MZIGO MPYA WAWASILI DUKANI Vazi

Kwa nguo zaidi za kisasa tembelea www.vazitz.blogspot.com au Instagram @Vazitz
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi
J&M VIRGO WASHUSHA MZIGO MPYA

J&M VIRGO WENYE UHODARI WA KUUZA VIWALO VYA NGUVU NA VYA KISASA JIJI LA DAR ES SALAAM ,WANAPATIKANA PALE MIKOCHENI KWA WARIOBA,JENGO LA C&G PLAZA GHOROFA YA KWANZA.FIKA ILI UWEZE KUJIPATIA VITUZZ NA VIWALO VYA KIJANJA,POCHI BABKUBWA,MOKA MATATA NA MICHUCHUMIO YA HAJA KWA KINA DADA.
KWA TAARIFA ZAIDI TEMBELEA LIBENEKE LAO
KWA...
10 years ago
GPL
10 years ago
Bongo Movies04 Jan
Damwani: Mzigo Mpya Kutoka Kwa Riyama
Tukiwa ndio tuanaunza mwaka huu wa 2015, tegemea kazi mpya kutoka kwa mwigizaji mahili kabisa wa filamu hapa nchini, Riyama Ally ambae kwa sasa yupo katika hatua za mwisho kuikamilisha kazi hiyo.
Filamu itakwenda kwa jina la DAMWANI ambayo itakua inahusu maswala ambayo yapo kwenye jamii yetu kwenye maisha yetu ya kila siku, filamu hii imejumuisha waigizaji wakongwe na wachanga na wageni kwenye tasnia hii ya filamu hapo bongo.
Akionekana mbele ya kamera,Riyama akiwa na mwigizaji mwenzie...
11 years ago
GPL
NEW ARRIVALS!! MZIGO MPYA!! - SACHQUES CLOTHING STORE
11 years ago
GPL
Mzigo Mpya LEO!! - Sachques Clothing Store
11 years ago
GPL
MZIGO MPYA - NGUO ZA KIKE - BEI NAFUU
10 years ago
Bongo Movies30 Dec
MZIGO MPYA: JB Akiwa “Location”Anammezesha Maneno ya Kiswahili Mzungu
Mwigizaji na mwogozaji wa filamu za Kitanzania, Jacob Stephen “JB” ameonekana akiwa “Location”akimuelezeka jamaa mwenye asili ya nchi za ng’ambo “Mzungu”ambae jina lake halijahamika, kwa kumsomea na kumakalilisha maneno ya kiswahili kwenye kipande cha filamu ambayo wanai-shoot katika eneo hilo.
Bado haijawekwa wazi, jina na lini itatoka filamu hii inayofanyika chini ya kampuni ya Jerusalem Film Campany, ambayo inaongozwa na JB mwenyewe.
Kuzungumzia kazi hii mpya ambayo mzungu ndani, JB...
10 years ago
Bongo Movies16 Dec
Kajala,Wolper na Hemmedy Kambini Tegeta Kwa Mzigo Mpya
Mwako 2014 ukiwa unaendea ukingoni kumalizika, waigizaji Jackline Wolper na Kajala Masanja pamoja nawaigizaji wengine akiwemo Hemmedy Selemani " Hemmedy PHD" wameonekana wapo mzigoni kutengeneza filamu mpya.
Akiweka picha hii mtandaoni leo asubuhi, Wolper alii-caption;
“Watu wengne tumenuna kuamshwa mapema wengne wanatabasam..jamani haya bana ..new movie location day2 Mungu tusimamie”
Akionyesha kuwa wapo kambini, na badae Kajala kuongeza kwa maneno “@tegeta location moja....."...