Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


PENZI LA NAY, SHAMSA SIWEMA, MUME WA SHAMSA VILIO

Musa mateja na imelda mtema
Penzi matata linalowanyima usingizi baadhi ya watu mjini kwa sasa kati ya mwigizaji wa sinema za Kibongo, Shamsa Ford na mkali wa Bongo Fleva, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ limeibua tafrani kubwa huku waliokuwa wapenzi wa mastaa hao wakijikuta wakiangua vilio kweupe, Ijumaa limesheheni. Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego na Shamsa Ford wakipozi kimahaba. TATIZO MAHABA NIUE
...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo Movies

Penzi la Nay na Shamsa la Sababisha Vilio kwa Siwema na Mume wa Shamsa

Penzi la staa wa Bongo Movies, Shamsa Ford  na Staa wa Bongo Fleva Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ limeibua tafrani kubwa huku waliokuwa wapenzi wa mastaa hao wakijikuta wakiangua vilio kweupe.

Kwa mujibu wa gazeti la Ijumaa, Mara baada ya wawili hao kutangazwa rasmi kuwa sasa ni mahaba niue huku picha za ushahidi zikimwagwa, aliyekuwa mwandani wa Nay, Siwema a.k.a Wemalicious na aliyekuwa mume wa Shamsa, Dickson ‘Dick’ wanadaiwa kujikuta kwenye hali mbaya kiasi cha kumwaga...

 

10 years ago

GPL

NAY WA MITEGO, SHAMSA MKE NA MUME!

Musa Mateja Mara baada ya kuelezwa kwamba wapo kwenye uhusiano wa kimapenzi huku wenyewe wakidanganya wana ‘projekti’, hatimaye majirani wamefichua kuwa mwigizaji Shamsa Ford na mwanamuziki Emmanuel Elibariki ‘Nay’, sasa wanaishi kama mke na mume. Mwigizaji Shamsa Ford na mwanamuziki Emmanuel Elibariki ‘Nay’ wakizungumza jambo. Baada ya kutonywa ‘mchapo’ huo, gazeti hili ...

 

10 years ago

Bongo Movies

Sio Siri tena: Nay wa Mitego, Shamsa Mke na Mume!

Mara baada ya kuelezwa kwamba wapo kwenye uhusiano wa kimapenzi huku wenyewe wakidanganya wana ‘projekti’, hatimaye majirani wamefichua kuwa mwigizaji Shamsa Ford na mwanamuziki Emmanuel Elibariki ‘Nay’, sasa wanaishi kama mke na mume.

Baada ya kutonywa ‘mchapo’ huo, gazeti la Risasi  liliwadamkia nyumbani kwa Nay maeneo ya Kimara-Korogwe jijini Dar na kumkuta Shamsa akiwa na kanga moja.Mwanahabari wetu, baada ya kufika nyumbani hapo mishale ya asubuhi alikuwa bega kwa bega kuwafuatilia...

 

10 years ago

GPL

SIWEMA, SHAMSA PACHIMBIKA

Imelda mtema
Kazi imeanza! Staa wa Bongo Movies, Shamsa Ford ambaye kwa hivi sasa ni mpenzi mpya wa mwanamuziki Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ na mpenzi wa zamani wa Mbongo-Fleva huyo, Siwema wameanza kuchimbana baada ya hivi karibuni kurushiana madongo. Aliyekuwa mpenzi wa mwanamuziki Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ , Siwema. Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Shamsa aliposti picha na maneno...

 

9 years ago

Bongo5

Chagga Barbie ndiye ameziba nafasi ya Shamsa Ford kwa Nay Wa Mitego? Nay azungumza

Chagga na Nay

Jimbo la mapenzi la Nay Wa Mitego liko wazi toka aachane na aliyekuwa cousin mpenzi wake Shamsa Ford, lakini swali ni kwamba ni mrembo gani aliyerithi nafasi hiyo iliyoachwa wazi na Shamsa ambayo huenda kuna warembo wengi wanaitamani?

Chagga na Nay

Kama unamfatilia Nay Wa Mitego kwenye akunti yake ya Instagram sina shaka utakuwa umeanza kuona dalili za kuwa kuna mpenzi mpya ‘mteule’ anayesubiri ‘kuapishwa’ na kuwa rasmi.

Chagga Barbie sio jina geni, ndio yule aliyezitawala headlines nyingi alipokuwa...

 

10 years ago

GPL

NAY AFUNGUKIA NDOA NA SHAMSA

Na Mussa Mateja
Msanii wa muziki, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’, ameeleza kuwa endapo msanii mwenzake ambaye sasa hivi wanapika na kupakua, Shamsa Ford atamuonesha utulivu na uaminifu hataona sababu ya kutomuoa. Msanii wa muziki, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’,akipozi kimahaba na Shamsa Ford. Nay aliyasema hayo juzikati alipokuwa akizungumzia mipango yake na Shamsa ambaye amejiweka kwake...

 

10 years ago

GPL

NAY, SHAMSA WADAIWA KUPIKA NA KUPAKUA

Musa Mateja
KILICHOJIFICHA nyuma ya pazia la uhusiano wa mastaa wa Bongo, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’, na Shamsa Ford sasa kimevuja baada ya Risasi Mchanganyiko kunasa habari za wawili hao kuwa kwenye uhusiano wa mapenzi kiasi cha kudaiwa kupika na kupakua pamoja. Staa wa Bongo fleva, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’. Chanzo makini kimeeleza kwamba, wawili hao ambao kila mmoja katika siku za...

 

10 years ago

GPL

SHAMSA FORD NAYE AMSALITI NAY

Brighton masalu
USALITI? Huenda maumivu ya mapenzi yakazidi kumuandama msanii wa muziki Bongo, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ baada ya gazeti hili kunasa picha za mchumba’ke Shamsa Ford akiwa katika mahaba mazito na msanii mwanaume mwingine aliyedaiwa kuwa ni mchepuko wake, Rammy Galis, Amani lilifuatilia hatua kwa hatua. Staa wa filamu za Kibongo, Shamsa Ford akipozi kimahaba na Rammy Galis. Ishu hiyo...

 

11 years ago

GPL

SHAMSA: MSIMSOGELEE MUME WANGU!

Stori:  Gladness Mallya
MWADADADA anayefanya poa Bongo Movies, Shamsa Ford amewataka wanawake wanaomfuatilia mumewe, Dickson waache mara moja. Shamsa Ford. Shamsa alisema, anakerwa sana na tabia ya wanawake wanaomfuata mumewe kwani hata wale wa ‘zilipendwa’ wameanza kujirudisha upya kitu ambacho hatakubaliana nacho. “Hawa wanawake hawana adabu wala aibu, ninawatahadharisha tu, wakae  mbali na mume...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani