IYOBO: NANI ANASEMA AUNT MZEE?

Imelda mtema Kafunguka! Dansa wa mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ ambaye ni mwandani wa staa wa sinema za Kibongo, Aunt Ezekiel Grayson, amewatolea uvivu baadhi ya watu wanaomsema Aunt kuwa ni mzee kwa kuwa amempita umri, jambo ambalo hakubaliani nalo. Dansa wa mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ Moses Iyobo akiwa na mpenzi wake Aunt Ezekiel Grayson Akizungumza na mwanahabari wetu, Iyobo...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
Global Publishers07 Jan
Aunt: Iyobo amenisitiri
Staa wa Bongo Muvi, Aunt Ezekiel Grayson akiwa na mpenzi wake Moses Iyobo.
IMELDA MTEMA
MANENO kuntu! Staa wa Bongo Muvi, Aunt Ezekiel Grayson amekiri hadharani kuwa anamshukuru mwandani wake, Moses Iyobo kumsitiri kwa kumpatia ujauzito kisha kujifungua na kuitwa mama kwani angezeeka bila mtoto.
Mwanadada huyo alisema kuwa Iyobo ni kidume wake wa mwaka 2015 maana ilikuwa si kazi rahisi kwa sababu alikuwa anaona miaka inazidi kusonga huku uzee ukibisha hodi.
11 years ago
KwanzaJamii06 Aug
Nani Anasema Ujamaa Ulishindikana?
10 years ago
GPL
AUNT, MKE WA IYOBO PACHIMBIKA!
11 years ago
GPL
IYOBO WA AUNT: SIJAOA, NIMEZAA TU!
10 years ago
Michuzi
10 years ago
GPL
AUNT, IYOBO MAHABA NIUE ZENJI!
10 years ago
GPL
IYOBO AKUBALI KUMUACHIA MTOTO MUME WA AUNT
10 years ago
Bongo Movies18 Jan
Iyobo: Hata Kama Aunt Amenizidi Umri
DANSA wa Nasibu Abdul ‘Diamond’, Moses Iyobo amenyanyua kinywa chake na kusema hata kama mpenzi wake, Aunt Ezekiel amemzidi umri, ataendelea kumpenda hivyohivyo.
Akizungumza na mwanahabari wa GPL juzikati, Iyobo.
alisema watu wengi wamekuwa wakihoji yeye kumpenda Aunt
ambaye ana umri wa miaka 29, hawajui tu mapenzi hayaangalii umri kwani miaka ni namba tu za kuhesabika.
“Age is just a number, mimi sioni tatizo kuwa na Aunt. Nategemeaanizalie, awe mama wa watoto wangu. Kuhusu wale...
10 years ago
Bongo Movies01 Oct
Aunt Agoma Kufunguka Ndoa Yake na Iyobo
KAMA kawaida yetu katika kolamu hii kuwaleta mastaa mbalimbali na kubananishwa na wasomaji wetu katika mambo tofauti yanayohusu maisha yao kiujumla, siku ya leo tunaye staa wa filamu Bongo, Aunt Ezekiel ambaye anafunguka mambo kedekede aliyoulizwa na mashabiki wake.
Msomaji: Naitwa Kuruthumu, napenda nije kuwa muigizaji mkubwa kama wewe, nifanyaje?.
Aunt: Nakushauri ujikite kwenye vikundi vya maigizo mpaka pale utakapokuwa fiti na kukubalika kwa waigizaji wakubwa, basi hapo utakuwa...