SIWEMA, SHAMSA PACHIMBIKA
![](http://api.ning.com:80/files/tmqA3rmqdgYjuaLf9zGiBgLAlOAB9AF-t6vGBRdsf1CUp*Pe5gBrDHHkO3aSzWkzuF72JjL42KmrKDzlCj7c9revDAvNgZDT/ney2.jpg?width=650)
Imelda mtema Kazi imeanza! Staa wa Bongo Movies, Shamsa Ford ambaye kwa hivi sasa ni mpenzi mpya wa mwanamuziki Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ na mpenzi wa zamani wa Mbongo-Fleva huyo, Siwema wameanza kuchimbana baada ya hivi karibuni kurushiana madongo. Aliyekuwa mpenzi wa mwanamuziki Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ , Siwema. Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Shamsa aliposti picha na maneno...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies10 Apr
Penzi la Nay na Shamsa la Sababisha Vilio kwa Siwema na Mume wa Shamsa
Penzi la staa wa Bongo Movies, Shamsa Ford na Staa wa Bongo Fleva Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ limeibua tafrani kubwa huku waliokuwa wapenzi wa mastaa hao wakijikuta wakiangua vilio kweupe.
Kwa mujibu wa gazeti la Ijumaa, Mara baada ya wawili hao kutangazwa rasmi kuwa sasa ni mahaba niue huku picha za ushahidi zikimwagwa, aliyekuwa mwandani wa Nay, Siwema a.k.a Wemalicious na aliyekuwa mume wa Shamsa, Dickson ‘Dick’ wanadaiwa kujikuta kwenye hali mbaya kiasi cha kumwaga...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/dMNnaPiQ3VhvVq8FWRvQvkm8yteaMqCsQcVPGBaznIAly7u77pSRlQUnCxyQg7lOCQRkiwgo9xFRUEPDvCBoJ8X5xqp3zTgP/FRONTIJUMAA.gif?width=650)
PENZI LA NAY, SHAMSA SIWEMA, MUME WA SHAMSA VILIO
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/wxWEJX1q6dZrOdWz8zww4f-NNQH73VLBebAUdm7a308--PSrgzkwqCIo9BnlLtZTErFA6got*T-cgjHMwwrUJjWkflzZQ23y/mke.jpg?width=650)
PACHIMBIKA
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/sMzwNc2e83s346Aw9bUQl74yCQXEuahuTDqo**tZM*d-EeRDCmWeEFN72YcQcocuyOEACMUnwYgG48Tt5Wu7BaIRoqkQ8JqD/Aunt.gif?width=650)
AUNT, MKE WA IYOBO PACHIMBIKA!
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/t3ZSopUVDgbHC0*1UdqZNDStah6LKRwIMTCO-ccvD297yLNS1MPN2ZwttVnYQidAp*0DndflewHaE0AbZ-vxRUnx5p97NUr2/siwemacopy.jpg?width=650)
SIWEMA WA NAY MBARONI!
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/XnAxcylq3iiayk9JP3usLyrtZQUGjCHomJDWx9bwnQvSYkQ4D1cRgS100058woNX7i*Njr-AH5XEdnf4khOkt6FMRRYvUFVS/ghhjrhjtjej.jpg?width=650)
SIWEMA WA NAY WA MITEGO KORTINI
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/QmRFQRFpoAT0Gmkz-acombXGcHJ01wmVeDz0fp2S16ISCr5rScHgPW*i848NhCrX*Dg6QUHw4Ue51GV0u76t7ycLtyUuOvNR/siwemacopy.jpg?width=650)
SIWEMA AMWANGUKIA NAY WA MITEGO!
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/knSjhwKOr7uQJXRRrwL9SjSRp*T56p-jwB7s0sOav*J9LRzoAeg*VmIhUBUF2p60Lg56PCKy5qfxbBlbrFDA1fP0RM68gndD/nay.jpg)
NAY: NAJIVUNIA KUZAA NA SIWEMA
11 years ago
Tanzania Daima16 Jul
Waimbaji 14 kupamba uzinduzi wa ‘Siwema’
WAIMBAJI 14 wamethibitisha kuimba katika uzinduzi wa albamu ya injili, ‘Siwema’ ya George Kayala itakayozinduliwa Agosti 9, katika ukumbi wa Kanisa la WRM lililopo Matembele ya Pili Kivule jijini Dar...