PACHIMBIKA
![](http://api.ning.com:80/files/wxWEJX1q6dZrOdWz8zww4f-NNQH73VLBebAUdm7a308--PSrgzkwqCIo9BnlLtZTErFA6got*T-cgjHMwwrUJjWkflzZQ23y/mke.jpg?width=650)
Stori: Richard Bukos Ujira wa usaliti ni aibu kubwa! Mwanaume aliyefahamika kwa jina la Baba Anorld almaarufu Ngosha, amedai kumfumania laivu mkewe, Anjela ‘Mama Anorld’ akiwa chumbani na shemeji yake aliyetajwa kwa jina moja la Paulo. Fumanizi hilo lilitokea usiku wa kuamkia Jumatano wiki hii, nyumbani kwa wanandoa hao huko Vingunguti-Mikoroshoni, Dar baada ya Ngosha kumwekea mkewe huyo mtego. Ilielezwa kuwa...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/tmqA3rmqdgYjuaLf9zGiBgLAlOAB9AF-t6vGBRdsf1CUp*Pe5gBrDHHkO3aSzWkzuF72JjL42KmrKDzlCj7c9revDAvNgZDT/ney2.jpg?width=650)
SIWEMA, SHAMSA PACHIMBIKA
Imelda mtema
Kazi imeanza! Staa wa Bongo Movies, Shamsa Ford ambaye kwa hivi sasa ni mpenzi mpya wa mwanamuziki Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ na mpenzi wa zamani wa Mbongo-Fleva huyo, Siwema wameanza kuchimbana baada ya hivi karibuni kurushiana madongo. Aliyekuwa mpenzi wa mwanamuziki Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ , Siwema. Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Shamsa aliposti picha na maneno...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/sMzwNc2e83s346Aw9bUQl74yCQXEuahuTDqo**tZM*d-EeRDCmWeEFN72YcQcocuyOEACMUnwYgG48Tt5Wu7BaIRoqkQ8JqD/Aunt.gif?width=650)
AUNT, MKE WA IYOBO PACHIMBIKA!
STAA mkali katika anga la filamu Bongo, Aunt Ezekiel, ameingia katika malumbano makali kupitia mtandao wa kijamii wa Instagram na mzazi mwenzie na Moses Iyobo, Mwengi mpaka kufikia hatua ya kuwaita watoto zao majina yasiofaa. Staa mkali katika anga la filamu Bongo, Aunt Ezekiel. Chanzo makini kabisa kinadai kuwa hapo awali kabla ya Aunt kujifungua, Mwengi alitoa tamko kuwa kama staa huyo angejifungua basi atajifungua chura, kitu...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania