Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NANI NI NANI SERIKALI YA JPM?: Nape Nnauye, Waziri wa Habari, Utamaduni, Wasanii na Michezo

Nape Nnauye ni waziri wa Habari, Utamaduni, Wasanii na Michezo katika Serikali ya Awamu ya Tano, ameteuliwa katika baraza la mwanzo la mawaziri la Rais John Pombe Magufuli. Yeye pia ni mbunge wa jimbo la Mtama lililoko mkoani Lindi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

NANI NI NANI SERIKALI YA JPM?: Dk Suzan Kolimba – Naibu Waziri Mambo ya Nje

Dk Suzan Kolimba ndiye Naibu Waziri wa Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa katika Serikali ya Awamu ya Tano, ameteuliwa katika baraza la mwanzo la mawaziri la Rais John Magufuli, yeye hakuwa mbunge wa kuchaguliwa wala wa viti maalumu, kwa hiyo uteuzi wake katika ngazi ya unaibu waziri unamaanisha moja kwa moja kuwa Rais ameshamteua kuwa mbunge.

 

9 years ago

Mwananchi

NANI NI NANI SERIKALI YA JPM: Dk Ashatu Kijaji – Naibu Waziri Fedha na Mipango

Dk Ashatu Kijaji ndiye Naibu Waziri wa Fedha na Mipango katika Serikali ya Awamu ya Tano, ameteuliwa katika baraza la mawaziri la mwanzo la Rais John Pombe Magufuli. Kiongozi huyu mwanamama na kijana ameteuliwa katika nafasi hii kwa kuwa yeye ni mbunge wa kuchaguliwa kutoka jimbo la Kondoa Vijijini liliko mkoani Dodoma. Kabla hajawa mbunge Kijaji amekuwa mhadhiri wa Chuo Kikuu.

 

9 years ago

Mwananchi

NANI NI NANI SERIKALI YA JPM: George Simbachawene, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Tamisemi

George Boniface Taguluvala Simbachawene ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais anayeshughulikia Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi) katika Serikali ya Awamu ya Tano.

 

9 years ago

Mwananchi

NANI NI NANI SERIKALI YA JPM?: Dk Hussein Mwinyi – Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa

Dk Hussein Mwinyi ni Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa katika Serikali ya Awamu ya Tano, ameteuliwa katika baraza la mwanzo la mawaziri la Rais John Magufuli. Kiongozi huyu pia ni mbunge wa jimbo la Kwahani lililoko Unguja, Zanzibar.

 

9 years ago

Mwananchi

NANI NI NANI SERIKALI YA JPM : Stella Manyanya– Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi

Stella Manyanya (Mhandisi) ndiye Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi katika Serikali ya Awamu ya Tano, ameteuliwa katika baraza la mwanzo la mawaziri la Rais John Magufuli.

 

9 years ago

Mwananchi

NANI NI NANI SERIKALI YA JPM?: Selemani Jafo – Naibu Waziri Ofisi ya Rais, Tamisemi, Utumishi na Utawala Bora

Jafo Selemani Saidi ndiye Naibu Waziri wa TAMISEMI, Utumishi na Utawala Bora. Wizara hii iko chini ya Ofisi ya Rais katika Serikali ya Awamu ya Tano, ameteuliwa katika baraza la mwanzo la mawaziri la Rais John Magufuli.

 

9 years ago

Mwananchi

NANI NI NANI SERIKALIYA JPM: Dk Abdallah Possi – Naibu Waziri, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu

Dk Abdallah Possi ni Naibu Waziri (Ofisi ya Waziri Mkuu), Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu wa Serikali ya Awamu ya Tano katika baraza la mwanzo la mawaziri la Rais John Magufuli.

 

9 years ago

Michuzi

Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, wasanii na Michezo afanya ziara TSN

Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Annastazia James Wambura akisoma gazeti lenye kurasa za matangazo alipofanya ziara ya kikazi katika ofisi za Kampuni ya Magazeti ya Serikali (TSN) wachapishaji wa magazeti ya HabariLeo, Dailynews na Spoti Leo, leo jijini Dar es Salaam.Kushoto ni Mhariri Mtendaji wa TSN Bw. Gabriel Nderumaki.Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Annastazia James Wambura akifuatilia maelezo namna gazeti linavyotengenezwa kutoka kwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani