nani anasema TBC HAWAPO ONLINE?
BOFYA HAPA http://www.tbc.go.tz/
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
KwanzaJamii06 Aug
Nani Anasema Ujamaa Ulishindikana?
Na Daniel Mbega
KAMA kuna kitu ambacho Mwalimu Nyerere alikiabudu – mbali ya Mungu kupitia katika imani yake ya Kikatoliki – ni Siasa ya Ujamaa na Kujitegemea iliyozaliwa ndani ya Azimio la Arusha, ambayo aliendelea kuihubiri na kuitetea kwa nguvu zake zote hadi kikomo cha uhai wake.
Kila alikokwenda daima alitembea na Biblia pamoja na Azimio la Arusha, akiamini kwamba misingi ambayo TANU iliiweka kwenye azimio hilo Februari 5, 1967 pale Arusha ilikuwa mizuri na ingeendelea kuwa mizuri ikiwa...
9 years ago
GPLIYOBO: NANI ANASEMA AUNT MZEE?
Imelda mtema Kafunguka! Dansa wa mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ ambaye ni mwandani wa staa wa sinema za Kibongo, Aunt Ezekiel Grayson, amewatolea uvivu baadhi ya watu wanaomsema Aunt kuwa ni mzee kwa kuwa amempita umri, jambo ambalo hakubaliani nalo. Dansa wa mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ Moses Iyobo akiwa na mpenzi wake Aunt Ezekiel Grayson Akizungumza na mwanahabari wetu, Iyobo...
11 years ago
Mwananchi21 Feb
Nani anasema Sh300,000 kwa siku hazitoshi?
Hata kabla ya kupita wiki moja tangu Bunge Maalumu la Katiba kuanza rasmi shughuli zake, wajumbe wake wameendelea na vituko kiasi cha kutupa wasiwasi kama kweli wengi wa wajumbe hao wanastahili kutuwakilisha katika chombo hicho kufanya kazi ya kihistoria ya kutunga Katiba Mpya.
10 years ago
Mwananchi20 Dec
Soul for Real: Wapo kama hawapo
Wapo kama hawapo. Ndiyo neno rahisi unaloweza kulielezea kundi hili la ndugu wanne likijulikana kama Soul for Real, kabla ya kuboresha jina na kuwa Soul IV Real, lakini maana ikibaki palepale.
10 years ago
GPLUSTAA UMEWASHINDA,WAPO KAMA HAWAPO!!!
Na Hamida Hassan
Wapo mabinti ambao waliingia kwenye fani ya uigizaji kwa mbwembwe, wakawika sana kwenye vyombo vya habari na kuunyemelea ustaa lakini ghafla wakayeyuka.Walipoibukia kwenye fani walionekana watakuwa tishio na kuwafunika wale wakongwe waliokuwa wakionekana wao ndiyo wao. Sasa hivi hawajulikani wako wapi na wanafanya nini. Skaina Ally Skaina Ally
Huyu alikuwa tishio sana miaka ya nyuma. Umbo lake tata, uzuri...
11 years ago
Michuzimafunzo ya siku tano (hawapo pichani) ya namna ya kukabiliana na makosa ya ukatili wa kijinsia na watoto
Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Mery Nzuki, akitoa neno mbele ya washiriki wa semina ya mafunzo ya siku tano (hawapo pichani) ya namna ya kukabiliana na makosa ya ukatili wa kijinsia na watoto mafunzo yanayotolewa kwa maofisa na askari wa Jeshi la Polisi kutoka katika mkoa wa kipolisi wa Kinondoni jijini Dar es salaam ambapo mafunzo hayo yakiwa na lengo la kuwajengea uwezo na kuongeza ufanisi katika kazi.
Baadhi ya washiriki wa semina ya mafunzo ya siku tano ya namna ya...
10 years ago
Mwananchi31 May
NANI NI NANI URAIS: Fahmi Dovutwa: Mwenyekiti wa chama cha UPDP
Historia yake
Fahmi Nasoro Dovutwa ni Mwenyekiti wa kitaifa wa Chama cha United Peoples Democratic Party (UPDP). Alizaliwa Februari 27, 1957 mjini Kisarawe mkoani Pwani (Amefikisha miaka 58 Februari mwaka huu).
10 years ago
Mwananchi21 May
NANI NI NANI URAIS: Peter Mziray, Rais Mtendaji APPT-Maendeleo
Historia yake
Peter Mziray ni Rais Mtendaji wa Chama cha APPT Maendeleo, Mwenyekiti wa Baraza la Vyama vya Siasa na kitaaluma ni mtaalamu wa mifugo na uchumi wa kilimo.
10 years ago
Mwananchi06 Jun
NANI NI NANI URAIS: DK Willibroad Slaa: Katibu Mkuu wa Chadema
Historia yake
Dk Willibrod Slaa ni Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema). Slaa alizaliwa Oktoba 29, 1948 kijijini Kwermusi, Wilaya ya Mbulu (Oktoba atafikisha umri wa miaka 67). Slaa alisoma Shule ya Msingi Kwermusi iliyoko wilayani Mbulu mwaka 1958-1961 na baadaye Shule ya Kati (Middle School) ya Karatu kati ya mwaka 1962-1965.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania