Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NANI NI NANI SERIKALI YA JPM?: Selemani Jafo – Naibu Waziri Ofisi ya Rais, Tamisemi, Utumishi na Utawala Bora

Jafo Selemani Saidi ndiye Naibu Waziri wa TAMISEMI, Utumishi na Utawala Bora. Wizara hii iko chini ya Ofisi ya Rais katika Serikali ya Awamu ya Tano, ameteuliwa katika baraza la mwanzo la mawaziri la Rais John Magufuli.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

NANI NI NANI SERIKALI YA JPM: George Simbachawene, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Tamisemi

George Boniface Taguluvala Simbachawene ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais anayeshughulikia Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi) katika Serikali ya Awamu ya Tano.

 

9 years ago

Mwananchi

NANI NI NANI SERIKALI YA JPM?: Dk Suzan Kolimba – Naibu Waziri Mambo ya Nje

Dk Suzan Kolimba ndiye Naibu Waziri wa Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa katika Serikali ya Awamu ya Tano, ameteuliwa katika baraza la mwanzo la mawaziri la Rais John Magufuli, yeye hakuwa mbunge wa kuchaguliwa wala wa viti maalumu, kwa hiyo uteuzi wake katika ngazi ya unaibu waziri unamaanisha moja kwa moja kuwa Rais ameshamteua kuwa mbunge.

 

9 years ago

Mwananchi

NANI NI NANI SERIKALI YA JPM: Dk Ashatu Kijaji – Naibu Waziri Fedha na Mipango

Dk Ashatu Kijaji ndiye Naibu Waziri wa Fedha na Mipango katika Serikali ya Awamu ya Tano, ameteuliwa katika baraza la mawaziri la mwanzo la Rais John Pombe Magufuli. Kiongozi huyu mwanamama na kijana ameteuliwa katika nafasi hii kwa kuwa yeye ni mbunge wa kuchaguliwa kutoka jimbo la Kondoa Vijijini liliko mkoani Dodoma. Kabla hajawa mbunge Kijaji amekuwa mhadhiri wa Chuo Kikuu.

 

9 years ago

Mwananchi

NANI NI NANI SERIKALI YA JPM : Stella Manyanya– Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi

Stella Manyanya (Mhandisi) ndiye Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi katika Serikali ya Awamu ya Tano, ameteuliwa katika baraza la mwanzo la mawaziri la Rais John Magufuli.

 

9 years ago

Mwananchi

NANI NI NANI SERIKALIYA JPM: Dk Abdallah Possi – Naibu Waziri, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu

Dk Abdallah Possi ni Naibu Waziri (Ofisi ya Waziri Mkuu), Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu wa Serikali ya Awamu ya Tano katika baraza la mwanzo la mawaziri la Rais John Magufuli.

 

9 years ago

Michuzi

NAIBU Waziri ofisi ya Rais, Tamisemi, Selemani Jaffo atoa siku 27 kwa wakurugenzi wa halmashauri nchini kuanza kutumia mfumo wa kielekroniki

 Naibu Waziri ofisi ya Rais, Tamisemi Selemani Jaffo akishiriki zoezi la kuwapima uzito mmoja wa watoto waliokuwepo katika kituo cha Afya Bahi baada ya kufanya ziara ya kukagua utoaji Huduma za afya katika wilaya ya Bahi, Mkoani Dodoma.  Naibu waziri Ofisi ya Rais, Tamisemi Selemani Jaffo akizungumza na wagonjwa Mara baada ya kukagua wodi ya akina mama katika Kituo cha afya bahi. Naibu Waziri Ofisi ya Rais, Tamisemi Selemani Jaffo akizungumza na watumishi na wakuu wa idara katika...

 

9 years ago

Mwananchi

NANI NI NANI SERIKALI YA JPM?: Dk Hussein Mwinyi – Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa

Dk Hussein Mwinyi ni Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa katika Serikali ya Awamu ya Tano, ameteuliwa katika baraza la mwanzo la mawaziri la Rais John Magufuli. Kiongozi huyu pia ni mbunge wa jimbo la Kwahani lililoko Unguja, Zanzibar.

 

9 years ago

Mwananchi

NANI NI NANI SERIKALI YA JPM?: Nape Nnauye, Waziri wa Habari, Utamaduni, Wasanii na Michezo

Nape Nnauye ni waziri wa Habari, Utamaduni, Wasanii na Michezo katika Serikali ya Awamu ya Tano, ameteuliwa katika baraza la mwanzo la mawaziri la Rais John Pombe Magufuli. Yeye pia ni mbunge wa jimbo la Mtama lililoko mkoani Lindi.

 

9 years ago

Michuzi

Mhe. Anjela Kairuki Aanza Kazi rasmi Ofisi ya Rais-Utumishi na Utawala Bora

 Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-Utumishi na Utawala Bora Mhe. Anjella Kairuki (Mb) (wa pili kutoka kushoto) akiwasili ofisini na kulakiwa na watendaji wa ofisi yake mara baada ya kuapishwa. Kushoto ni Kaimu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais-Utumishi na Utawala Bora Bw. Tixon Nzunda. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-Utumishi na Utawala Bora Mhe. Anjella Kairuki (Mb) akiweka saini katika kitabu cha wageni baada ya kuwasili rasmi katika ofisi yake leo Jumamosi. Kaimu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais- Utumishi na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani