SHAMSA: MSIMSOGELEE MUME WANGU!
Stori: Gladness Mallya MWADADADA anayefanya poa Bongo Movies, Shamsa Ford amewataka wanawake wanaomfuatilia mumewe, Dickson waache mara moja. Shamsa Ford. Shamsa alisema, anakerwa sana na tabia ya wanawake wanaomfuata mumewe kwani hata wale wa ‘zilipendwa’ wameanza kujirudisha upya kitu ambacho hatakubaliana nacho. “Hawa wanawake hawana adabu wala aibu, ninawatahadharisha tu, wakae mbali na mume...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLSHAMSA: SIJAACHANA NA MUME WANGU
10 years ago
GPLSHAMSA: NALALA NA MUME WANGU LOKESHENI
10 years ago
Bongo Movies09 Apr
Shamsa: Sijutii Kuachana na Mume Wangu
Staa mrembo kutoka Bongo Movies, Shamsa Ford amesema kamwe hatajutia kitendo cha kuachana na mumewe, Dickson.
Akiongea na gazeti la Amani Shamsa alisema kuwa kipindi chote wakati yupo kwenye uhusiano na mumewe huyo waliefunga naye ndo ya kimilia alikuwa akiteseka na kupata shuruba nyingi japo hakuwa tayari kuziweka hadharani.
“Sijutii kuachana na mume wangu, nimepitia mateso mengi, sikotayari kurudi japokuwa nina motto naye” Shamsa alisema.
Kwa sasa inadaiwa Shamsa anatoka na Staa wa...
10 years ago
Bongo Movies13 Jan
Shamsa: Nalala na Mume Wangu Nikiwa Kambini
Mwigizaji wa filamu za Kibongo, Shamsa Ford ambae ameolewa na ana mtoto mmoja, amesema kuwa mara kadhaa anapokuwa kambini akishuti filamu mume wake, Dickson Matoke huwa anamfuata na kulala naye hadi asubuhi huku akiamini kufanya hivyo kunachangia kutochepuka.
Akizungumza na Uwazi, Shamsa alisema kuwa kitendo cha mumewe kumfuata haina maana kwamba wanavunja sheria zao bali hilo analifanya kwa kuwa yeye ni mke wa mtu na huwa anapewa chumba chake maalum.
“Mara nyingi ninapokuwa lokesheni kama...
10 years ago
VijimamboShamsa Ford: Nalala na Mume Wangu Nikiwa Kambini
Akizungumza na Uwazi, Shamsa alisema kuwa kitendo cha mumewe kumfuata haina maana kwamba wanavunja sheria zao bali hilo analifanya kwa kuwa yeye ni mke wa mtu na huwa anapewa chumba chake maalum.
“Mara nyingi ninapokuwa lokesheni kama si...
9 years ago
GPLSHAMSA: BORA NIFE KULIKO KURUDIANA NA MUME WANGU
10 years ago
GPL12 Mar
10 years ago
Bongo Movies10 Apr
Penzi la Nay na Shamsa la Sababisha Vilio kwa Siwema na Mume wa Shamsa
Penzi la staa wa Bongo Movies, Shamsa Ford na Staa wa Bongo Fleva Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ limeibua tafrani kubwa huku waliokuwa wapenzi wa mastaa hao wakijikuta wakiangua vilio kweupe.
Kwa mujibu wa gazeti la Ijumaa, Mara baada ya wawili hao kutangazwa rasmi kuwa sasa ni mahaba niue huku picha za ushahidi zikimwagwa, aliyekuwa mwandani wa Nay, Siwema a.k.a Wemalicious na aliyekuwa mume wa Shamsa, Dickson ‘Dick’ wanadaiwa kujikuta kwenye hali mbaya kiasi cha kumwaga...
10 years ago
GPLPENZI LA NAY, SHAMSA SIWEMA, MUME WA SHAMSA VILIO