Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


AUNT, MKE WA IYOBO PACHIMBIKA!

STAA mkali katika anga la filamu Bongo, Aunt Ezekiel, ameingia katika malumbano makali kupitia mtandao wa kijamii wa Instagram na mzazi mwenzie na Moses Iyobo, Mwengi mpaka kufikia hatua ya kuwaita watoto zao majina yasiofaa. Staa mkali katika anga la filamu Bongo, Aunt Ezekiel. Chanzo makini kabisa kinadai kuwa hapo awali kabla ya Aunt kujifungua, Mwengi alitoa tamko kuwa kama staa huyo angejifungua basi atajifungua chura, kitu...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Global Publishers

Aunt: Iyobo amenisitiri

aunty33Staa wa Bongo Muvi, Aunt Ezekiel Grayson akiwa na mpenzi wake Moses Iyobo.

IMELDA MTEMA
MANENO kuntu! Staa wa Bongo Muvi, Aunt Ezekiel Grayson amekiri hadharani kuwa anamshukuru mwandani wake, Moses Iyobo kumsitiri kwa kumpatia ujauzito kisha kujifungua na kuitwa mama kwani angezeeka bila mtoto.

Mwanadada huyo alisema kuwa Iyobo ni kidume wake wa mwaka 2015 maana ilikuwa si kazi rahisi kwa sababu alikuwa anaona miaka inazidi kusonga huku uzee ukibisha hodi.

 

10 years ago

GPL

IYOBO WA AUNT: SIJAOA, NIMEZAA TU!

Stori: Imelda Mtema
MAHABAT! Dansa wa Nasibu Abdul ‘Diamond’, Moses Iyobo amefunguka kuwa  hajawahi kuoa wala kuchumbia bali amezaa na mwanadada anayeitwa Mwengi. ‘Moze Iyobo’ akiwa na familia yake. Staa wa Bongo Movies, Aunt Ezekiel Grayson akiwa na dansa wa Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Moses Iyobo ‘Moze’ wakielekea uwanja wa… ...

 

9 years ago

GPL

IYOBO: NANI ANASEMA AUNT MZEE?

Imelda mtema Kafunguka! Dansa wa mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ ambaye ni mwandani wa staa wa sinema za Kibongo, Aunt Ezekiel Grayson,   amewatolea uvivu baadhi ya watu wanaomsema Aunt kuwa ni mzee kwa kuwa amempita umri, jambo ambalo hakubaliani nalo. Dansa wa mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ Moses Iyobo akiwa na mpenzi wake Aunt Ezekiel Grayson Akizungumza na mwanahabari wetu, Iyobo...

 

10 years ago

GPL

AUNT, IYOBO MAHABA NIUE ZENJI!

Imelda Mtema, MAHABA nifilisi. Aunt Ezekiel Grayson Gwantwa na mzazi mwenzake, Moses Iyobo ‘Mo’ wameonesha wazi kinachoitwa mapenzi ni kikohozi baada ya kujiachia kimahaba hadharani wakiwa sanjari na ‘mtoto wao’, Cookie jambo lililozua miguno mingi ya chinichini. ....Soma zaidi===> http://bit.ly/1DUGFlt

 

9 years ago

GPL

IYOBO AKUBALI KUMUACHIA MTOTO MUME WA AUNT

Shani Ramadhani
MAKUBWA! Dansa wa Nasibu Abdul ‘Diamond’, Moze Iyobo amekubali kuruhusu mtoto aliyezaa na mwigizaji Aunt Ezekiel achukuliwe na mume wa mwigizaji huyo, Sunday Demonte aliyeko jijini Abu Dhabi akitumikia kifungo cha msala wa madawa ya kulevya. Dansa wa Nasibu Abdul ‘Diamond’, Moze Iyobo akiwa na mzazi mwenzie  Aunt Ezekiel. Iyobo ametoa kauli hiyo mara baada ya Sunday ambaye imeelezwa kuwa anaweza...

 

9 years ago

Bongo Movies

Aunt Agoma Kufunguka Ndoa Yake na Iyobo

KAMA kawaida yetu katika kolamu hii kuwaleta mastaa mbalimbali na kubananishwa na wasomaji wetu katika mambo tofauti yanayohusu maisha yao kiujumla, siku ya leo tunaye staa wa  filamu Bongo, Aunt Ezekiel ambaye  anafunguka mambo kedekede aliyoulizwa na mashabiki wake.

Msomaji: Naitwa Kuruthumu, napenda nije kuwa muigizaji mkubwa kama wewe, nifanyaje?.

Aunt: Nakushauri ujikite kwenye vikundi vya maigizo mpaka pale utakapokuwa fiti na kukubalika kwa waigizaji wakubwa, basi hapo utakuwa...

 

10 years ago

GPL

IYOBO ASHIKWA NA KIGUGUMIZI KUHUSU MUME WA AUNT

Chande Abdallah/Uwazi
DANSA wa staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’, Mose Iyobo ambaye anatajwa kuwa mpenzi wa msanii wa filamu Bongo, Aunt Ezekiel ameshikwa na kigugumizi kuhusu tuhuma za kumpachika mimba Aunt ambaye ni mke wa mtu. Dansa wa staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’, Mose Iyobo akiwa na Aunt Ezekiel. Mose alionesha kigugumizi hicho baada ya kutaitiwa na paparazi wetu...

 

10 years ago

Bongo Movies

Iyobo: Hata Kama Aunt Amenizidi Umri

DANSA  wa Nasibu Abdul ‘Diamond’, Moses Iyobo amenyanyua kinywa chake na kusema hata kama mpenzi wake, Aunt Ezekiel amemzidi umri, ataendelea kumpenda hivyohivyo.
Akizungumza na mwanahabari wa GPL juzikati, Iyobo.

alisema watu wengi wamekuwa wakihoji yeye kumpenda Aunt
ambaye ana umri wa miaka 29, hawajui tu mapenzi hayaangalii umri kwani miaka ni namba tu za kuhesabika.

“Age is just a number, mimi sioni tatizo kuwa  na Aunt. Nategemeaanizalie, awe mama wa watoto wangu. Kuhusu wale...

 

10 years ago

GPL

IYOBO: HATA KAMA AUNT AMENIZIDI UMRI, HAIHUSU

Dansa grade one wa Nasibu Abdul ‘Diamond’, Moses Iyobo akiwa na  Aunt Ezekiel. Stori: mwandishi wetu/Risasi
DANSA grade one wa Nasibu Abdul ‘Diamond’, Moses Iyobo amenyanyua kinywa chake na kusema hata kama mpenzi wake, Aunt Ezekiel amemzidi umri, ataendelea kumpenda hivyohivyo.
Akizungumza na mwanahabari wetu juzikati, Iyobo. alisema watu wengi wamekuwa wakihoji yeye kumpenda Aunt
ambaye ana...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani