IYOBO WA AUNT: SIJAOA, NIMEZAA TU!
![](http://api.ning.com:80/files/*6ZFuLsTz63Qf3IOQsE**zt9t-4Qz-au4WhJhVfOemJlQjhBuwJoZLDXqSXcosdgCqV9jwf18bBJU3AAjnH2xa0kyVm8SIjM/iyobo.jpg?width=650)
Stori: Imelda Mtema MAHABAT! Dansa wa Nasibu Abdul ‘Diamond’, Moses Iyobo amefunguka kuwa hajawahi kuoa wala kuchumbia bali amezaa na mwanadada anayeitwa Mwengi. ‘Moze Iyobo’ akiwa na familia yake. Staa wa Bongo Movies, Aunt Ezekiel Grayson akiwa na dansa wa Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Moses Iyobo ‘Moze’ wakielekea uwanja wa… ...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/vZjCFErHAhxPUoNNSpujqjFUJEo9X4NS3cwyw0yqtr*OTkBTGqB8*hO0IK18OeGo8HQhxFymh8OvTAo2pePNSSjQh*rTaHih/auntycopy.jpg)
AUNT:NI KWELI NIMEZAA NJE YA NDOA!
10 years ago
Bongo Movies01 Jul
Aunty Ezekiel: Nimezaa na Mose Iyobo Lakini Ndoa Yangu Ipo Pale Pale
Muigizaji wa filamu, Aunty Ezekiel ambaye hivi karibuni alijifungua mtoto wa kike, amedai kuwa licha ya kuzaa nje ya ndoa, bado anaamini ndoa yake ipo pale pale.
Akizungumza na Bongo5 leo, Aunty aka Mama Cookie, amesema aliamua kuzaa na Moses Iyobo, dancer wa Diamond Platnumz kwakuwa muda wa kuwa mama ulikuwa umefika.
“Mimi niliamua kupata mtoto baada ya kuona wakati umefika,” amesema.
“Kwasababu siku zinaenda pamoja na umri inabidi maisha yaendelee mbele. Ndoa yangu ipo kama ilivyokuwa...
9 years ago
Global Publishers07 Jan
Aunt: Iyobo amenisitiri
Staa wa Bongo Muvi, Aunt Ezekiel Grayson akiwa na mpenzi wake Moses Iyobo.
IMELDA MTEMA
MANENO kuntu! Staa wa Bongo Muvi, Aunt Ezekiel Grayson amekiri hadharani kuwa anamshukuru mwandani wake, Moses Iyobo kumsitiri kwa kumpatia ujauzito kisha kujifungua na kuitwa mama kwani angezeeka bila mtoto.
Mwanadada huyo alisema kuwa Iyobo ni kidume wake wa mwaka 2015 maana ilikuwa si kazi rahisi kwa sababu alikuwa anaona miaka inazidi kusonga huku uzee ukibisha hodi.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/sMzwNc2e83s346Aw9bUQl74yCQXEuahuTDqo**tZM*d-EeRDCmWeEFN72YcQcocuyOEACMUnwYgG48Tt5Wu7BaIRoqkQ8JqD/Aunt.gif?width=650)
AUNT, MKE WA IYOBO PACHIMBIKA!
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/CgwvKmsfinq8A-dIxbZViWHFLtLhfrsxqIqXlg14F7f7Te5LZIhxc5MJOSfe0KEBTqcfi8Ct7Lg4Dcv2DjU3*XFH7-1d6hNv/aunti.jpg)
AUNT, IYOBO MAHABA NIUE ZENJI!
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/SJHyuKr55TMphhUEzEWJElbf*KexwmGX-ZLj7osrLvgYFndPdXVzf*dHOMPS3ktuwaxmD78vFbHWRkvhp3dNx8rnKkgg3nW6/aunti.jpg)
IYOBO: NANI ANASEMA AUNT MZEE?
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/e*Q7chwcF2YFpBlxKs-WD-8jFr64soEh4A9pXM4l88jRR8jVz-lABNwFwvtS2J8nORMxTfXbVYnhpHij4*x6veEDy34EtOPR/aunti.jpg)
IYOBO ASHIKWA NA KIGUGUMIZI KUHUSU MUME WA AUNT
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/I4Lv7uhzCAEkB9ToANpqKLwfgpYdDFx1AA6BK6m9kDo2SbXusvqrxbHhOA4mHfWR0m8bkB*CJktoJeN3Y2A7AoxhLQVbGdok/Iyobo.jpg?width=650)
IYOBO AKUBALI KUMUACHIA MTOTO MUME WA AUNT
9 years ago
Bongo Movies01 Oct
Aunt Agoma Kufunguka Ndoa Yake na Iyobo
KAMA kawaida yetu katika kolamu hii kuwaleta mastaa mbalimbali na kubananishwa na wasomaji wetu katika mambo tofauti yanayohusu maisha yao kiujumla, siku ya leo tunaye staa wa filamu Bongo, Aunt Ezekiel ambaye anafunguka mambo kedekede aliyoulizwa na mashabiki wake.
Msomaji: Naitwa Kuruthumu, napenda nije kuwa muigizaji mkubwa kama wewe, nifanyaje?.
Aunt: Nakushauri ujikite kwenye vikundi vya maigizo mpaka pale utakapokuwa fiti na kukubalika kwa waigizaji wakubwa, basi hapo utakuwa...