NANI NI NANI URAIS: Peter Mziray, Rais Mtendaji APPT-Maendeleo
Historia yake Peter Mziray ni Rais Mtendaji wa Chama cha APPT Maendeleo, Mwenyekiti wa Baraza la Vyama vya Siasa na kitaaluma ni mtaalamu wa mifugo na uchumi wa kilimo.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi31 May
NANI NI NANI URAIS: Fahmi Dovutwa: Mwenyekiti wa chama cha UPDP
Historia yake
Fahmi Nasoro Dovutwa ni Mwenyekiti wa kitaifa wa Chama cha United Peoples Democratic Party (UPDP). Alizaliwa Februari 27, 1957 mjini Kisarawe mkoani Pwani (Amefikisha miaka 58 Februari mwaka huu).
10 years ago
Mwananchi05 Jun
NANI NI NANI URAIS: Profesa Ibrahim Lipumba: Mwenyekiti wa CUF
Ibrahim Lipumba ni mchumi wa kimataifa na Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF). Alizaliwa Juni 6, 1952 katika Kijiji cha Ilolangulu mkoani Tabora.
10 years ago
Mwananchi06 Jun
NANI NI NANI URAIS: DK Willibroad Slaa: Katibu Mkuu wa Chadema
Historia yake
Dk Willibrod Slaa ni Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema). Slaa alizaliwa Oktoba 29, 1948 kijijini Kwermusi, Wilaya ya Mbulu (Oktoba atafikisha umri wa miaka 67). Slaa alisoma Shule ya Msingi Kwermusi iliyoko wilayani Mbulu mwaka 1958-1961 na baadaye Shule ya Kati (Middle School) ya Karatu kati ya mwaka 1962-1965.
10 years ago
Mwananchi21 Apr
10 years ago
Mwananchi03 Jun
NANI NI NANI URAIS: Freeman Mbowe: Mwenyekiti wa Chadema
>Freeman Mbowe ni Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema). Jina lake la kwanza “Freeman†waliwahi kupewa vijana wengi tu waliozaliwa mwaka ambao Tanganyika ilipata uhuru. Mbowe alizaliwa Septemba 14, 1961 hapahapa Tanzania. (atafikisha miaka 54 Septemba).
10 years ago
Mwananchi02 Jun
NANI NI NANI URAIS: Mchungaji Christopher Mtikila: Mwenyekiti DP
>Mchungaji Christopher Mtikila ni Mwenyekiti wa Chama cha Democratic (DP) ambacho kina usajili wa kudumu hapa Tanzania. Alizaliwa mwaka 1950 (ana umri wa miaka 65) mkoani Njombe, Kusini mwa nchi yetu.
9 years ago
Mwananchi05 Jan
NANI NI NANI SERIKALI YA JPM: George Simbachawene, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Tamisemi
George Boniface Taguluvala Simbachawene ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais anayeshughulikia Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi) katika Serikali ya Awamu ya Tano.
9 years ago
Mwananchi22 Dec
NANI NI NANI SERIKALI YA JPM?: Selemani Jafo – Naibu Waziri Ofisi ya Rais, Tamisemi, Utumishi na Utawala Bora
Jafo Selemani Saidi ndiye Naibu Waziri wa TAMISEMI, Utumishi na Utawala Bora. Wizara hii iko chini ya Ofisi ya Rais katika Serikali ya Awamu ya Tano, ameteuliwa katika baraza la mwanzo la mawaziri la Rais John Magufuli.
10 years ago
Mwananchi30 Mar
APPT Maendeleo: Tutamsimamisha mgombea mwanamke urais 2015
>Mwenyekiti wa Chama cha APPT Maendeleo, Peter Kuga Mziray amesema chama chake kitamsimamisha mwanamke kugombea urais katika Uchaguzi Mkuu ujao.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
12-February-2025 in Tanzania