IYOBO ASHIKWA NA KIGUGUMIZI KUHUSU MUME WA AUNT
![](http://api.ning.com:80/files/e*Q7chwcF2YFpBlxKs-WD-8jFr64soEh4A9pXM4l88jRR8jVz-lABNwFwvtS2J8nORMxTfXbVYnhpHij4*x6veEDy34EtOPR/aunti.jpg)
Chande Abdallah/Uwazi DANSA wa staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’, Mose Iyobo ambaye anatajwa kuwa mpenzi wa msanii wa filamu Bongo, Aunt Ezekiel ameshikwa na kigugumizi kuhusu tuhuma za kumpachika mimba Aunt ambaye ni mke wa mtu. Dansa wa staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’, Mose Iyobo akiwa na Aunt Ezekiel. Mose alionesha kigugumizi hicho baada ya kutaitiwa na paparazi wetu...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/I4Lv7uhzCAEkB9ToANpqKLwfgpYdDFx1AA6BK6m9kDo2SbXusvqrxbHhOA4mHfWR0m8bkB*CJktoJeN3Y2A7AoxhLQVbGdok/Iyobo.jpg?width=650)
IYOBO AKUBALI KUMUACHIA MTOTO MUME WA AUNT
9 years ago
Global Publishers07 Jan
Aunt: Iyobo amenisitiri
Staa wa Bongo Muvi, Aunt Ezekiel Grayson akiwa na mpenzi wake Moses Iyobo.
IMELDA MTEMA
MANENO kuntu! Staa wa Bongo Muvi, Aunt Ezekiel Grayson amekiri hadharani kuwa anamshukuru mwandani wake, Moses Iyobo kumsitiri kwa kumpatia ujauzito kisha kujifungua na kuitwa mama kwani angezeeka bila mtoto.
Mwanadada huyo alisema kuwa Iyobo ni kidume wake wa mwaka 2015 maana ilikuwa si kazi rahisi kwa sababu alikuwa anaona miaka inazidi kusonga huku uzee ukibisha hodi.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/*6ZFuLsTz63Qf3IOQsE**zt9t-4Qz-au4WhJhVfOemJlQjhBuwJoZLDXqSXcosdgCqV9jwf18bBJU3AAjnH2xa0kyVm8SIjM/iyobo.jpg?width=650)
IYOBO WA AUNT: SIJAOA, NIMEZAA TU!
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/sMzwNc2e83s346Aw9bUQl74yCQXEuahuTDqo**tZM*d-EeRDCmWeEFN72YcQcocuyOEACMUnwYgG48Tt5Wu7BaIRoqkQ8JqD/Aunt.gif?width=650)
AUNT, MKE WA IYOBO PACHIMBIKA!
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/CgwvKmsfinq8A-dIxbZViWHFLtLhfrsxqIqXlg14F7f7Te5LZIhxc5MJOSfe0KEBTqcfi8Ct7Lg4Dcv2DjU3*XFH7-1d6hNv/aunti.jpg)
AUNT, IYOBO MAHABA NIUE ZENJI!
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/SJHyuKr55TMphhUEzEWJElbf*KexwmGX-ZLj7osrLvgYFndPdXVzf*dHOMPS3ktuwaxmD78vFbHWRkvhp3dNx8rnKkgg3nW6/aunti.jpg)
IYOBO: NANI ANASEMA AUNT MZEE?
10 years ago
Bongo Movies18 Jan
Iyobo: Hata Kama Aunt Amenizidi Umri
DANSA wa Nasibu Abdul ‘Diamond’, Moses Iyobo amenyanyua kinywa chake na kusema hata kama mpenzi wake, Aunt Ezekiel amemzidi umri, ataendelea kumpenda hivyohivyo.
Akizungumza na mwanahabari wa GPL juzikati, Iyobo.
alisema watu wengi wamekuwa wakihoji yeye kumpenda Aunt
ambaye ana umri wa miaka 29, hawajui tu mapenzi hayaangalii umri kwani miaka ni namba tu za kuhesabika.
“Age is just a number, mimi sioni tatizo kuwa na Aunt. Nategemeaanizalie, awe mama wa watoto wangu. Kuhusu wale...
9 years ago
Bongo Movies01 Oct
Aunt Agoma Kufunguka Ndoa Yake na Iyobo
KAMA kawaida yetu katika kolamu hii kuwaleta mastaa mbalimbali na kubananishwa na wasomaji wetu katika mambo tofauti yanayohusu maisha yao kiujumla, siku ya leo tunaye staa wa filamu Bongo, Aunt Ezekiel ambaye anafunguka mambo kedekede aliyoulizwa na mashabiki wake.
Msomaji: Naitwa Kuruthumu, napenda nije kuwa muigizaji mkubwa kama wewe, nifanyaje?.
Aunt: Nakushauri ujikite kwenye vikundi vya maigizo mpaka pale utakapokuwa fiti na kukubalika kwa waigizaji wakubwa, basi hapo utakuwa...
10 years ago
GPLIYOBO: HATA KAMA AUNT AMENIZIDI UMRI, HAIHUSU