Mzigo Mpya LEO!! - Sachques Clothing Store
![](http://api.ning.com:80/files/U7YWT3FNhpyh263J9--EmVentKSaDkcaTQPkZWhVavA8wabznLlqL5Aql*s7khcDMeSKkZFIZ8T5goW3VySJGIbpWb1LZerX/1460137_659149200803093_1850551025_n.jpg)
Kuna Mzigo mpya katika Duka la Sachques Clothing lililopo Kijitonyama Karibu na kituo cha Police Mabatini, Vitu kama Blouse, Tops, Magauni marefu na mafupi, Shirts, Skirts, Accessories, Trousers, Jump Suit, Mapochi na Viatu, Bei zao ni kati ya Elfu 15 na 35, Wasiliana nao kwa simu Namba +255-774-801316.. Tembelea page yao ya Facebook kuona vitu zaidi www.facebook.com/SachquesClothingStore na Instagram @Sachques. ...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/NFpLPbeZNYBt-*McSvE77rBgbTzORgZyBw*iywRDnuMN2AoHrgRm3B*zPIeZIjH2qt237hKV6dsbRPUfzC53J3QuRLzk*tqd/1512773_673163702734976_198389200_n.jpg)
NEW ARRIVALS!! MZIGO MPYA!! - SACHQUES CLOTHING STORE
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/KtF8hZpsH-0lDmoJcRb9X9fbUY8V31GZ0Hc6ZHkTtZ-pSrc-cCJx6gPklyN-4bRX3P7zpRM5GWLTHJPU7Gd12ewWhYOJqOYH/BIGSALEADVERT22.jpg?width=750)
BIG SALE! SALE! - PUNGUZO KUBWA LA BEI! - SACHQUES CLOTHING STORE
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/x9KBpl7z4r*7OaxMiQSNIKbBtfahoBMaFWKmp175Lf*Viy-jF0yCdz900nRMNgy8tfDa834YcqSKU3DKDjha8KviMEyuER8Z/PENDAFASHIONUK.jpg?width=650)
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-wZJV4z4sR3M/VI3w8yw0FkI/AAAAAAAG3P0/zhqc40XH8AE/s72-c/20141130_172122.jpg)
J&M VIRGO WASHUSHA MZIGO MPYA
![](http://1.bp.blogspot.com/-wZJV4z4sR3M/VI3w8yw0FkI/AAAAAAAG3P0/zhqc40XH8AE/s1600/20141130_172122.jpg)
J&M VIRGO WENYE UHODARI WA KUUZA VIWALO VYA NGUVU NA VYA KISASA JIJI LA DAR ES SALAAM ,WANAPATIKANA PALE MIKOCHENI KWA WARIOBA,JENGO LA C&G PLAZA GHOROFA YA KWANZA.FIKA ILI UWEZE KUJIPATIA VITUZZ NA VIWALO VYA KIJANJA,POCHI BABKUBWA,MOKA MATATA NA MICHUCHUMIO YA HAJA KWA KINA DADA.
KWA TAARIFA ZAIDI TEMBELEA LIBENEKE LAO
KWA...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-RNdo8Q-2Kk4/VJBL40TVM9I/AAAAAAAAETQ/CI_Q7Rwfu8Q/s72-c/wbn.jpg)
MZIGO MPYA WAWASILI DUKANI Vazi
![](http://4.bp.blogspot.com/-RNdo8Q-2Kk4/VJBL40TVM9I/AAAAAAAAETQ/CI_Q7Rwfu8Q/s1600/wbn.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-GJSMDbmRun4/VJBL4CVbGMI/AAAAAAAAETA/Mor_rC0YP4c/s1600/wbn2.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-IT7SdAY_oxg/VJBL5dPIWSI/AAAAAAAAETM/OTGNpHKfRjY/s1600/wbn4.jpg)
Kwa nguo zaidi za kisasa tembelea www.vazitz.blogspot.com au Instagram @Vazitz
10 years ago
Bongo Movies04 Jan
Damwani: Mzigo Mpya Kutoka Kwa Riyama
Tukiwa ndio tuanaunza mwaka huu wa 2015, tegemea kazi mpya kutoka kwa mwigizaji mahili kabisa wa filamu hapa nchini, Riyama Ally ambae kwa sasa yupo katika hatua za mwisho kuikamilisha kazi hiyo.
Filamu itakwenda kwa jina la DAMWANI ambayo itakua inahusu maswala ambayo yapo kwenye jamii yetu kwenye maisha yetu ya kila siku, filamu hii imejumuisha waigizaji wakongwe na wachanga na wageni kwenye tasnia hii ya filamu hapo bongo.
Akionekana mbele ya kamera,Riyama akiwa na mwigizaji mwenzie...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/LxgTrYw8Icn9C4905Nmy2Ul9UplsUYP9UAaKBe1B5D1O5g90ku-42IALw762BpMLL0bctPJzoT*KCeMSCkN6T*t9Rekb70Mq/1512773_673163702734976_198389200_n.jpg)
MZIGO MPYA - NGUO ZA KIKE - BEI NAFUU
10 years ago
Bongo Movies30 Dec
MZIGO MPYA: JB Akiwa “Location”Anammezesha Maneno ya Kiswahili Mzungu
Mwigizaji na mwogozaji wa filamu za Kitanzania, Jacob Stephen “JB” ameonekana akiwa “Location”akimuelezeka jamaa mwenye asili ya nchi za ng’ambo “Mzungu”ambae jina lake halijahamika, kwa kumsomea na kumakalilisha maneno ya kiswahili kwenye kipande cha filamu ambayo wanai-shoot katika eneo hilo.
Bado haijawekwa wazi, jina na lini itatoka filamu hii inayofanyika chini ya kampuni ya Jerusalem Film Campany, ambayo inaongozwa na JB mwenyewe.
Kuzungumzia kazi hii mpya ambayo mzungu ndani, JB...