Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NANI NI NANI URAIS: DK Willibroad Slaa: Katibu Mkuu wa Chadema

Historia yake Dk Willibrod Slaa ni Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema). Slaa alizaliwa Oktoba 29, 1948 kijijini Kwermusi, Wilaya ya Mbulu (Oktoba atafikisha umri wa miaka 67). Slaa alisoma Shule ya Msingi Kwermusi iliyoko wilayani Mbulu mwaka 1958-1961 na baadaye Shule ya Kati (Middle School) ya Karatu kati ya mwaka 1962-1965.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

Mjue DK Willibroad Slaa: Katibu Mkuu wa Chadema

Historia yakeDk Willibrod Slaa ni Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema). Slaa alizaliwa Oktoba 29, 1948 kijijini Kwermusi, Wilaya ya Mbulu (Oktoba atafikisha umri wa miaka 67). Slaa alisoma Shule ya Msingi Kwermusi iliyoko wilayani Mbulu mwaka 1958-1961 na baadaye Shule ya Kati (Middle School) ya Karatu kati ya mwaka 1962-1965.Baada ya darasa la nne, Dk Slaa alijiunga na Seminari ya Dung’unyi mkoani Singida mwaka 1966-1969 na kusoma sekondari, kisha akaendelea na masomo...

 

10 years ago

Mwananchi

NANI NI NANI URAIS: Freeman Mbowe: Mwenyekiti wa Chadema

>Freeman Mbowe ni Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema). Jina lake la kwanza “Freeman” waliwahi kupewa vijana wengi tu waliozaliwa mwaka ambao Tanganyika ilipata uhuru. Mbowe alizaliwa Septemba 14, 1961 hapahapa Tanzania. (atafikisha miaka 54 Septemba).

 

10 years ago

Mwananchi

NANI NI NANI URAIS: Fahmi Dovutwa: Mwenyekiti wa chama cha UPDP

Historia yake Fahmi Nasoro Dovutwa ni Mwenyekiti wa kitaifa wa Chama cha United Peoples Democratic Party (UPDP). Alizaliwa Februari 27, 1957 mjini Kisarawe mkoani Pwani (Amefikisha miaka 58 Februari mwaka huu).

 

10 years ago

Mwananchi

NANI NI NANI URAIS: Peter Mziray, Rais Mtendaji APPT-Maendeleo

Historia yake Peter Mziray ni Rais Mtendaji wa Chama cha APPT Maendeleo, Mwenyekiti wa Baraza la Vyama vya Siasa na kitaaluma ni mtaalamu wa mifugo na uchumi wa kilimo.

 

10 years ago

Mwananchi

NANI NI NANI URAIS: Profesa Ibrahim Lipumba: Mwenyekiti wa CUF

Ibrahim Lipumba ni mchumi wa kimataifa na Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF). Alizaliwa Juni 6, 1952 katika Kijiji cha Ilolangulu mkoani Tabora.

 

10 years ago

Mwananchi

10 years ago

Mwananchi

NANI NI NANI URAIS: Mchungaji Christopher Mtikila: Mwenyekiti DP

>Mchungaji Christopher Mtikila ni Mwenyekiti wa Chama cha Democratic (DP) ambacho kina usajili wa kudumu hapa Tanzania. Alizaliwa mwaka 1950 (ana umri wa miaka 65) mkoani Njombe, Kusini mwa nchi yetu.

 

10 years ago

GPL

DK SLAA ATEULIWA TENA KUWA KATIBU MKUU WA CHADEMA

Kutoka kushoto ni Katibu Mkuu wa Chadema,  Dk. Willbrod Slaa, Naibu Katibu Mkuu Bara, John Mnyika kuwa na Salum Mwalim ambaye ni Naibu Katibu Mkuu Zanzibar.  MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Taifa, Freeman Mbowe amewateua Dk. Willbrod Slaa kuwa Katibu Mkuu, John Mnyika kuwa Naibu Katibu Mkuu Bara na Salum Mwalim ambaye anakuwa Naibu Katibu Mkuu Zanzibar. Viongozi hao wameteuliwa jana...

 

10 years ago

Vijimambo

KATIBU MKUU WA CHADEMA DR WILBROAD SLAA AKIWA ZIARANI BARANI ULAYA

Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Willibroad Slaa akiwa na Mshauri wa Masuala ya Uchumi, Sayansi na Maendeleo ya Jamii katika ulimwengu wa dijiti (digital), Dk. Mario Voigt, walipokutana Villa La Collina, Milan kwa ajili ya kujadiliana na kubadilishana uzoefu kuhusu namna bora ya kusimamia uchumi unaonufaisha wananchi hususan kwenye nchi zenye utajiri wa rasilimali lakini watu wake wanakabiliwa na umaskini, kama Tanzania. Dk. Voigt ni mtaalam katika eneo hilo,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani