Lake’ huu hapa kutoka kwa Izzo Bizness, Feat. Mwana FA & G Nako.. (+Video)

Rapper anayewakilisha Green City a.k.a Mbeya City kathibitisha kwamba anahitaji watu wake wapate zawadi ya video nzuri kabla haijafikia December 25 2015 ambayo ndio siku ya birthday yake. Jina lake kwenye stage ya muziki anafahamika kama Izzo Bizness, wiki chache zilizopita aliachia ngoma kali ambayo imeteka kwa nguvu airtime kwenye radio stations ambapo ngoma hiyo […]

The post Mzigo wa ‘Shem Lake’ huu hapa kutoka kwa Izzo Bizness, Feat. Mwana FA & G Nako.. (+Video) appeared first on...

 

10 years ago

Bongo5

Akon aachia nyimbo 5 mpya kwa mpigo kutoka kwenye album mpya ‘Stadium’

Baada ya ukimya wa muda mrefu Akon ameachia nyimbo tano mpya kutoka kwenye album yake mpya anayotarajia kuitoa iitwayo “Stadium” ambayo itakuwa na nyimbo za genre tano tofauti. Akon ameachia nyimbo hizo kupitia website yake Akon.com Album ya “Stadium” itakuwa na album tano ndani yake na kila moja itawakilisha genre moja ambazo ni Euro, Pop, […]

 

11 years ago

Michuzi

MZIGO WA NGUVU KUTOKA NCHINI CANADA WASHUKA MJINI

Mitumba Bei Rahisi,Jumla na Rejareja TanzaniaMwezi mtukufu wa Ramadhan, umebakiza takribani majuma mawili tu. Kwa maana hiyo, maandalizi ya sikukuu ya Eid-El-Fitri tayari yameshaanza. Eid huwa ni wakati wa furaha na mara nyingi huenda sambamba na kujumuika na ndugu,jamaa na marafiki kufurahi na kutukuza yale yote aliyotujalia Mwenyezi Mungu. 
 Palipo na mkusanyiko wa watu, huwa pia pana "mtoko". Kila binadamu hupenda kupendeza. Wenzetu wa jinsia ya kike,hupenda sio tu kupendeza bali pia kusifiwa kwamba "wamependeza". Kupendeza, kwa...

 

10 years ago

Michuzi

MZIGO MPYA WAWASILI DUKANI Vazi




Kwa nguo zaidi za kisasa tembelea www.vazitz.blogspot.com au Instagram @Vazitz

 

10 years ago

Michuzi

J&M VIRGO WASHUSHA MZIGO MPYA

J&M VIRGO WAMESHUKA MALI MPYA NA ZA UHAKIKA KABISA KWAKO WEWE MTANZANIA TOKA MAJUU ILI UWEZE KUNG'AA KATIKA KIPINDI HIKI CHA MSIMU WA SIKUKUU ZA KRISMAS NA MWAKA MPYA.
J&M VIRGO WENYE UHODARI WA KUUZA VIWALO VYA NGUVU NA VYA KISASA JIJI LA DAR ES SALAAM ,WANAPATIKANA PALE MIKOCHENI KWA WARIOBA,JENGO LA C&G PLAZA GHOROFA YA KWANZA.FIKA ILI UWEZE KUJIPATIA VITUZZ NA VIWALO VYA KIJANJA,POCHI BABKUBWA,MOKA MATATA NA MICHUCHUMIO YA HAJA KWA KINA DADA.
KWA TAARIFA ZAIDI TEMBELEA LIBENEKE LAO
KWA...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani